Huyo ni Mpwayungu village anatuchora tuumkali Genta amekuja na style mpya.
haya pole muzehe wangu kwa kuhumizwa mabumbu
MpwayunguKama nakuona vile mtoa mada[emoji38]
😅😅😅😅 Unataka amuue?Alikosea sana,Kwa mwandiko huo angekuwa anapiga kichwa
Kajiunga leo na uzi juu[emoji23][emoji23][emoji23]Abali.Mimi ni muze na mgeni humu jamifolam,mutoto wangu amenifuguriya akauti. nina humli wa miaka 79 na nina guvu zakunitosha.
Nina muke wagu ana miyaka 23 na nimemwowa mwaka wa tano uu....
Ninatatizo la busha awu mushipa.jana usku wakati mke wangu ananinyowa nywere semu za sili akawa akazipiga kama kite nesi bumbu zangu ari iliyopelekeha mawumivu. Tulikuwa naugomvi kidogo.
Nauyu ni mkee wapiri ni mke mudogo.
Ananisumbuwa sana na nimushali mno asa wakati wausiku nikiwomba chakura chausiku.
Nimenuniwa nisiku ya ine reo.
Wakubwa wezangu nishaulini kwenye iri
Cc: Arubati mzee wa mafua.Ati "bafua yaminikamata nashindwa kubumua fisuri😂😂😂kuna mtu jina limenitoka na yeye alikuwa anajifanyisha hivi hivi😂😂😂
🤣🤣🤣Kumsaidia😅😅😅😅 Unataka amuue?
Yanii huyu mwehuu kaamua atuchezee akilii kenge sana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23]ila JF kuna watuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani huyu mwamba kanichekesha sana. Kwanza huyu atakuwa ni dogo tu, hakuna cha mzee wala nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila JF kuna watuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe coverage ya jamiiforamu ni mpaka Goma?Abali.Mimi ni muze na mgeni humu jamifolam,mutoto wangu amenifuguriya akauti. nina humli wa miaka 79 na nina guvu zakunitosha.
Nina muke wagu ana miyaka 23 na nimemwowa mwaka wa tano uu....
Ninatatizo la busha awu mushipa.jana usku wakati mke wangu ananinyowa nywere semu za sili akawa akazipiga kama kite nesi bumbu zangu ari iliyopelekeha mawumivu. Tulikuwa naugomvi kidogo.
Nauyu ni mkee wapiri ni mke mudogo.
Ananisumbuwa sana na nimushali mno asa wakati wausiku nikiwomba chakura chausiku.
Nimenuniwa nisiku ya ine reo.
Wakubwa wezangu nishaulini kwenye iri
Ni yeye ,ule uzi wake kwanza ,alikua akimtafuta ndugu yake ,badala ya ndugu anaweka dugu,namtafuta dugu yanguViatu vya samaki😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwa uandishi huu we ni zoba, na nasema upigwe tu.Abali.Mimi ni muze na mgeni humu jamifolam,mutoto wangu amenifuguriya akauti. nina humli wa miaka 79 na nina guvu zakunitosha.