Mke wangu ananipa wakati mgumu

Mke wangu ananipa wakati mgumu

Kuna mahali unafeli mpaka mkeo anatoka nje ,,,, ! Aidha humpi haki yake vizuri ! !!!!

Asikudanganye mtu, sisi wanaume ndio chanzo kikuu wenza wetu kuchepuka japo Kuna sababu chache Kama tamaa, Hali ya kiuchumi n.k
Acha ufala
 
Acha kuweka utetezi rahisi mkuu. Wewe unavyocheat ni mwanamke wako ndio anasababisha?

Most of the cases, Cheating ni uhamuzi binafsi wa mtu, wala haitaji sababu. Hii issue naionaga sana, kila anapocheat mwanamke, basi watu wanajump kusema mwanamme kuna sehem anakosea au hamridhishi,nakataa sio kweli.
Watu wa asili hiyo wengi wao ni watoto wa masingo maza....so wana umama mwingi mno kiasi kwamba watafanya juu chini kuufeva umama wao
 
Kujipa mipresha tu. We endelea na maisha yako huyo mke kazaliwa huko ww huku.
Mwambie asirudi akae huko huko
Umeandika kirahisi mno mno, anaendeleaje na maisha yake mkuu? Mke achapwe akueletee hadi mimba unaongea simple tu, endelea na maisha yako..you're not serious asee!!
 
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaniSiriyaNdani

Kut*mbewa ni lazima na hakuna haja ya kupaniki. Kama hukumkuta bikra si ina maana alishat*ombwa na mabaharia kabla yako. Sasa tatizo liko wapi? Mbona hukuumia wakati huo na unaumia sasa hivi wakati kitombo ni kile kile? Uliuliza hata body count yake kabla hujamuoa?

Mzabzab njoo huku kuna jamaa kapaniki kisa eti mkewe kepelekewa moto mpaka kushikishwa mimba

Hitimisho: Kama hukumkuta mkeo bikra basi huna haki ya kulalamika ukit*mbewa. Unakausha tu na maisha yanasonga...maana kusema kweli ulishat*mbewa tayari tena na wanaume zaidi ya 10 hapo kabla!
Hakuna mtu ambaye hatapaniki akijua mkewe kuwekwa mkuu, tena kawekwa na mimba juu.

Sote kweli tunajua wake zetu hawakuwa bikra wakati tunakutana, lakini baada ya kukutana watu wanaanza upya, tunasahau yaliyopita na kuendeleza gurudumu la maisha. Leo mke kawekwa huko, kaja na mimba ndani...kama hutapaniki basi kuna namna sio kawaida.
 
Mke wao au sio. Inaelekea wewe ni gwiji eee. Sisi wamama tunatomber Sana tu, kusuguliwa hakuhitaji siku nzima ya 9 Disemba na Gwaride.

Hata toilet tu, kazi inafanyika Kwa dakika 7-8. Kutiwa ni kitu kinafanyika kiwiziwizi na mwanamke anaweza akainama tu na kazi ikafanyika ikaisha.

Wanaume wanaowaacha wake zao bila huduma muhimu kwanza wake hao huwadharau waume hao na ndio matokeo ya kutiwa.

Kingine ni kwamba wanawake hatupendi au niite hatuhitaji saaaana uwe romantic. Sometimes uwe Simba,uwe mkali, mwanaume unajifanya kila saa unanijali Sana kama mdoli hayupo anayependa... Kwa mfano mdg.....kama kweli harmonize alimlia Dii Frida hata kama Frida analiwa mke wa harmo Leo harmo hapaswi kubebishabebisha.

Nadhani miaka 5 ya ndoa kubebishana ni Kwa kias then mwanaume anapambana.

Mwanaume usimshobokee saaana Dem sio sawa. Be a man. Let her go.

Usinywe pombe Kwa sabab yake, kunywa kwa sababu zako.
Kuwa mwanamke haimaanishi unaweza ukawaongelea wanawake kwa 100%. Aliyekuambia mkibebishana huwezi pambana effectively kwa ajili ya familia ni nani?

