Mke wangu anakwaa pipa Rasmi Leo kwenda Ughaibuni

Huo UZUZU siwezi kufanya kamwe... wajibu wangu mimi ni kumtafutia yeye na si yeye kunitafutia mimi... ULAYA?? haha labda hujafika ULAYA ndugu yangu maisha kule si lelemama..... for sure na (Allah forbid) umemuuza mkeo... unajua kiwinta cha ulaya weye na wazungu wanavyopenda black .... na hata hawa wanyamwezi wenzetu na jamaa zetu huwagegeda sana dada zao wakikutana huko.....kama anapete ndo keshaivua tayari wewe mchunguze akirudi kama kidole kiki very smooth ujue kaivalia airport wakati anarudi........ umejipa dhimma kubwa sana mbele ya Allah kwa yote yatakayotokea huko.... ngumu kumeza lakini nimekupa live.... ULAYA

Mpe pole mleta mada yeye kaona ujiko
 
kama namuona shem anagonga mvinyo na jibabu la kidhungu pale kitcut corner
 
Huo UZUZU siwezi kufanya kamwe... wajibu wangu mimi ni kumtafutia yeye na si yeye kunitafutia mimi... ULAYA?? haha labda hujafika ULAYA ndugu yangu maisha kule si lelemama..... for sure na (Allah forbid) umemuuza mkeo... unajua kiwinta cha ulaya weye na wazungu wanavyopenda black .... na hata hawa wanyamwezi wenzetu na jamaa zetu huwagegeda sana dada zao wakikutana huko.....kama anapete ndo keshaivua tayari wewe mchunguze akirudi kama kidole kiki very smooth ujue kaivalia airport wakati anarudi........ umejipa dhimma kubwa sana mbele ya Allah kwa yote yatakayotokea huko.... ngumu kumeza lakini nimekupa live.... ULAYA
Mkuu naona unamtisha haiko hivyo kiuhalisia lbd kama unazungumzia maeneo ambayo bado hayajastaarabika lkn nijuavyo mimi watu huko wanaheshimiana sana na hakuna mtu sijui ukipita anakudolea macho kama bongo. Tena nafikiri ulaya ni sehemu ngumu sana kupata partner. Ninachoweza kusema huyo dada hawezi kubadilika kwani tabia ya mtu inajulikana toka atokako . Kama si mwaminifu hapo anaweza tia shaka. Nampa heko bwana kaka kwa kuthubutu na huo ndio utu.
 
Umeanza!
Hebu mtie moyo mwenzio,mke anauma ujue!!!

Siwezi kamwe juzi nimetoka kusuruhisha ndoa ya rafiki yangu mkewe kapata ufadhiri kwenda kusoma Masters Sweden baada ya miezi 3 kula ubwabwa akadondokea penzi la mzungu huko ughaibuni na kubeba mimba juu likizo alivyo rudi majanga tumbo hilo wkt jamaa hakupachika kitu.
 
Uwii! Pole yao.
Ila wapo wanaoenda na kubaki waaminifu kwa wenza wao.
 
Duh ni Kwa simanzi kubwa Leo ntamsindikiza mke wangu kukwaa pipa kwenda kuwajoin wabeba boksi ughaibuni.
Nimetafakari Kwa muda sasa na Sina budi kumpa nafasi akapiganie Maisha yakiwa Sawa atanivuta na Mimi inshallah.
Wivu Sina ila roho inauma jamani ni kufikiri upande wa pili wa shillingi wanajamii

Nenda swissport omba kazi cargo ukibeba miezimiwili basi utakaa mwaka ugaibhuni
 
Duh ni Kwa simanzi kubwa Leo ntamsindikiza mke wangu kukwaa pipa kwenda kuwajoin wabeba boksi ughaibuni.
Nimetafakari Kwa muda sasa na Sina budi kumpa nafasi akapiganie Maisha yakiwa Sawa atanivuta na Mimi inshallah.
Wivu Sina ila roho inauma jamani ni kufikiri upande wa pili wa shillingi wanajamii

ULIKUMBUKA KUMWEKEA CONDOM KWENYE BEGI AISEE HIYO NI MUHIMU
MKEWANGU AKIONA NAENDA SAFAARI YA MWEZI ANANITUMIA MSG HNY CHEKI

PEMBENI YALE MAMBOYETU JIFUNZE KUYATUMIA HATA KAMA UJUi

ANATANIA LAKIN KICHWAN KADHAMIRIA

Ujue BOX ZIMEJAA
 
Uwii! Pole yao.
Ila wapo wanaoenda na kubaki waaminifu kwa wenza wao.

Kati ya kumi ni mmoja tu anarudi kitumbua hakijakaguliwa na mzungu wala mmatumbi.
 
eti kwenda miaka 3 tu sio mingi, nkajiuliza kwani sasa hivi nalala njaa?.

nkaamua kubaki na.zombie tu.

Sijui ndoa yenu.ina umri gani, lakini sie.tunaolea chekechea ni risk sana.

Hizi zinafaa wanaolea wajukuu.

My waif wangu haezi kukaa mbali nami kwa zaidi ya mwezi mmoja in the name ya kwenda kutafuta maisha. Kama mbwai acha iwe mbwai. Uzuri ni kwamba sio tu mimi sikubali, bali hata yeye hataki.
 
Back
Top Bottom