Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,559
- 860,707
Angeweza hawakosagi cha kuandikaDuuh..Angekuwa wangu huyo ingebidi ajaze counter book 4 za maelezo ndo nimuelewe
Angeweza hawakosagi cha kuandikaDuuh..Angekuwa wangu huyo ingebidi ajaze counter book 4 za maelezo ndo nimuelewe
usikute jamaa anamzalisha mfululizo...mke kachoka1)Mtoto hakuwa wako
2)Hajapanga au hakupanga kuzaa na wewe
Kaa nae kwa upole akueleze ni sababu ipi kati ya 1 na 2!!!Kama ni ya1 angalia unakosea wapi na kubwa ni wew kuwa busy xana na unashndwa mtimizia haja zake kitandani. kama ni 2 huyo hakupendi mwambie arudi kwao maana sasa hakuna namba nyingine.
mbona unajitetea sana mkuu?Huwa mnawasimanga sana wadada humu kumbe na wake zenu huwa wanatoa,hapo asingeumwa wala usingejua.....sijui wake zenu wakitoa huwa hawachakai just thinking......
Unajua kusoma kweli au ulikimbilia kuniquote...hebu highlight nilipojitetea,mimi nadhani nimeuliza swalimbona unajitetea sana mkuu?
Hio sio justification, kutoa mimba ni dhambi hata sababu iweje...lakini ukubwa wa dhambi ni conscious ya mtu binafsi,labda mkewe conscious yake ilishakufa....usikute jamaa anamzalisha mfululizo...mke kachoka
KILL HER AND GOD WILL UNDERSTANDHabari ndugu zangu,
Juzi ilikua ni siku ya mshtuko baada ya mke wangu kuzidiwa ghafla nilipompeleka hospitali nikaambiwa mfuko wa kizazi ni mchafu kwa kua alitoa mimba hivi karibuni.
Nashindwa kwa kuanzia
Duh natamani ningekuwa na huo moyoKwa hili siwezi nikasema lolote aiseeee......
Maana haya mambo hua magumu sana mkuu, hasa nikikumbuka nilivyo kua nachapiwa na nikajua naushahidi ulikuwepo (picha).
Lakini mwisho wa siku niliishia kuendelea kuanae tu....
Hizi Kei bhana.....😀
sijui kusoma mkuu......Unajua kusoma kweli au ulikimbilia kuniquote...hebu highlight nilipojitetea,mimi nadhani nimeuliza swali
Haya pole,bahati mbaya sijajaaliwa kipaji cha kufundisha...sijui kusoma mkuu......
Naomba namba ya mkeo tafadhali ninashida naye binafsi.
kweli, ni hatari kuliko maelezo kama kaua mtoto wake mwenyewe, itakuwaje kwa mtoto wa mwenzake? ila angezaa mzungu sijui mkuu angekuja kuuliza nn maana hafanyi maamuzi magumu mpaka aulize.uyo atakuja kukutoa hata wewe! kama ametoa mimba basi ilikuwa ya mchepuko! unatakiwa uanze kwa ukali wala usimchekee uyo! muulize akupe sababu sita au zaidi za kutoa mimba??