Mke wangu anam-post Bosi wake WhatsApp Status

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,150
Reaction score
8,126
Kwa Siku tatu mfululuzo nimekua katika taharuki kubwa , kutokana na kitendo cha mke wangu kumuwekea bosi wake wasapu sitatasi na kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha..

Leo asubuhi amempost bosi wake ndugu Abudala na kuandika "mtu mwenye moyo wake mjini , sio Hawa wakwetu wanaume videvu, wavaa shati za vitenge na suruali za ulimbo".

Ukweli nahisi kudhalilika kupitia wasapu sitatasi zake, hasa ukizingatia huyo bosi wake ni juzi alinipa laki moja na kuomba mke wangu ahamia kazini kwake namimi nikakubali.

Nalia kwa uchungu ndugu zangu!!!!
 
Haahahhah
 
20260221_140351.jpg
 
Baaaaaaaaadi😂😂😂😂
 
Bado kuna wanaume wanalilia mapenzi?😄😄😄😄😄😝😝😝
Endelea kulilia mapenzi
 
Kwa Siku tatu mfululuzo nimekua katika taharuki kubwa , kutokana na kitendo cha mke wangu kumuwekea bosi wake wasapu sitatasi na kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha..

Leo asubuhi amempost bosi wake ndugu Abudala na kuandika "mtu mwenye moyo wake mjini , sio Hawa wakwetu wanaume videvu, wavaa shati za vitenge na suruali za ulimbo".

Ukweli nahisi kudhalilika kupitia wasapu sitatasi zake, hasa ukizingatia huyo bosi wake ni juzi alinipa laki moja na kuomba mke wangu ahamia kazini kwake namimi nikakubali.

Nalia kwa uchungu ndugu zangu!!!!
tukiachana na tatizo la afya ya akili ulilonalo au unalojaribu kulitafuta kwa nguvu, changamoto nyingine ipo hapo chini
..kapusheni nyingi za kunizodoa na kunidhalilisha..
 
Back
Top Bottom