Mke wangu ametoa mimba kwa siri

Mke wangu ametoa mimba kwa siri

1)Mtoto hakuwa wako
2)Hajapanga au hakupanga kuzaa na wewe
Kaa nae kwa upole akueleze ni sababu ipi kati ya 1 na 2!!!Kama ni ya1 angalia unakosea wapi na kubwa ni wew kuwa busy xana na unashndwa mtimizia haja zake kitandani. kama ni 2 huyo hakupendi mwambie arudi kwao maana sasa hakuna namba nyingine.

Kweli kabisa

Mi mwenyewe alitoa hivyohivyo ila nashindwa kumumwaga kwa sababu ninahofu labda nishayakanyaga

Vinginevyo ningetafuta dogodogo mwingine tena toka mbali nikapima naye na ku-move on
 
Daah! Wanawake hawa! Huyo alitandikwa mimba na mchepuko. Nakushauri mbane ipasavyo mhoji kwa kina atakupa ukweli halafu baada ya hapo mtandike taraka mwanaharamu.

Ktk maisha yangu simwamin mwanamke na sitkuja kumwamin kamwe. Lakn kwakuwa ww unawatoto naye unaweza kumsamehe ila punguza iman kwake na agundue kabisa kuwa huna iman naye na fanya mambo ya maendeleo usimshirikishe unaweza kununua kiwanja sehem bila yeye kujua
 
Nyingine zinaporomokaga hata bila kujulikana ilikuwepo... cha msingi kaa kimya usimuulize A wala Z.
 
Óli i ánthropi yeniúnde eléftheri
ke ísi stin aksioprépia ke ta
dhikeómata. Íne prikizméni me
loyikí ke sinídhisi, ke ofílun na
simberiféronde metaksí tus me
pnévma adhelfosínis.
 
Óli i ánthropi yeniúnde eléftheri
ke ísi stin aksioprépia ke ta
dhikeómata. Íne prikizméni me
loyikí ke sinídhisi, ke ofílun na
simberiféronde metaksí tus me
pnévma adhelfosínis.


khaaaaaaa!
 
Nataka kujua kama angekuwa ndo mkeo ungefanyaje.....? Na pia hiki ambacho jamaa kimemtokea jaribu kuvaa viatu vyake ...
mimi ninamiguu midogo viatu vyake ni vikubwa sana havita nitosha!
 
Unazielewa eeee(kei)...hufurukuti mzee mzima[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] hatarrrr

Nafanyaje sasa mtu mzima!!
Kupenda nishapenda, nimekufa nikaoza, nimebakiza kuzikwa tu.
Ngoja nimalizie uzee mie staki stress na kuja kujiliza hapa jf aiseeee...
 
Mkewako atakuwa hakupendi au amepewa na mwanaume (sio wewe) hiyo mimba. Jitathmini uchukue hatua maana mke ni mzigo na umeubeba mwenyewe (sio sisi)
 
hatari mkeo mh...au ya mchepuko.....au mna watotowengi au ana changa ..hapo huna mke.....kama yako af kaitoa basi majanga
 
Dah, ametoa mimba bila wewe kujua, itakuwa sio yako. Ukitaka presha jaribu kupima vinasaba vya watoto wenu.
Mchepukaji ni mchepukaji tu.
 
Siyo yako hiyo mimba kaka sababu akapiga hesabu akubambikie mahesabu yakakataa!Ni mambo ya kawaida kwa madada wa Dar lkn kama upo mkoa ni serious issue

Vumilia tu kosa moja halimuachi mke!
 
Mamdenyi acha kutetea swala la kutoa mimba kwa mke wa mtu ni kubwa na linahitaji kumshilikisha mume pia. Hiyo ilikuwa ya mchepuko tu.
 
Mkuu ww fanya tu maamuz uje utupe feedback baadae.... Mm mwenyewe mchumba wangu alishawah kupewa mimba akaitoa nkamsamehe sasa maisha yanaendelea.... Wanawake waleo wanato.bwa kijinga kijinga tu....
 
Back
Top Bottom