Mke wangu ananipa wakati mgumu

Mke wangu ananipa wakati mgumu

Mwambiee dj hapo bar akupigieee nyimbo ambayo mliingia nayo harusini cku mnaoanaa alafuu aongezeee sauti kdg ukuu ukiwaa na k vant yk kubwaa mezan....
 
Bila salamu,

Ndugu zangu mimi ni mwenyeji umu ila nimetumia ID hii ili nipate msaada kwa tukio lililotokea ivi siku za karibuni huenda kuna sehemu nafeli kama mwanaume au haya mambo ya maumivu ndugu zangu mnauzoefu nayo.

Nina mke wangu ambaye tupo kwenye ndoa takribani miaka mitano sasa na tunae mtoto mmoja wa miaka mitatu tulikua tunaishi kwa furaha na amani apo nyuma sasa siku za karibuni mambo yakaanza kuvurugika ugomvi ugomvi hauishi ubishani haukauki ndani, kuna muda naona ni mambo ya kawaida ndo ubinadamu wenyewe kukwaruzana ni mambo ya kawaida.

Niende kwenye mada, Miezi kama mitatu nyuma mke wangu alienda kwao mkoa mwingine kuna mambo alienda kufatilia uko yakifamilia na kazi, sasa kipindi cha mwanzo hali ilikua shwari tunawasiliana vizuri badae mambo yakaanza kubadilika ugomvi kwenye simu unamwambia ili yeye anafanya lingine nilijikazana sana sasa juzi nikaona niongee nae vizuri mke wangu tujue shida nini tujenge palipobomoka.

Ila kiukweli uyu mwenzangu hakuwa na amani sana ongea yake ilikua kinyonge sana na kuna siku za karibuni nilikua nakasirika hadi natishia kumuacha ila likua anasema sawa tu niache.

Ilikua asubuhi siku hiyo naongea naye kiustaarabu kabisa kuwa anashida gani mara gafla akaanza kulia kwenye simu ananambia kuna jambo anatamani kuniambia ila anahofia litaleta madhara basi nikaanza kumbembeleza pale bora aseme tu ni jambo gani tujue tunafanyaje, hapo roho ipo juu juu navuta picha mambo mbali mbali hayaji akilini baadae akaamua kusema kinachomsibu akanambia “baba D nina mimba"

Sikuwaza chochote kibaya nikamuuliza tu sasa kwanini hukunambia muda wote na hiyo mimba ina muda gani? Akanijibu kuwa inakaribia mwezi sio yako.

Alooo! Nyie watu kumbe kuna mambo yanauma ivi nilihisi kama nimetobolewa moyo na kitu cha baridi niliishiwa nguvu masikio yalikua kama yameziba, namsikia kwa mbali analia sana ananiomba nimsamehe na anampango wakuitoa tu nikamuuliza mmekutana mara ngapi na uyo mtu akanambia mara 3

Nilikata simu kwakweli nikatulia kama nusu saa nafikiria jinsi alivyokuwa akigegedwa mke wangu yani nilikua nasikia hadi sauti za mahaba kichwani ndugu zangu haya mambo kumbe ndo yanauma hivi.

Nilipiga sana simu ilikua inatumika kama dakika 20 hivi alionesha yupo busy kuna mtu kama wanajadiliana, badae akapiga simu mwenyewe yani simple eti baba D nilikua nakutania tu nijue msimamo wako.

Sijawasilina nae mpaka leo hii namuonea huruma sana mwanangu sijui nafanyaje ila nina homa mwili hauna nguvu, yani kwa maelezo yale naona hakuna utani ni tukio lipo na huenda wamejadiliana na uyo malaya mwenzake watoe mimba.

Inauma aise mke wangu kachakatwa, hapo sidhani kama kuna utani nishaurini nifanye nn sijamtafuta hadi saizi na leo naenda kunywa pombe kwa mara ya kwanza.

Ukweli mtupu hakuna utunzi.
Inauma aise mke wangu kachakatwa, hapo sidhani kama kuna utani nishaurini nifanye nn sijamtafuta hadi saizi na leo naenda kunywa pombe kwa mara ya kwanza.
 
Nikupe fact chief, kulia utalia tu maana hata ulipozaliwa watu walijua upo hai baada ya kulia. Yaani kwaujumla umeweka energy kubwa kwenye ngono kuliko hata ndoa/familia. Kwako wewe unawaza kugongewa na kugonga ila si familia/ndoa. Wewe ni mwanaume, chagua naoa au sioi, huwezi kuwa neutral maana utaingia pabaya. Ila kama ngono ndio itanifanya nioe basi mimi ni mjinga kama mbwa tu. Vijana akiongelea ndoa huwaza ngono tu, yakianza ya ndoa utajiuliza kwanini ulioa maana wewe ulipigia mahesabu ngono tu. Hivi unajua kuna kipindi utsmkinai hata huyo mkewe, jipange boss.
koment hamjailewa mnadakiatu. Mimi mkewangu hafanyi kazi nimama wanyumbani.sasahuyu mwenzetu kamwachia mkewe naeyeye atafute. hapo unategemea nini?sikugongewatu bila mpangilio
 