Cheating wala haitaji sababu. Unaweza ukatoa huduma zote muhimu kwa mke wako na Bado akakucheat.

Mtu akicheat alaf eti ukaanzia kujiuliza umekosea wapi, utajipa mawazo tu yasiyo na msingi, na utazidi kujiumiza.

Katika paragraph mbili za mwanzo, mantiki ipo, ila zilizofata, hakuna kitu.
 
Kuna mahali unafeli mpaka mkeo anatoka nje ,,,, ! Aidha humpi haki yake vizuri ! !!!!

Asikudanganye mtu, sisi wanaume ndio chanzo kikuu wenza wetu kuchepuka japo Kuna sababu chache Kama tamaa, Hali ya kiuchumi n.k
Siyo lazima iwe hivyo. Ni tabia tu wanawake wengine wanakuwa nayo. Kama hujaoa huwezi elewa haya mambo. Wanawake wana mambo mengi sana
 
Umeandika kirahisi mno mno, anaendeleaje na maisha yake mkuu? Mke achapwe akueletee hadi mimba unaongea simple tu, endelea na maisha yako..you're not serious asee!!
Mke akipewa mimba huko nje unaendelea kuilea si ndo unachomaanisha??
 
Nilishawahi kuwa na boy.

Ni mkali Sana. Bali hai mkali Bali ni Kwa haiba ya mwanaume. Hawi mkali kipuuzipuuzi, anaonhea point na akiamua anafanya yeye.

Siku Moja nyumba chafu sakafuni.

Akawaka Sana. Akaagiza Omo. Akaimwaga yote sakafuni. Akachumua brush.. nyumba ilijaa povu. Mwanaume anasugua. Baadae akasema mke wangu deki ndio hili.

Pakiwa na kakabati hakaeleweki. Hakavutii au TV hata kama ni inch53 ikimkera anaagiza li TV mtaa mzima unashangaa.

Mwanamke awe mkali Kwa sababu maalum. Hapo kutomber siku hiyo niliona atahissi nimetomber napiga udi wa kipemba. Mwenyewe anafurahia.

Nimemziesha kazin napiga picha na wafanyakaz wa kiume Kwa hiyo hanistukiii Bali
Kuwa mwanamke haimaanishi unaweza ukawaongelea wanawake kwa 100%. Aliyekuambia mkibebishana huwezi pambana effectively kwa ajili ya familia ni nani?

Cheating wala haitaji sababu. Unaweza ukatoa huduma zote muhimu kwa mke wako na Bado akakucheat.

Mtu akicheat alaf eti ukaanzia kujiuliza umekosea wapi, utajipa mawazo tu yasiyo na msingi, na utazidi kujiumiza.

Katika paragraph mbili za mwanzo, mantiki ipo, ila zilizofata, hakuna kitu.
Mmmmhhh mhh
 
Dah!!!!!huyo dada kazingua Sana tatizo wanawake bwana tunaendeshwa Sana na hisia,Sasa huyo aliyemjaza ndio kamuona wa maaaaana kumzidi mume aliyempenda na kujitoa hata kumuoa kabisa,yaani hisia zipo on duty kasahau kila kitu,,,,alikwambia makusudi ili uumie useme humtaki Tena ili aendelee na huyo father pregnancy,Sasa bahati mbaya father pregnancy kamgomea na kumpa huo ushauri wa kijinga eti nakutania,my friend hapo hakuna utani!.....Aisee hapo Sasa utaamua mwenyewe kuzika ama kusafirisha
Ukiona hadi wakina jonnah wameongea hivi bro option ulio bakiwa nayo ni kufukuza huyo mtu na kukubaliana na matokeo zaid ya hapo unalitafuta kaburi kwa nguvu zote
 
Nilishawahi kuwa na boy.

