Mke wangu ananipa wakati mgumu

Mke wangu ananipa wakati mgumu

Huyu jamaa yeye alifanyiwa Prank na Demu wake kuwa Yuko HIV positive na jamaa Wala hakupaniki, hebu tulia Kwanza

 
Mi nakushauri umwache tu sana sana atakusumbua kichwa na utaishia kufanya KITU KIBAYA it's best umpe talaka kama kagegedwa mara tu duh pole huo si utani watu wanasemaga ukweli kwanza then baadaye anajifanya nilikuwa nakutania KWAIYO Jiongeze mzee
 
Hakutanii hata D siyo wako

Sasa utafanya nini, vumilia tu
We mdada upo vizuri sana kichwani, yaani ipo hivi hiyo mwanamke nafsi inamsuta sasa akataka kumpima jamaa kupitia mimba ya mtu mwingine ili aone reaction ya jamaa siku kama akijua ata huyo dogo D sio mwanae, ila demu alishajipanga kwa lolote ishu ni kumpiga chini ata huyo mtoto na uhakika 98% sio wake.
 
Nawaza uyo mwanamke wa kupiga simu kabla hajatoa mimba anapatikana wilaya gani apa Afrika mashariki?
Kwanini atoe mimba aue? Kama meshaamu kuzini mpk kubeba mimba ni aheri tuu ukubali hakua ubavu wako, na kama unaona huwezi kumuacha basi ishi naye lakini usiue kiumbe kilichopo tumboni. Uwalee wote mama na mtoto
 
#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaniSiriyaNdani


Kut*mbewa ni lazima na hakuna haja ya kupaniki. Kama hukumkuta bikra si ina maana alishat*ombwa na mabaharia kabla yako. Sasa tatizo liko wapi? Mbona hukuumia wakati huo na unaumia sasa hivi wakati kitombo ni kile kile? Uliuliza hata body count yake kabla hujamuoa?

Mzabzab njoo huku kuna jamaa kapaniki kisa eti mkewe kepelekewa moto mpaka kushikishwa mimba

Hitimisho: Kama hukumkuta mkeo bikra basi huna haki ya kulalamika ukit*mbewa. Unakausha tu na maisha yanasonga!
Umeongea ukweli mtupu mwanawane.
Yaani ukikuta mkeo katombwer wee mualike njemba mpige 3some kabisa maana wife anapenda de libolo mbili
 
Nilijikaza nimefupisha tu maelezo ila mwanzo alikua serious hana tabia yakuigiza kulia aliyemshauri aniambie ni utani kanipa wakati mgumu yani hata akipiga sim mwili unaishiwa nguvu
Fanya haraka kimbia alipo ukampime mkojo ili hata ukimsamehe uwe na uhakika asije jidai alikutania wakati labda ilinasa kweli.
 
Uyo anayo alishindwa nin kula mife na miso kuitoa anAyo kwl, ushauri wangu tumia gharam ya haraka funga safari hadi alipo gafla, si mkeo mpime mimba utapata jibu sahihi na utachukuwa maamuzi sahihi, kweli wake zenu tunawatafuna ila mpka anabeba mimba ni hajielewi na hakupendi
 
Bila salamu,

Ndugu zangu mimi ni mwenyeji umu ila nimetumia ID hii ili nipate msaada kwa tukio lililotokea ivi siku za karibuni huenda kuna sehemu nafeli kama mwanaume au haya mambo ya maumivu ndugu zangu mnauzoefu nayo.

Nina mke wangu ambaye tupo kwenye ndoa takribani miaka mitano sasa na tunae mtoto mmoja wa miaka mitatu tulikua tunaishi kwa furaha na amani apo nyuma sasa siku za karibuni mambo yakaanza kuvurugika ugomvi ugomvi hauishi ubishani haukauki ndani, kuna muda naona ni mambo ya kawaida ndo ubinadamu wenyewe kukwaruzana ni mambo ya kawaida.

Niende kwenye mada, Miezi kama mitatu nyuma mke wangu alienda kwao mkoa mwingine kuna mambo alienda kufatilia uko yakifamilia na kazi, sasa kipindi cha mwanzo hali ilikua shwari tunawasiliana vizuri badae mambo yakaanza kubadilika ugomvi kwenye simu unamwambia ili yeye anafanya lingine nilijikazana sana sasa juzi nikaona niongee nae vizuri mke wangu tujue shida nini tujenge palipobomoka.

Ila kiukweli uyu mwenzangu hakuwa na amani sana ongea yake ilikua kinyonge sana na kuna siku za karibuni nilikua nakasirika hadi natishia kumuacha ila likua anasema sawa tu niache.