koment hamjailewa mnadakiatu. Mimi mkewangu hafanyi kazi nimama wanyumbani.sasahuyu mwenzetu kamwachia mkewe naeyeye atafute. hapo unategemea nini?sikugongewatu bila mpangilio
Sasa mkuu nikuulize perception ya maisha ni sawa kwabinadamu wote. Unajua wewe umetoa mtazamo wako wa maisha, ila watu hawaishi kwamtazamo wako. Pia, wewe katika vyote ndani ya ndoa unawaza kugongewa, yaani unapanga maisha kulingana na kwamba usigongewe, utakufa chief😂😂😂. Yaani kuchepuka ni choice hata umnunulie nchi nzima kama choice yake ni kugongwa atafanya tu. Sasa kama utaharibu mipango yako kisa usigongewe basi ni juu yako.
 
lakini siunaona mwamba anataka aanze kulewa kisa kugongewa.🤣
 
Kama hujawah kunywa pombe, usithubutu hata kuionja wakati huu wa stress, pombe itachochea kuharibikiwa zaidi katika mipango yako, imekupasa kunywa kwa furaha.

Je, unauhakika ni mjamzito na baba wa ujauzito ni sela fulani la kitaa?

Je, mwenendo wa mkeo hapo home kwako ulikiuwaje?

Je, wakati wa kupiga shoo, ulikuwa unamsatify?

Je, hali ya uchumi wako ikoje?

Jibu kwanza haya, tupate mwelekeo

Nayeyuka kitahilatahila
Mimi, inshu yangu inafanana kidogo na ya mwamba,mimi niliulizwa namna ya kuachana kwa mila zetu ,je nitawadai mahari ,tena ameuliza hayo akiwa ugenini / msibani upande wao .Nikajaribu kudadisi anijibu ukweli akasema alikua anatania .Wazazi wake nikawajuza kauli ya binti yao nikajibiwa majibu mepesi,nikatoa option kua pumzika kidogo kwenu nitakufuata akakaidi .Tumeachana kizembe kwa kipigo kikali na ingawa kasepa na vitu nimekubali nitaanza upya ila namna nzuri hapo moyo wangu una amani
 
Kama ulishamwambia unataka kumwacha akakuambia "niache tu", basi MWACHE TU.

Mhesabu kama vile hayupo tena duniani. Kama wewe ni Mkristo kumbuka hata Biblia inasema ni ruksa kumwacha mke akifanya uasherati (Mt 5:32, Mt 19:9). Na pia wewe na mkeo ni mwili mmoja (Mwa 2:24). So, akiwepo mwanaume mwingine haiwezekani tena muwe mwili mmoja hivyo ndoa imekuwa imeshajifia.

Na hata kama wewe sio Mkristo, jua kwamba kama ameweza kulala na mwanaume bila kinga hadi akapata mimba, ni rahisi sana akakuua kwa ukimwi maana hata hajali afya yake. MWACHE !!

Mwache akae na huyo aliyempa mimba. Iko siku na yeye atamtema maana huyo mkeo ana silika ya umalaya ambayo ulikuwa huijui.

TENA, USIPATE PRESHA KABISA !! Wapo wanawake weengi wanaotafuta waume. Mwombe Mungu akusaidie ili safari hii upate mke anayekufaa. Huyo atalea huyo mtoto wako bila shida na kwa upendo. Hata humu jamvini ukitangaza unatafuta MKE watakuja kibaoo!!!
 
Daah nyie wanawake ni mashetan aise mrejesho ni kwamba baada yakuchimba ili jambo kiundani kwa mbinu zangu za kivita nimekuja kugundua ni kweli mama D ametombwer na jamaa unajiita Hassani kama upo umu mmefanikiwa kuharibu maisha ya mwanangu
KATAA NDOA KUMMMMAKE

SIO POA AISE INAUMA SANA NDUGU ZANGU
Screenshot_20221222-164743.jpg
 
Bila salamu,

Ndugu zangu mimi ni mwenyeji humu ila nimetumia ID hii ili nipate msaada kwa tukio lililotokea hivi siku za karibuni huenda kuna sehemu nafeli kama mwanaume au haya mambo ya maumivu ndugu zangu mna uzoefu nayo.

Nina mke wangu ambaye tupo kwenye ndoa takriban miaka mitano sasa na tunae mtoto mmoja wa miaka mitatu tulikuwa tunaishi kwa furaha na amani hapo nyuma sasa siku za karibuni mambo yakaanza kuvurugika ugomvi ugomvi hauishi ubishani haukauki ndani, kuna muda naona ni mambo ya kawaida ndo ubinadamu wenyewe kukwaruzana ni mambo ya kawaida.

Niende kwenye mada, Miezi kama mitatu nyuma mke wangu alienda kwao mkoa mwingine kuna mambo alienda kufatilia huko ya kifamilia na kazi, sasa kipindi cha mwanzo hali ilikuwa shwari tunawasiliana vizuri badae mambo yakaanza kubadilika ugomvi kwenye simu unamwambia hili yeye anafanya lingine nilijikaza sana sasa juzi nikaona niongee nae vizuri mke wangu tujue shida nini tujenge palipobomoka.

