Mke wangu ananipa wakati mgumu

Mke wangu ananipa wakati mgumu

Yaani hapo kutombewa mpaka unabeba mimba sio shughuli ya kitoto, inamaana alishafanya mke wa mtu. Ingekuwa mm ningefunga safari ya kimya mpaka alipo, namchukua na kwenda kupima, nikikuta anayo namchukua nampeleka kwa wazazi wake, namkabidhi na safari imeishia hapo. Naanza maisha mengine mapya na mtoto wangu baada ya mwaka mmoja ntakuwa nimeshapata mke mwingine mwenye akili na sio kugawa uroda ovyo
 
Aiseeee....

Alikwambia ukweli. Ila reaction yako imemuogopesha imebidi akwambie alikuwa anatania.

Ametoa/anatoa hiyo mimba.

Kama unaweza kuhimili msamehe. Ila ukae ukijua wanawake wengi tukisamehewa kosa la usaliti Huwa tunaona kama tumewashika na hamna la kutufanya. Ni mara chache mwanamke kusamehewa na kumuheshimu mumewe vile vile, narudia wapo ambao wakisamehewa wanabadilika kweli ila ni wachache.

Pole Kwa changamoto mkuu, lolote utaloamua angalia amani ya moyo wako zaidi na mustakabali wa maisha ya mtoto wenu.
 
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaniSiriyaNdani

Kut*mbewa ni lazima na hakuna haja ya kupaniki. Kama hukumkuta bikra si ina maana alishat*ombwa na mabaharia kabla yako. Sasa tatizo liko wapi? Mbona hukuumia wakati huo na unaumia sasa hivi wakati kitombo ni kile kile? Uliuliza hata body count yake kabla hujamuoa?

Mzabzab njoo huku kuna jamaa kapaniki kisa eti mkewe kepelekewa moto mpaka kushikishwa mimba

Hitimisho: Kama hukumkuta mkeo bikra basi huna haki ya kulalamika ukit*mbewa. Unakausha tu na maisha yanasonga...maana kusema kweli ulishat*mbewa tayari tena na wanaume zaidi ya 10 hapo kabla!
 
Aiseeee....

Alikwambia ukweli. Ila reaction yako imemuogopesha imebidi akwambie alikuwa anatania.

Ametoa/anatoa hiyo mimba.

Kama unaweza kuhimili msamehe. Ila ukae ukijua wanawake wengi tukisamehewa kosa la usaliti Huwa tunaona kama tumewashika na hamna la kutufanya. Ni mara chache mwanamke kusamehewa na kumuheshimu mumewe vile vile, narudia wapo ambao wakisamehewa wanabadilika kweli ila ni wachache.

Pole Kwa changamoto mkuu, lolote utaloamua angalia amani ya moyo wako zaidi na mustakabali wa maisha ya mtoto wenu.
Kama anataka kumsamehe amuache kwanza, yaani ahakikishe huo msamaha huyo mwanamke kausotea haswaaa, maana itampa uoga kurudia tena hilo kosa. Lakini pia hii itampa na yeye mda wa kujitafakari je ataweza tena kuendelea nae baada ya huo usaliti!?
 
Kuna mahali unafeli mpaka mkeo anatoka nje ,,,, ! Aidha humpi haki yake vizuri ! !!!!

Asikudanganye mtu, sisi wanaume ndio chanzo kikuu wenza wetu kuchepuka japo Kuna sababu chache Kama tamaa, Hali ya kiuchumi n.k
 
Apo nakupinga kitalembwa unaweza kumchakata vizuri sana mkeo ila akakuzingua tu yani na wao ni kama sisi tu icho chakula hakishibishi
 
We handle situation differently. Ilo swala ni gumu kinoma, kwasababu linahusisha mambo mengi yanayoumiza.

1. Mwanamke kacheat
2. Kagongwa dry, maana yake hajali magonjwa.
3. Kabeba na mimba.

Hivi vitu ukivifikiria ndio vinachanganya kabisa akili.

Huyo kashazoea kunjunjana kiasi kwamba kasau hadi kuhesabu siku zake...
 
Kuna mahali unafeli mpaka mkeo anatoka nje ,,,, ! Aidha humpi haki yake vizuri ! !!!!

Asikudanganye mtu, sisi wanaume ndio chanzo kikuu wenza wetu kuchepuka japo Kuna sababu chache Kama tamaa, Hali ya kiuchumi n.k
Acha kuweka utetezi rahisi mkuu. Wewe unavyocheat ni mwanamke wako ndio anasababisha?

Most of the cases, Cheating ni uhamuzi binafsi wa mtu, wala haitaji sababu. Hii issue naionaga sana, kila anapocheat mwanamke, basi watu wanajump kusema mwanamme kuna sehem anakosea au hamridhishi,nakataa sio kweli.
 
We handle situation differently. Ilo swala ni gumu kinoma, kwasababu linahusisha mambo mengi yanayoumiza.

1. Mwanamke kacheat
2. Kagongwa dry, maana yake hajali magonjwa.
3. Kabeba na mimba.

Hivi vitu ukivifikiria ndio vinachanganya kabisa akili.
Ila kama we n mwaminifu utaumia sana ila kama mtu ukiona unaruka nacho inakubid kuwa mpole tena sana maana kipimo tupimiacho ndicho hicho hicho tunahudumiwa nacho ni ngumu mno ila kujitafakari then kutuliza akil ndan ya siku mbil tatu kwanza
 
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaniSiriyaNdani

Kut*mbewa ni lazima na hakuna haja ya kupaniki. Kama hukumkuta bikra si ina maana alishat*ombwa na mabaharia kabla yako. Sasa tatizo liko wapi? Mbona hukuumia wakati huo na unaumia sasa hivi wakati kitombo ni kile kile?

Mzabzab njoo huku kuna jamaa kapaniki kisa eti mkewe kepelekewa moto mpaka kushikishwa mimba
case closed
 
Hakuna mke hapo.
Na jamaa kashinikiza atoe ili aendelee kugegeda bila hiyana. Na akiitoa atadaka yako chap, na hapo jamaa atakua anagegeda bila hofu kabisa.

Pole sana, mikwaruzano ikiwa mingi ndoani basi jua mmoja kati yenu anachepuka. Kama sio wewe basi mwenzio na huko aliko ana furaha.
 
Back
Top Bottom