miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
Promotion @ work mtoa mada chukua huyu miss chagga, fukuza huyu mwanamke hakufai.
hataki mke tayari anaye acha mbwe mbwe wewe ..... mimi anipeleke wapi na vilaki vyake
Promotion @ work mtoa mada chukua huyu miss chagga, fukuza huyu mwanamke hakufai.
mtumishi kamshika ... biashara anafunga anaenda kuomba
wanawake wengi wanalawitiwa ki roho na haya makanisa ya miujiza.kaanza kutanga na makanisa ya manabiiii .... mpuuzi huyo sasa mpige marufuku kwenda kwenye hayo makanisa au aache ndoa .. faida anapelekewa mchungaji .... kingine kama umnyanyasi anza sasa kumnyanyasa
mrembo /handsome acha kuwa mkorofi nakuangalia mda tu naona unatoka povu nini shida mtoto mzuri eeeeh... haya maisha tu lazima yaende ..:A S kiss:
Very sad,amekuwa akiweka ujumbe wa ajabu ajabu kwenye wall yake ya Facebook, na sasa hii ndio profile picture yake.
Hii amenza kufanya kama miezi miwili na nusu nyuma, na mbaya zaidi ni kwamba yeye ni mlokole na amehama Kanisa letu lilotulea na kuhamia kwenye makanisa ya miujiza.
Yeye yuko very demanding, ukimwambia mshahara hautoshi, kwake ni maneno, nimejaribu kufungua biashara na yeye ndiyo msimamizi mkuu.Bado faida haionekani licha ya kuwa sichukui chochote toka kwenye biashara hizo.
Analalamila kisa eti kila mwezi namtumia mama kijijini laki 3, what is laki tatu by the way ni sawa na elfu kumi kwa siku.
ukimuelewesha haelewi, anataka mama yake nimtumie laki tano,mpaka sasa nahisi amegeuka kero na mzigo.
Sina mengi, ila namshukuru Mungu kwa yote.
![]()
manoko zake huyu haya makanisa ya waumishi n shida....wanaombea mapepo usiku or yupo ofisini na mchungaji
mfyuu..
hataki mke tayari anaye acha mbwe mbwe wewe ..... mimi anipeleke wapi na vilaki vyake
wanawake wengi wanalawitiwa ki roho na haya makanisa ya miujiza.
Kama hauna furaha nae ni heri kumuepuka kwa muda. Lakini umemueleza jinsi unavyokwazika?
Hhehehehe! aiseeee vilaki vyake? haya bhana nimekuelewa.
i miss you
Hhehehehe! aiseeee vilaki vyake? haya bhana nimekuelewa.
kaanza kutanga na makanisa ya manabiiii .... mpuuzi huyo sasa mpige marufuku kwenda kwenye hayo makanisa au aache ndoa .. faida anapelekewa mchungaji .... kingine kama umnyanyasi anza sasa kumnyanyasa
inategemea yeye unampa attention kiasi gani
anyway, kama mwanaume, nadhani wewe sio chaguo lake tena, kuna mkunandiko wa ukweli amekamilisha zoezi la kukuzidi kwa kila kitu, ndoa ni siri ya ndani, ikishatoka nje hiyo ni doa