Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,170
- 190,728
QMMMMMMQ WALAYIIIKATAA NDOA QMMMMMMQ
QMMMMMMQ WALAYIIIKATAA NDOA QMMMMMMQ
Haya mambo we yasikie tuWe handle situation differently. Ilo swala ni gumu kinoma, kwasababu linahusisha mambo mengi yanayoumiza.
1. Mwanamke kacheat
2. Kagongwa dry, maana yake hajali magonjwa.
3. Kabeba na mimba.
Hivi vitu ukivifikiria ndio vinachanganya kabisa akili.
Ngoja nicheke kwanza afu nitarudinkusoma PDF 😂😂Bila salamu,
Ndugu zangu mimi ni mwenyeji umu ila nimetumia ID hii ili nipate msaada kwa tukio lililotokea ivi siku za karibuni huenda kuna sehemu nafeli kama mwanaume au haya mambo ya maumivu ndugu zangu mnauzoefu nayo.
Nina mke wangu ambaye tupo kwenye ndoa takribani miaka mitano sasa na tunae mtoto mmoja wa miaka mitatu tulikua tunaishi kwa furaha na amani apo nyuma sasa siku za karibuni mambo yakaanza kuvurugika ugomvi ugomvi hauishi ubishani haukauki ndani, kuna muda naona ni mambo ya kawaida ndo ubinadamu wenyewe kukwaruzana ni mambo ya kawaida.
Niende kwenye mada, Miezi kama mitatu nyuma mke wangu alienda kwao mkoa mwingine kuna mambo alienda kufatilia uko yakifamilia na kazi, sasa kipindi cha mwanzo hali ilikua shwari tunawasiliana vizuri badae mambo yakaanza kubadilika ugomvi kwenye simu unamwambia ili yeye anafanya lingine nilijikazana sana sasa juzi nikaona niongee nae vizuri mke wangu tujue shida nini tujenge palipobomoka.
Ila kiukweli uyu mwenzangu hakuwa na amani sana ongea yake ilikua kinyonge sana na kuna siku za karibuni nilikua nakasirika hadi natishia kumuacha ila likua anasema sawa tu niache.
Ilikua asubuhi siku hiyo naongea naye kiustaarabu kabisa kuwa anashida gani mara gafla akaanza kulia kwenye simu ananambia kuna jambo anatamani kuniambia ila anahofia litaleta madhara basi nikaanza kumbembeleza pale bora aseme tu ni jambo gani tujue tunafanyaje, hapo roho ipo juu juu navuta picha mambo mbali mbali hayaji akilini baadae akaamua kusema kinachomsibu akanambia “baba D nina mimba"
Sikuwaza chochote kibaya nikamuuliza tu sasa kwanini hukunambia muda wote na hiyo mimba ina muda gani? Akanijibu kuwa inakaribia mwezi sio yako.
Alooo! Nyie watu kumbe kuna mambo yanauma ivi nilihisi kama nimetobolewa moyo na kitu cha baridi niliishiwa nguvu masikio yalikua kama yameziba, namsikia kwa mbali analia sana ananiomba nimsamehe na anampango wakuitoa tu nikamuuliza mmekutana mara ngapi na uyo mtu akanambia mara 3
Nilikata simu kwakweli nikatulia kama nusu saa nafikiria jinsi alivyokuwa akigegedwa mke wangu yani nilikua nasikia hadi sauti za mahaba kichwani ndugu zangu haya mambo kumbe ndo yanauma hivi.
Nilipiga sana simu ilikua inatumika kama dakika 20 hivi alionesha yupo busy kuna mtu kama wanajadiliana, badae akapiga simu mwenyewe yani simple eti baba D nilikua nakutania tu nijue msimamo wako.
Sijawasilina nae mpaka leo hii namuonea huruma sana mwanangu sijui nafanyaje ila nina homa mwili hauna nguvu, yani kwa maelezo yale naona hakuna utani ni tukio lipo na huenda wamejadiliana na uyo malaya mwenzake watoe mimba.
Inauma aise mke wangu kachakatwa, hapo sidhani kama kuna utani nishaurini nifanye nn sijamtafuta hadi saizi na leo naenda kunywa pombe kwa mara ya kwanza.
Ukweli mtupu hakuna utunzi.
