Nikilewa mniache
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 19,320
- 52,015
Sikiliza huu ushauri hapa ila usiishi tena na huyo mwanamke.Aiseeee....
Alikwambia ukweli. Ila reaction yako imemuogopesha imebidi akwambie alikuwa anatania.
Ametoa/anatoa hiyo mimba.
Kama unaweza kuhimili msamehe. Ila ukae ukijua wanawake wengi tukisamehewa kosa la usaliti Huwa tunaona kama tumewashika na hamna la kutufanya. Ni mara chache mwanamke kusamehewa na kumuheshimu mumewe vile vile, narudia wapo ambao wakisamehewa wanabadilika kweli ila ni wachache.
Pole Kwa changamoto mkuu, lolote utaloamua angalia amani ya moyo wako zaidi na mustakabali wa maisha ya mtoto wenu.
Iwe giza, iwe nuru! Mwache aende... Umesikia?



