Jaribu kufikiri hivi.
1. Angeweza kutoa bila kukujulisha na kamwe usingejua. Je ni kwanini akuambie halafu anaenda kuitoa?
2. Kama alikuwa ana kujaribu alikuwa ana test nini hasa. yaani alitaka kujua nini?
Nionavyo mimi mke wako yuko njia panda. Ana mtu ambaye kwa akili yake anaona ni sahihi zaidi kuliko wewe. Inawezekana hata huko kuondoka kwake ilikuwa ni namna ya kutafuta nafasi ainjoy na huyo mtu. hakuhitaji tena, yaani anataka kutengeneza mazingira muachane ila akusingizie kwamba wewe ndo ulimiacha wakati yeye alikuwa anatania.
Chakufanya.
1. Kaa zako kimya usimtafute wala usimtumie fedha za matumizi. Akikutafuta mwambie aendelee na maisha yake kwani na wewe unakaribia kuoa.
2. Kama kweli anakuhitaji.atarudi nyumbani kumaliza msala. Mdani ya wiki tu. Ukiona anakupotezea ujua ndo imetoka hiyo.
3. Kuanza upya si ujinga...
Ila hujasema.swala la hela, je una hela?

️ ina tangawizi mnoo