Fact!👍Ila ukae ukijua wanawake wengi tukisamehewa kosa la usaliti Huwa tunaona kama tumewashika na hamna
Hii Ni Kamba na chai ya Moto kabisaaaBila salamu,

Hivi mkuu pombe inamalizaje CV ya mtu??Pole sana mkuu. Katika maisha hakuna mkamilifu kwa asilimia hata 80. Ushauri wangu kwako ni huu.
Jitafakari na jiangalie ndani ya moyo wako na matendo yako. Je umewahi kumsaliti mke wakoo? Mara ngapi? Na kwa yup na yupi? Je unampenda mke wakoo?
Jiulize hayo maswali mara nying kadri uwezavyo alafu tumia akili tulivu kufanya maamuzi ukijifikiria nawe je umewahi kuchepuka then utoe hukumu kwa upande huo.
Usinywe pombe mkuu maana haitakusaidia kitu zaid ya kukumalizia hela zako na kukuharibia cv yako.
relax bro huu mchezo wa ndoa hauhitaj hasira ila uaminifu na moyo wa kusameheana
Mkuu unaweweseka kiwenda wazimu sio ? 🤣🤣Sawa mlumbiKama hujawah kunywa pombe, usithubutu hata kuionja wakati huu wa stress, pombe itachochea kuharibikiwa zaidi katika mipango yako, imekupasa kunywa kwa furaha.
Je, unauhakika ni mjamzito na baba wa ujauzito ni sela fulani la kitaa?
Je, mwenendo wa mkeo hapo home kwako ulikiuwaje?
Je, wakati wa kupiga shoo, ulikuwa unamsatify?
Je, hali ya uchumi wako ikoje?
Jibu kwanza haya, tupate mwelekeo
Nayeyuka kitahilatahila
Mke wao au sio. Inaelekea wewe ni gwiji eee. Sisi wamama tunatomber Sana tu, kusuguliwa hakuhitaji siku nzima ya 9 Disemba na Gwaride.Kiburi ,jeuri , Magonvi yatokanayo na Mwanamke mwenye Mume /Mpenzi ..Mara nyingi sana ikiwa wee Mume uko poa tu.
Basi ujue hayo yanatokana na yeye kua na Bwana .
Kwa maelezo hayo yako.
1-Ulishatombewa sanaaaaaaa tu mpaka akabeba mimba , yaan sanaaaaaaa .
( Kuna mambo Wanawake Huwa hawana gut ya kusema, mpaka pale mwenyewe aone anakukosea ,Nawewe ni mwema kwake, so anaamua kukiri).
Ulikoswa sana kuanza kumuuliza, umetombwa Mara ngapi, point yako ilikua nn?? Mtombaji Yuko hukohuko na mkeo, na ataendelea kumtomba ...na hizo dakika ishirin alikua anaongea na mtombaji wake, na mtombaji aoamshauri akuzuge Ivo !!
Unaweza kumuacha??? Vunja Ndoa ,OA mwanamke wa Nyumbani.
Huwez kumuacha, basi endelea kumpenda Mke wenu.
Unapimwa upepo hapo ushamulikwa hutoboi lazima ukae tu labda kama umefulia hali yako kiuchumi, kama economic state yako iko poa ushanasa. Imeisha hioBila salamu,
Ndugu zangu mimi ni mwenyeji umu ila nimetumia ID hii ili nipate msaada kwa tukio lililotokea ivi siku za karibuni huenda kuna sehemu nafeli kama mwanaume au haya mambo ya maumivu ndugu zangu mnauzoefu nayo.
Nina mke wangu ambaye tupo kwenye ndoa takribani miaka mitano sasa na tunae mtoto mmoja wa miaka mitatu tulikua tunaishi kwa furaha na amani apo nyuma sasa siku za karibuni mambo yakaanza kuvurugika ugomvi ugomvi hauishi ubishani haukauki ndani, kuna muda naona ni mambo ya kawaida ndo ubinadamu wenyewe kukwaruzana ni mambo ya kawaida.
Niende kwenye mada, Miezi kama mitatu nyuma mke wangu alienda kwao mkoa mwingine kuna mambo alienda kufatilia uko yakifamilia na kazi, sasa kipindi cha mwanzo hali ilikua shwari tunawasiliana vizuri badae mambo yakaanza kubadilika ugomvi kwenye simu unamwambia ili yeye anafanya lingine nilijikazana sana sasa juzi nikaona niongee nae vizuri mke wangu tujue shida nini tujenge palipobomoka.
