Mke wangu amenipiga kwenye makende

Mke wangu amenipiga kwenye makende

Habari.

Mimi ni mzee na mgeni humu JamiiForums, mtoto wangu amenifungulia akaunti. Nina humli wa miaka 79 na nina nguvu za kunitosha.

Nina mke wangu ana miaka 23 na nimemwowa mwaka wa tano huu....

Ninatatizo la busha awu mshipa. Jana usiku wakati mke wangu ananinyowa nywele sehemu za siri akawa akazipiga kama kite nesi kende zangu hali iliyopelekeha maumivu. Tulikuwa na ugomvi kidogo.

Na huyu ni mkee wapili ni mke mdogo.
Ananisumbua sana na nimshari mno hasa wakati wausiku nikiwomba chakula cha usiku.

Nimenuniwa ni siku ya nne leo.
Wakubwa wezangu nishaurini kwenye hili
Angeyakata kabisa atupie mbwa.
 
mle kwa mpangalange
 
Habar

Kuna mafuta ambayo nasikia ukipaka unapotea huonekani mwenye uelewa na haya mafuta atupe nondo hapa .
Nawathirisha

Habari.

Mimi ni mzee na mgeni humu JamiiForums, mtoto wangu amenifungulia akaunti. Nina humli wa miaka 79 na nina nguvu za kunitosha.

Nina mke wangu ana miaka 23 na nimemwowa mwaka wa tano huu....

Ninatatizo la busha awu mshipa. Jana usiku wakati mke wangu ananinyowa nywele sehemu za siri akawa akazipiga kama kite nesi kende zangu hali iliyopelekeha maumivu. Tulikuwa na ugomvi kidogo.

Na huyu ni mkee wapili ni mke mdogo.
Ananisumbua sana na nimshari mno hasa wakati wausiku nikiwomba chakula cha usiku.

Nimenuniwa ni siku ya nne leo.
Wakubwa wezangu nishaurini kwenye hili
Sasa lewo ndiwo wewe unakuja kutuwomba ushauri baada ya kuowa kwa miaka yote Tano kweli.? Muwache aisee atakuuwa mzee mwensetu.
 
Back
Top Bottom