Mke wangu ananipa wakati mgumu

Mke wangu ananipa wakati mgumu

“baba D nina mimba"

Sikuwaza chochote kibaya nikamuuliza tu sasa kwanini hukunambia muda wote na hiyo mimba ina muda gani? Akanijibu kuwa inakaribia mwezi sio yako.

Alooo! Nyie watu kumbe kuna mambo yanauma hivi nilihisi kama nimetobolewa moyo na kitu cha baridi niliishiwa nguvu masikio yalikuwa kama yameziba, namsikia kwa mbali analia sana ananiomba nimsamehe na ana mpango wa kuitoa tu nikamuuliza mmekutana mara ngapi na huyo mtu akanambia mara 3

Nilikata simu kwakweli nikatulia kama nusu saa nafikiria jinsi alivyokuwa akigegedwa mke wangu yani nilikuwa nasikia hadi sauti za mahaba kichwani ndugu zangu haya mambo kumbe ndo yanauma hivi.

Nilipiga sana simu ilikuwa inatumika kama dakika 20 hivi alionesha yupo busy kuna mtu kama wanajadiliana, badae akapiga simu mwenyewe yani simple eti baba D nilikuwa nakutania tu nijue msimamo wako.

Sijawasilina nae mpaka leo hii namuonea huruma sana mwanangu sijui nafanyaje ila nina homa mwili hauna nguvu, yani kwa maelezo yale naona hakuna utani ni tukio lipo na huenda wamejadiliana na huyo malaya mwenzake watoe mimba.

Inauma aise mke wangu kachakatwa, hapo sidhani kama kuna utani

Nishaurini nifanye nini sijamtafuta hadi sasa hivi na leo naenda kunywa pombe kwa mara ya kwanza.

Ukweli mtupu hakuna utunzi.
Pole kak- mmefikia wapi na Mkeo?
 
Daah nyie wanawake ni mashetan aise mrejesho ni kwamba baada yakuchimba ili jambo kiundani kwa mbinu zangu za kivita nimekuja kugundua ni kweli mama D ametombwer na jamaa unajiita Hassani kama upo umu mmefanikiwa kuharibu maisha ya mwanangu
KATAA NDOA KUMMMMAKE

SIO POA AISE INAUMA SANA NDUGU ZANGU View attachment 2454639
Aiseee ndiyo furaha ya familia ishapotea hapo , mwanenu atagubikwa na lindi la huzuni mpaka awe mtu mzima kisa makosa ya wazazi wake
 
Ukishapiga chini kule napo upigwa chini. Pana wengine usingle mama wanaupenda wenyewe
 
Back
Top Bottom