Ushauri: Mke wangu ni mvivu kwenye kufanya mapenzi

Ushauri: Mke wangu ni mvivu kwenye kufanya mapenzi

Ilambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
475
Reaction score
90
Mimi mwanaume nina miaka 28 nimeoa, tatizo mke wangu ni mvivu sana kwenye tendo la ndoa nikimpiga bao moja tu anatosheka analala.

Sasa ikifika usiku nikiwa nahitaji mzigo anabana katosheka na huwa anafika kileleni vizuru tu, sasa tatizo sijui nguvu za kike hana.

Je, kama ndio hivyo ale chakula gani kuongeza hamasa kiukweli mimi napenda sana ngono mpaka natamani kuchepuka sasa.


Ushauri
 
mPe koRosHo na kaRangA mbiChi na spRiTe ya baRidii kila baAada ya siku Mbili.
UtaOna changes halAfu uletE mrejesHo hapa JukwaAani
 
sawa............................
 
unafanya na mkeo ngono au tendo la ndoa?
 
hahaha, dah mkuu hebu rekebisha basi post yako, michapio mingi
 
Dah....ndugu mleta mada umeishia darasa la ngapi?maana post yako typing errors nyingi mno.ukimaliza kuandika jaribu kurudia tena kuisoma kabla hujapost.
 
Siyo kama karidhika. Sema atakuwa anafanya sana kazi kutwa, mpaka anakuwa kachoka. Ili asikukwaze anasema karidhika.
 
mkeo amechoka kufanya ngono anataka kufanya mapenzi....wewe unapaswa kufundishwa namna ya kufanya mapenzi
 
Wanawake wengine wakipiga bao wanachoka sana,so huenda bao linamchosha mpaka basi.Muhimu ni kuongea naye jinsi unavyo jisikia na jinsi unavyo taka game liwe.Kingine ni kwamba wakati mnafanya usimfikishe kileleni ili awe anataka mara kwa mara na mda ukifika unaotaka unamfikisha.
 
Ngono huchosha, na nilazima ashindwe kuendelea kukupa raha mpe "tendo la ndoa" mkeo na si ngono!!!
 
Labla nikuulize ilo moja unaendaga muda gani? Usikute unaenda masaa mawili unamsugua binti wa watu adi maji yanakauka na bado tuh unaendelea unamshughulisha mpaka kusimama hawezi afu ni bao la kwanza...... nijibu unaendaga muda gani ndo nikushauri ninachojua
 
ni dk 10 iv .sio nying.xo karanga sprite mambo yanaiuwa supa
 
Back
Top Bottom