Ila kiukweli huyu mwenzangu hakuwa na amani sana ongea yake ilikuwa kinyonge sana na kuna siku za karibuni nilikuwa nakasirika hadi natishia kumuacha ila likuwa anasema sawa tu niache.

Ilikuwa asubuhi siku hiyo naongea naye kiustaarabu kabisa kuwa ana shida gani mara gafla akaanza kulia kwenye simu ananambia kuna jambo anatamani kuniambia ila anahofia litaleta madhara basi nikaanza kumbembeleza pale bora aseme tu ni jambo gani tujue tunafanyaje, hapo roho ipo juu juu navuta picha mambo mbalimbali hayaji akilini baadae akaamua kusema kinachomsibu akanambia “baba D nina mimba"

Sikuwaza chochote kibaya nikamuuliza tu sasa kwanini hukunambia muda wote na hiyo mimba ina muda gani? Akanijibu kuwa inakaribia mwezi sio yako.

Alooo! Nyie watu kumbe kuna mambo yanauma hivi nilihisi kama nimetobolewa moyo na kitu cha baridi niliishiwa nguvu masikio yalikuwa kama yameziba, namsikia kwa mbali analia sana ananiomba nimsamehe na ana mpango wa kuitoa tu nikamuuliza mmekutana mara ngapi na huyo mtu akanambia mara 3

Nilikata simu kwakweli nikatulia kama nusu saa nafikiria jinsi alivyokuwa akigegedwa mke wangu yani nilikuwa nasikia hadi sauti za mahaba kichwani ndugu zangu haya mambo kumbe ndo yanauma hivi.

Nilipiga sana simu ilikuwa inatumika kama dakika 20 hivi alionesha yupo busy kuna mtu kama wanajadiliana, badae akapiga simu mwenyewe yani simple eti baba D nilikuwa nakutania tu nijue msimamo wako.

Sijawasilina nae mpaka leo hii namuonea huruma sana mwanangu sijui nafanyaje ila nina homa mwili hauna nguvu, yani kwa maelezo yale naona hakuna utani ni tukio lipo na huenda wamejadiliana na huyo malaya mwenzake watoe mimba.

Inauma aise mke wangu kachakatwa, hapo sidhani kama kuna utani

Nishaurini nifanye nini sijamtafuta hadi sasa hivi na leo naenda kunywa pombe kwa mara ya kwanza.

Ukweli mtupu hakuna utunzi.
Pombe haitakuondolea tatizo hilo na wala sio suluhisho. Jikaze kiume uangalie unachukua maamuzi gani. Fuatilia inawezekana hata mtoto wa Kwanza sio wako . Fuatilia
 
Daah nyie wanawake ni mashetan aise mrejesho ni kwamba baada yakuchimba ili jambo kiundani kwa mbinu zangu za kivita nimekuja kugundua ni kweli mama D ametombwer na jamaa unajiita Hassani kama upo umu mmefanikiwa kuharibu maisha ya mwanangu
KATAA NDOA KUMMMMAKE

SIO POA AISE INAUMA SANA NDUGU ZANGU View attachment 2454639
Aisee pole sana, i feel you usaliti unaumiza mno.
 
Jusikafiri pole sana ndugu yangu. Haya mambo hayaa
 
Njoo inbox Plz usipuuze nigga
Daah nyie wanawake ni mashetan aise mrejesho ni kwamba baada yakuchimba ili jambo kiundani kwa mbinu zangu za kivita nimekuja kugundua ni kweli mama D ametombwer na jamaa unajiita Hassani kama upo umu mmefanikiwa kuharibu maisha ya mwanangu
KATAA NDOA KUMMMMAKE

SIO POA AISE INAUMA SANA NDUGU ZANGU View attachment 2454639
 
Daah nyie wanawake ni mashetan aise mrejesho ni kwamba baada yakuchimba ili jambo kiundani kwa mbinu zangu za kivita nimekuja kugundua ni kweli mama D ametombwer na jamaa unajiita Hassani kama upo umu mmefanikiwa kuharibu maisha ya mwanangu
KATAA NDOA KUMMMMAKE

SIO POA AISE INAUMA SANA NDUGU ZANGU View attachment 2454639
Anahisi kufa vipi na hasan yupo Ukimsamehee hasani ataendelea kulaa utamuu
 
Daah nyie wanawake ni mashetan aise mrejesho ni kwamba baada yakuchimba ili jambo kiundani kwa mbinu zangu za kivita nimekuja kugundua ni kweli mama D ametombwer na jamaa unajiita Hassani kama upo umu mmefanikiwa kuharibu maisha ya mwanangu
KATAA NDOA KUMMMMAKE

SIO POA AISE INAUMA SANA NDUGU ZANGU View attachment 2454639
Pole sana chief, baada ya mda utakuwa sawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kucheat ni maamuzi tu hakuna Cha
Tamaaa,uchumi sijui kumridhisha Wala nini kama mtu kaoa au kuolewa SI wanajua kabisa kuwa ni mke au mume wa mtu.kwanini wasiwe na misimamo
 
Back
Top Bottom