Ila kiukweli uyu mwenzangu hakuwa na amani sana ongea yake ilikua kinyonge sana na kuna siku za karibuni nilikua nakasirika hadi natishia kumuacha ila likua anasema sawa tu niache.
Ilikua asubuhi siku hiyo naongea naye kiustaarabu kabisa kuwa anashida gani mara gafla akaanza kulia kwenye simu ananambia kuna jambo anatamani kuniambia ila anahofia litaleta madhara basi nikaanza kumbembeleza pale bora aseme tu ni jambo gani tujue tunafanyaje, hapo roho ipo juu juu navuta picha mambo mbali mbali hayaji akilini baadae akaamua kusema kinachomsibu akanambia “baba D nina mimba"
Sikuwaza chochote kibaya nikamuuliza tu sasa kwanini hukunambia muda wote na hiyo mimba ina muda gani? Akanijibu kuwa inakaribia mwezi sio yako.
Alooo! Nyie watu kumbe kuna mambo yanauma ivi nilihisi kama nimetobolewa moyo na kitu cha baridi niliishiwa nguvu masikio yalikua kama yameziba, namsikia kwa mbali analia sana ananiomba nimsamehe na anampango wakuitoa tu nikamuuliza mmekutana mara ngapi na uyo mtu akanambia mara 3
Nilikata simu kwakweli nikatulia kama nusu saa nafikiria jinsi alivyokuwa akigegedwa mke wangu yani nilikua nasikia hadi sauti za mahaba kichwani ndugu zangu haya mambo kumbe ndo yanauma hivi.
Nilipiga sana simu ilikua inatumika kama dakika 20 hivi alionesha yupo busy kuna mtu kama wanajadiliana, badae akapiga simu mwenyewe yani simple eti baba D nilikua nakutania tu nijue msimamo wako.
Sijawasilina nae mpaka leo hii namuonea huruma sana mwanangu sijui nafanyaje ila nina homa mwili hauna nguvu, yani kwa maelezo yale naona hakuna utani ni tukio lipo na huenda wamejadiliana na uyo malaya mwenzake watoe mimba.
Inauma aise mke wangu kachakatwa, hapo sidhani kama kuna utani nishaurini nifanye nn sijamtafuta hadi saizi na leo naenda kunywa pombe kwa mara ya kwanza.
Ukweli mtupu hakuna utunzi.
Neno kut*ombewa limerudiwa mara nne humu bila shaka ujumbe utakua umefika#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaniSiriyaNdani
Kut*mbewa ni lazima na hakuna haja ya kupaniki. Kama hukumkuta bikra si ina maana alishat*ombwa na mabaharia kabla yako. Sasa tatizo liko wapi? Mbona hukuumia wakati huo na unaumia sasa hivi wakati kitombo ni kile kile? Uliuliza hata body count yake kabla hujamuoa?
Mzabzab njoo huku kuna jamaa kapaniki kisa eti mkewe kepelekewa moto mpaka kushikishwa mimba
Hitimisho: Kama hukumkuta mkeo bikra basi huna haki ya kulalamika ukit*mbewa. Unakausha tu na maisha yanasonga...maana kusema kweli ulishat*mbewa tayari tena na wanaume zaidi ya 10 hapo kabla!
Ni jambo la fasta tu nashangaa sana watu wanaohisi kutombewer ni lazima kuwe na mazingira mazuri au muda mrefu demu akiamua kupigwa pipe ni sekunde tuMke wao au sio. Inaelekea wewe ni gwiji eee. Sisi wamama tunatomber Sana tu, kusuguliwa hakuhitaji siku nzima ya 9 Disemba na Gwaride.
Hata toilet tu, kazi inafanyika Kwa dakika 7-8. Kutiwa ni kitu kinafanyika kiwiziwizi na mwanamke anaweza akainama tu na kazi ikafanyika ikaisha.
Wanaume wanaowaacha wake zao bila huduma muhimu kwanza wake huwadharau waume hao na ndio matokeo ya kutiwa

hapa nakaziaAisee pole sana hapo nadhani ni ukweli kwa asilimia zote.Na inaonyesha mkeo hajutii kukupoteza kwa ufupi hakuhitaji tena,ushauri wangu Anza kupunguza mawasiliano nae ili ujiandae endapo amedhamiria kweli kuondoka maishani mwako.
