Mke wangu amenipiga kwenye makende

Mke wangu amenipiga kwenye makende

Abali.Mimi ni muze na mgeni humu jamifolam,mutoto wangu amenifuguriya akauti. nina humli wa miaka 79 na nina guvu zakunitosha.
Nina muke wagu ana miyaka 23 na nimemwowa mwaka wa tano uu....
Ninatatizo la busha awu mushipa.jana usku wakati mke wangu ananinyowa nywere semu za sili akawa akazipiga kama kite nesi bumbu zangu ari iliyopelekeha mawumivu. Tulikuwa naugomvi kidogo.

Nauyu ni mkee wapiri ni mke mudogo.
Ananisumbuwa sana na nimushali mno asa wakati wausiku nikiwomba chakura chausiku.

Nimenuniwa nisiku ya ine reo.
Wakubwa wezangu nishaulini kwenye iri
Hongera sana mkuu naona umeamua kutuaribia siku 🤣🤣🤣🤣
 
Duuu! Hii kiboko. Ngoja kwanza niendelee kusoma comments za Wananzengo.
 
Back
Top Bottom