Ni mkali Sana. Bali hai mkali Bali ni Kwa haiba ya mwanaume. Hawi mkali kipuuzipuuzi, anaonhea point na akiamua anafanya yeye.

Siku Moja nyumba chafu sakafuni.

Akawaka Sana. Akaagiza Omo. Akaimwaga yote sakafuni. Akachumua brush.. nyumba ilijaa povu. Mwanaume anasugua. Baadae akasema mke wangu deki ndio hili.

Pakiwa na kakabati hakaeleweki. Hakavutii au TV hata kama ni inch53 ikimkera anaagiza li TV mtaa mzima unashangaa.

Mwanamke awe mkali Kwa sababu maalum. Hapo kutomber siku hiyo niliona atahissi nimetomber napiga udi wa kipemba. Mwenyewe anafurahia.

Nimemziesha kazin napiga picha na wafanyakaz wa kiume Kwa hiyo hanistukiii Bali

Mmmmhhh mhh
Kwamba inch 53 haimvutii, anaenda kuagiza TV kubwa Mtaa mzima wanaishangaa?😅😅😅 Nimejikuta nacheka tu.

Umeongea vitu vingi nje ya mada, na hiyo paragraph ya mwisho uliposema habari za udi wa kipemba au umemzoesha kupiga picha na wafanyakazi wa kiume, so hakushtukii, it means unamcheat au sijaelewa?
 
Hakuna mtu ambaye hatapaniki akijua mkewe kuwekwa mkuu, tena kawekwa na mimba juu.

Sote kweli tunajua wake zetu hawakuwa bikra wakati tunakutana, lakini baada ya kukutana watu wanaanza upya, tunasahau yaliyopita na kuendeleza gurudumu la maisha. Leo mke kawekwa huko, kaja na mimba ndani...kama hutapaniki basi kuna namna sio kawaida.
Fact!kuwekwa hadi mimba jamani, Aisee huo Ni utomvu wa ni nidhamu wa kiwango cha SGR
 
Kuna mahali unafeli mpaka mkeo anatoka nje ,,,, ! Aidha humpi haki yake vizuri ! !!!!

Asikudanganye mtu, sisi wanaume ndio chanzo kikuu wenza wetu kuchepuka japo Kuna sababu chache Kama tamaa, Hali ya kiuchumi n.k

pointless
 
Mke akipewa mimba huko nje unaendelea kuilea si ndo unachomaanisha??
No, uliandika kwa urahisi sana, it's not easy hata kama anasema amuache leo(kitu ambacho hata mimi ningefanya), sio rahisi. Amepata pigo takatifu la kiakili hapo.
 
Kwamba inch 53 haimvutii, anaenda kuagiza TV kubwa Mtaa mzima wanaishangaa?😅😅😅 Nimejikuta nacheka tu.

Umeongea vitu vingi nje ya mada, na hiyo paragraph ya mwisho uliposema habari za udi wa kipemba au umemzoesha kupiga picha na wafanyakazi wa kiume, so hakushtukii, it means unamcheat au sijaelewa?
Mkuu si utulie kidogo ujibu kwa UMoja
 
pointless
Wanawake tunamakosa.mengi na ndio maana nasema na mwanaume achukue nafasi yake.

Mwanamke akipata mwl mzuri atakuwa mke mzuri.

Sisi wanawake tunapaswa kuwa.

Wapole.
Wanyenyekevu.
Wasikivu.
Watulivu.
Wasafi.
Tupendeze kwa waume zetu.
Tuwaliwaze.
Tuwalilie waume zetu.
Tujiswafi,usafi wa mwili na nyumba.
Tujfunze mazuri ya kuwa mama mzuri.
Tuwapende,hata Kwa kuiguza.
Tujidekeze,nideke kwake
Kujua kupika vizuri.
Kujua jinsi ya kuwapokea na

kuwa hendo wageni wa mume Wang
Haya yote ni Kwa waume zetu
 
Back
Top Bottom