AhahahahaKATAA NDOA QMMMMMMQ
Bro pole Sana dah.... Amua kiumee kakaBila salamu,
Ndugu zangu mimi ni mwenyeji umu ila nimetumia ID hii ili nipate msaada kwa tukio lililotokea ivi siku za karibuni huenda kuna sehemu nafeli kama mwanaume au haya mambo ya maumivu ndugu zangu mnauzoefu nayo.
Nina mke wangu ambaye tupo kwenye ndoa takribani miaka mitano sasa na tunae mtoto mmoja wa miaka mitatu tulikua tunaishi kwa furaha na amani apo nyuma sasa siku za karibuni mambo yakaanza kuvurugika ugomvi ugomvi hauishi ubishani haukauki ndani, kuna muda naona ni mambo ya kawaida ndo ubinadamu wenyewe kukwaruzana ni mambo ya kawaida.
Niende kwenye mada, Miezi kama mitatu nyuma mke wangu alienda kwao mkoa mwingine kuna mambo alienda kufatilia uko yakifamilia na kazi, sasa kipindi cha mwanzo hali ilikua shwari tunawasiliana vizuri badae mambo yakaanza kubadilika ugomvi kwenye simu unamwambia ili yeye anafanya lingine nilijikazana sana sasa juzi nikaona niongee nae vizuri mke wangu tujue shida nini tujenge palipobomoka.
Ila kiukweli uyu mwenzangu hakuwa na amani sana ongea yake ilikua kinyonge sana na kuna siku za karibuni nilikua nakasirika hadi natishia kumuacha ila likua anasema sawa tu niache.
Ilikua asubuhi siku hiyo naongea naye kiustaarabu kabisa kuwa anashida gani mara gafla akaanza kulia kwenye simu ananambia kuna jambo anatamani kuniambia ila anahofia litaleta madhara basi nikaanza kumbembeleza pale bora aseme tu ni jambo gani tujue tunafanyaje, hapo roho ipo juu juu navuta picha mambo mbali mbali hayaji akilini baadae akaamua kusema kinachomsibu akanambia “baba D nina mimba"
Sikuwaza chochote kibaya nikamuuliza tu sasa kwanini hukunambia muda wote na hiyo mimba ina muda gani? Akanijibu kuwa inakaribia mwezi sio yako.
Alooo! Nyie watu kumbe kuna mambo yanauma ivi nilihisi kama nimetobolewa moyo na kitu cha baridi niliishiwa nguvu masikio yalikua kama yameziba, namsikia kwa mbali analia sana ananiomba nimsamehe na anampango wakuitoa tu nikamuuliza mmekutana mara ngapi na uyo mtu akanambia mara 3
Nilikata simu kwakweli nikatulia kama nusu saa nafikiria jinsi alivyokuwa akigegedwa mke wangu yani nilikua nasikia hadi sauti za mahaba kichwani ndugu zangu haya mambo kumbe ndo yanauma hivi.
Nilipiga sana simu ilikua inatumika kama dakika 20 hivi alionesha yupo busy kuna mtu kama wanajadiliana, badae akapiga simu mwenyewe yani simple eti baba D nilikua nakutania tu nijue msimamo wako.
Sijawasilina nae mpaka leo hii namuonea huruma sana mwanangu sijui nafanyaje ila nina homa mwili hauna nguvu, yani kwa maelezo yale naona hakuna utani ni tukio lipo na huenda wamejadiliana na uyo malaya mwenzake watoe mimba.
Inauma aise mke wangu kachakatwa, hapo sidhani kama kuna utani nishaurini nifanye nn sijamtafuta hadi saizi na leo naenda kunywa pombe kwa mara ya kwanza.
Ukweli mtupu hakuna utunzi.
Nadhan inakuharibia cv nzuri. Hilo la kupina kama kunakugombaniwa kwa mtoto utapata majibu sahihi ila kama unataka kujua tuu kama mtoto ni wako ama ha! Jua utaambiwa MTOTO NI WAKOHivi mkuu pombe inamalizaje CV ya mtu??
Lkn pia nahisi hata mtoto wenu wa miaka 3 si wako.
Andaa Hela pima DNA wewe na mtoto ujue ni wako? Then kama ni wako fuata ushauri wa Mkuu pale Juu #11