Mke wangu ananipa wakati mgumu

Mke wangu ananipa wakati mgumu

#KuchapiwaHakuepukiki
#KitandaHakizaiHaramu
#KuchapiwaniSiriyaNdani


Kut*mbewa ni lazima na hakuna haja ya kupaniki. Kama hukumkuta bikra si ina maana alishat*ombwa na mabaharia kabla yako. Sasa tatizo liko wapi? Mbona hukuumia wakati huo na unaumia sasa hivi wakati kitombo ni kile kile? Uliuliza hata body count yake kabla hujamuoa?

Mzabzab njoo huku kuna jamaa kapaniki kisa eti mkewe kepelekewa moto mpaka kushikishwa mimba

Hitimisho: Kama hukumkuta mkeo bikra basi huna haki ya kulalamika ukit*mbewa. Unakausha tu na maisha yanasonga...maana kusema kweli ulishat*mbewa tayari tena na wanaume zaidi ya 10 hapo kabla!
Kumkuta mkeo sio mwana mwali sio tiketi ya yeye kufanya uzinzi.......
 
Hili Jambo limenishituaaa....nyiee wanawakee sisi...Kama nawaonàa wazeee wa kataaa ndoaaaa😅😅😅nachekaa Kama mazuri vilee
 
Mjusi Kafiri pole sana, ukimaliza kunywa jaribu ku download series inaitwa House of Cards 1&2 ni ya Muda kidogo. utakachokutana nacho humo ndio ushauri wangu kwako ndugu yangu
Mkuu hiyo house of cards 1& 2 umeipigia promo kidizaini sana😂
 
Kisa chako kina uongo asilimia 50 na ukweli asilimia 50.

Nikushauri tu Kwamba acha kumshupalia mkeo, we kaa kimya na uwache muda ufanye kazi Yale, muda utaongea tu na kila kitu kitakuwa bayana kwako.
 
Kiburi ,jeuri , Magonvi yatokanayo na Mwanamke mwenye Mume /Mpenzi ..Mara nyingi sana ikiwa wee Mume uko poa tu.

Basi ujue hayo yanatokana na yeye kua na Bwana .


Kwa maelezo hayo yako.

1-Ulishatombewa sanaaaaaaa tu mpaka akabeba mimba , yaan sanaaaaaaa .
( Kuna mambo Wanawake Huwa hawana gut ya kusema, mpaka pale mwenyewe aone anakukosea ,Nawewe ni mwema kwake, so anaamua kukiri).


Ulikoswa sana kuanza kumuuliza, umetombwa Mara ngapi, point yako ilikua nn?? Mtombaji Yuko hukohuko na mkeo, na ataendelea kumtomba ...na hizo dakika ishirin alikua anaongea na mtombaji wake, na mtombaji aoamshauri akuzuge Ivo !!


Unaweza kumuacha??? Vunja Ndoa ,OA mwanamke wa Nyumbani.


Huwez kumuacha, basi endelea kumpenda Mke wenu.
Oyaaa Punguza ukali wa mineno, noma sana hiyo
 
Cha kwanza nenda kamchomoe uko kwa wazazi wake mrudishe kwako afu haraka Sana mpeleke hospital unayoiamini au nunua kipimo kapimwe mimba.

Mimba hata Kama kaitoa Ina mwezi lazima TU akipima itaonekana bado imo.

Utakachokipata Rudi hapa tukushauri Cha kuamua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna haja ya kumrudisha nyumbani, huyo akampime hukohuko alipo, akisibitisha anamalizana nae hukohuko!
 
Duuuh....mimi namuomba Mungu kila siku...azidi kuniimarisha, anipe afya, aone mapambano, nizidi kufanikiwa financially...

Mimi napata amani ya moyo nikiwa na hela tu..nile vizuri, nilale vizuri, nisaidie watu n.k

Mke akijichanganya kama hivyo..ataondoka tu...na akitaka kubaki basi abaki kwa ajili ya watoto na hatutashiriki tendo la ndoa milele.. so atachagua kusuka au kunyoa..

Mkuu thibitisha kwanza, tena fanya haraka sana.Mfuate huko aliko akapime....ikikuta imo..achana naye....maisha yanakufundisha tu na Amini Mungu atakupa maisha mengine ya utulivu na amani.

Imeandikwa, ole wake amtegemeaye mwanadamu...
 
Sasa mwanamke kuliwa ndio kitu inakufanya unakuja uku mbiombio ukihema?? Kashàakwaambia ni utani..wee chukulia ni utani kweli alafu fanya research taratiiiiiibu huku ukiendelea kuenjoy maisha na "mai" wako. Ukijakugundua anachepuka kweli tafuta naww mahala(mchepuko) piga kambi ukiona panakufaa ndio uchome ili chaka la mwanzo. Hivi kwenu hamna wazee????
 
Kwa hiyo ww ulipatikana guest chumba no 37 Maana inaonekana wazazi wako hawajakuelekeza kua ndoa ina changamoto zake ila uvumilivu ndo wa muhim
Ngosha, uvumilie ili upate nini kwenye ndoa? Yaan uvumilie ujinga wa ndoa then upate nini baadae, yaani matunda ya kuvumilia ni nini hasa! Wewe kataa utapeli wa ndoa tu, haitakula,imu hata kuvumilia chochote.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Huyo baada ya kukwambia anakutania, wewe ungefunga tu safari kumfuata, ungeyajua mengi zaidi ya hapo
 
Back
Top Bottom