Mke wangu amenifanya nimkinai

Mke wangu amenifanya nimkinai

Nimewapenda sana wanaume kwenye huu Uzi, heri mumemwambia ukweli huyu mvulana wanawake tukizaa miili yetu huchakaa na kubadilika na hata sisi hayo mabadiliko hutuumiza lakini tufanyeje ndio tunaleta watoto duniani, Sasa wanaume wengi wasiojielewa huanza umalaya na kuumiza wake zao
Sawa
 
Daaah ila we jamaa unaweza kupata laana! Kumbe unajua iyo michirizi ni kwaajili ya tumbo la uzazi amekupa zawadi ya mtoto kakubali kujiharibu kwaaijili ya mtoto wako wewe kenge..... chepuka kwa uroho wako wacha kusingizia mambo ya mkeo sasa hayo yana connection gani na zaga yake? Ukiona binti ana iyo mistari mpe heshima yake uyo ni mama!!!! Bila hiyo michirizi hata wewe usingekuwepo jifunze kuwa na adabu
Ujumbe mzuri ila umetumia poor technique kuuwasilisha! Poor representation!
 
Huyu ni mpumbavu sana,
Mke kaanguka kavunjika mkono tena kule kwenye vidole,

Leo wiki ya pili mimi namwogesha ,
Nina miaka naye 31, na ninampenda haswa,

Huyu huyo mke wake atakaa naye miaka mingapi?

Mpuuzi sana huyu mtu, na hana adabu, pamoja na kusemwa humu lakini hata msamahaa hana
Msamaha gani wewe mzee? Ninampenda na ndiyo maana namtafutia dawa!
 
Unamtisha Nani Sasa wewe pusi,, na je ukifirimbwa wewe,,jitu lenyewe akili huna jibwakoko
Pusi? Pusi si unayo wewe kati kati ya miguu yako? Inanuka samaki samaki si ndio? Sio huyo tu, hata nikikukuta wewe nakufirimba pia!
 
Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.

Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.

Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
Nipe Namba yake nimpe shule namna ya kuondoa hiyo michirizi.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Ila sisi wanaume tuko tofauti sana binafsi navutiwa sana na michirizi haswa eneo la nyonga na makalio yaani ni kama vile naona bibo limeiva mpaka likapasuka.
 
Ila sisi wanaume tuko tofauti sana binafsi navutiwa sana na michirizi haswa eneo la nyonga na makalio yaani ni kama vile naona bibo limeiva mpaka likapasuka.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] daaaaah usiniambie!
 
Whats wrong with that?

Yaani hii dunia bwana,kuna watu wanajitafutiaga sadness bila sababu ya msingi

Basi uwe unamtomba usiku umezima taa usione hizo stretch marks

Au tomba ukiwa umevaa masks usione chochote

You niggas are like babies.......no self consciousness!
Mkuu usitake kuniambia wewe unapenda stretch marks, ila anyway nitachukua ushauri huo. Shukrani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom