Mke wangu ametoa mimba kwa siri

Mke wangu ametoa mimba kwa siri

Habari ndugu zangu,

Juzi ilikua ni siku ya mshtuko baada ya mke wangu kuzidiwa ghafla nilipompeleka hospitali nikaambiwa mfuko wa kizazi ni mchafu kwa kua alitoa mimba hivi karibuni.

Nashindwa kwa kuanzia
1. Unahisi mimba iliyotolewa ni yako?
2. Kama si yako, muulize politely who was responsible
3. Kama ni yako muulize why ameamua kuitoa..??
4. Kwa jibu lolote hapo juu, Itisha kikao cha kifamilia, kikiwahusisha waza tu, then elezea kilichotokea
5. Eleza maamuzi yako kwenye kikao baada ya kujibu maswali matatu ya mwanzo

PAMOJA NA YOTE HAYO, LABDA KAOGOPA KUWA SEHEMU YA ILE 48% YA DNA
 
Wenzake hata kama ya mchepuko wanazaa tu mbona wanaume kibao kwenye ndoa wanalea watoto ambao sio wao.....

La kutoa mimba hilo namlaumu sana.... Na wewe kwa kuanzia muulize kwanini ametoa mimba yako bila ridhaa yako
iyo sio mimba yake! tangu lini mtu anatoa mimba ya mumewe kama sio ya mchepuko! izo zarau sasa mimi niangakie familia alafu mtu aje kutoa mimba!
 
iyo sio mimba yake! tangu lini mtu anatoa mimba ya mumewe kama sio ya mchepuko! izo zarau sasa mimi niangakie familia alafu mtu aje kutoa mimba!
Najua ni ya mchepuko ndo mana kaitoa....ila sababu hajui wapi kwa kuanzia mie nimempa idea aseme kwanini katoa mimba yake afu mwanamke afunguke kama ya kwake ama laah
 
Najua ni ya mchepuko ndo mana kaitoa....ila sababu hajui wapi kwa kuanzia mie nimempa idea aseme kwanini katoa mimba yake afu mwanamke afunguke kama ya kwake ama laah
uyo sio mke ni msukule!
 
Habari ndugu zangu,

Juzi ilikua ni siku ya mshtuko baada ya mke wangu kuzidiwa ghafla nilipompeleka hospitali nikaambiwa mfuko wa kizazi ni mchafu kwa kua alitoa mimba hivi karibuni.

Nashindwa kwa kuanzia
Pita njia fupi. Mfungashie kila kilicho chake, nenda navyo hospitali kutana na wazazi wake hapo hospitali, wakabidhi mtoto wao. .huwezi fahamu what is plan b.
 
Mie nakushauri ufuatilie Ushauri Unaopewa hapa kisha Utuletee Mrejesho mapema iwezekanavypo. mie mwenyewe nina yangu hapa nayawazia.
 
au amepima upepo wa maisha akaona mtoto atateseka duniani? kama sio hivyo basi kesi yake kubwa hasa kutokushirikisha
 
Habari ndugu zangu,

Juzi ilikua ni siku ya mshtuko baada ya mke wangu kuzidiwa ghafla nilipompeleka hospitali nikaambiwa mfuko wa kizazi ni mchafu kwa kua alitoa mimba hivi karibuni.

Nashindwa kwa kuanzia

Haikuwa ya ndani hiyo ni kinyume chake. Hata kama ngumu kumeza
 
Hahahaaa mke wa mtu huyo.....na mumewe ndo huyo mleta mada
kwaiyo jamaa naomba tumshauri! daah basi amsamehe!maana kama kaomba tumshauri amvumilia katika shida na laha,katika matatizo na amani!
 
FB_20160118_09_58_12_Saved_Picture.jpg
 
Habari ndugu zangu,

Juzi ilikua ni siku ya mshtuko baada ya mke wangu kuzidiwa ghafla nilipompeleka hospitali nikaambiwa mfuko wa kizazi ni mchafu kwa kua alitoa mimba hivi karibuni.

Nashindwa kwa kuanzia
daah! pole sana mkuu mimi ninaamini wewe ni mcha Mungu! mpaka umekuja kuomba ushauri jambo zito hili namna hii!
 
Kaa chini tafakari. Kama katika maisha yako ulishawahi kumfanya mke wa mtu atoe ujauzito. Basi imerudi kwako. Kinachoenda hurudi.

Ila kama hujawahi kusababisha kitu kama hicho. Mwambie mama watoto akueleza ukweli. Ila ukiomba kuelezwa ukweli kubali kusamehe. Kama hutaki kusamehe huna haja ya kusikia ukweli.
 
Kwani yule aliepata solution ya tatizo lake la ujauzito wa eksi,anaendeleaje?
 
Back
Top Bottom