Ilikua asubuhi siku hiyo naongea naye kiustaarabu kabisa kuwa anashida gani mara gafla akaanza kulia kwenye simu ananambia kuna jambo anatamani kuniambia ila anahofia litaleta madhara basi nikaanza kumbembeleza pale bora aseme tu ni jambo gani tujue tunafanyaje, hapo roho ipo juu juu navuta picha mambo mbali mbali hayaji akilini baadae akaamua kusema kinachomsibu akanambia “baba D nina mimba"

Sikuwaza chochote kibaya nikamuuliza tu sasa kwanini hukunambia muda wote na hiyo mimba ina muda gani? Akanijibu kuwa inakaribia mwezi sio yako.

Alooo! Nyie watu kumbe kuna mambo yanauma ivi nilihisi kama nimetobolewa moyo na kitu cha baridi niliishiwa nguvu masikio yalikua kama yameziba, namsikia kwa mbali analia sana ananiomba nimsamehe na anampango wakuitoa tu nikamuuliza mmekutana mara ngapi na uyo mtu akanambia mara 3

Nilikata simu kwakweli nikatulia kama nusu saa nafikiria jinsi alivyokuwa akigegedwa mke wangu yani nilikua nasikia hadi sauti za mahaba kichwani ndugu zangu haya mambo kumbe ndo yanauma hivi.

Nilipiga sana simu ilikua inatumika kama dakika 20 hivi alionesha yupo busy kuna mtu kama wanajadiliana, badae akapiga simu mwenyewe yani simple eti baba D nilikua nakutania tu nijue msimamo wako.

Sijawasilina nae mpaka leo hii namuonea huruma sana mwanangu sijui nafanyaje ila nina homa mwili hauna nguvu, yani kwa maelezo yale naona hakuna utani ni tukio lipo na huenda wamejadiliana na uyo malaya mwenzake watoe mimba.

Inauma aise mke wangu kachakatwa, hapo sidhani kama kuna utani nishaurini nifanye nn sijamtafuta hadi saizi na leo naenda kunywa pombe kwa mara ya kwanza.

Ukweli mtupu hakuna utunzi.
Pole sana, thibitisha kwanza kama ni kweli alikuwa pg au kama kaitoa, ikiwa ni kweli,fanya maamuzi ya kusamehe/kutomsamehe,kulingana na utakavyoona inafaa.
 
subiri sumu ya mafuta ya break unakufa huku unajiona
 
Kama anataka kumsamehe amuache kwanza, yaani ahakikishe huo msamaha huyo mwanamke kausotea haswaaa, maana itampa uoga kurudia tena hilo kosa. Lakini pia hii itampa na yeye mda wa kujitafakari je ataweza tena kuendelea nae baada ya huo usaliti!?
Wakati huo wewe unawaza Mkeo anasotea kuomba Msamaha kumbe jamaa ndio anapalilia Mimba yake vizur maana watakuwa na muda wa kutodha kuweza kukutana mara kwa mara.
Nimeshuhudia mke kapewa Talaka moja kwenda kwao kisha akaendelea na Mahusiano na Jamaa wake wa kijijin
Mume baada ya mud akamrejea mke wake bila kujua teyar Mke alikuw kashapata Ujauzito
 
wee ushashindwa kulea mkeo kitendo chakumruhusu asafiri nakutafuta kazi kabisa hukohuko nikama vile umemruhusu kua (mama kakigawe Nisha kuchoka)kwahio mkuu hayo ndio matunda yakumruhusu mkeo kutafuta kazi. mabosi wanafanya yao huko.🤩🤩🤩
 
Hormones za mimba uwa zinaendeleaga kusoma ata zaid ya wiki mbili, fasta mrudishe umpime utanishukuru rafiki,

ivi vichwa sometimes sio vya kuishi navyo, ndio ivyo tena ndio mama zetu pia ndio pakutolea ngezi hakuna budi
 
Aiseeee....

Alikwambia ukweli. Ila reaction yako imemuogopesha imebidi akwambie alikuwa anatania.

Ametoa/anatoa hiyo mimba.

Kama unaweza kuhimili msamehe. Ila ukae ukijua wanawake wengi tukisamehewa kosa la usaliti Huwa tunaona kama tumewashika na hamna la kutufanya. Ni mara chache mwanamke kusamehewa na kumuheshimu mumewe vile vile, narudia wapo ambao wakisamehewa wanabadilika kweli ila ni wachache.

Pole Kwa changamoto mkuu, lolote utaloamua angalia amani ya moyo wako zaidi na mustakabali wa maisha ya mtoto wenu.
Nimependa huu ushauri
 
  • Thanks
Reactions: Luv
Back
Top Bottom