Mke wangu amenifanya nimkinai

Mke wangu amenifanya nimkinai

Mkuu, kama unataka kuchepuka sababu ya michirizi tu, basi sina budi kusema ulioa ili kuhalalisha ngono.

Mkuu, kwa ushauri mdogo tu, tafuta bio-oils hua zinasaidia kwa kiasi fulani.

NB: usichepuke mkuu, pambana zaidi mpaka wife arudi katika hali sawa,na hicho ndicho kinaitwa ku-add value kwa mwenza wako.

Bio oils hamna kitu nowdays

Naziuza Ila kwa michirizi ni uongo
 
Msaidie sasa, cz hata mke wake atakuwa anahangaika na hiyo michirizi.
Hiyo michirizi tumboni inawatokea wengi sio big dili unless kama mama ni mpenda vitop na kuvaa nguo zinazoacha tumbo wazi
Kuna scars remover zinaondoa hilo tatizo lakini zina madhara ya baadae hasa cancer ya ngozi
Mwanamke naye anahangaika baada ya kugundua mume haipendi hiyo michirizi.. But wakumbuke wataendelea kuzaa na michirizi itaongezeka labda aamue kunenepa
 
Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.
View attachment 2049441
We mpumbavu kweli! Eti anataka kukufanya uchepuke kisa kapata michirizi ambayo hakuenda kuinunua mwenyewe Dukani Bali imetokana na kumzalia mtoto MWANAUME MPUMBAV asiejielewa🤣
 
Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.

Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.

Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!
Umenishangaza kweli kuwa baada ya kazi yote aliyofanya kukuletea kiumbe duniani na wewe ukaitwa baba halafu eti unajali michirizi!!!

Kwanza ushukuru kuwa amejifungua salama bila ya matatizo. Tulia na mkeo wacha mambo ya kitoto hayo. Zima taa kama unaona inakukera.
 
Michirizi kwa mama aliejifungua ni hali ya kawaida na ni jambo linaudhi pindi unapotoka kujifungua haswaa kwa mwanamke na unaweza jichukia for the rest of ur life,lakini michirizi hio inaenda ikipotea taratibu na kuna baadhi ya miili ya wengine hufutika kabisa ila wengine hubakia kwa mbali kwa maana hio haliwezi kupotea hapo hapo kwamba ndani ya mwezi hapana ila it will take sometime kurudi kuwa normal ila kikubwa ajitahidi kuwa anapakaa mafuta ya nazi halisi ya kupika nyumbani kila anapotoka kuoga sehemu zenye hio hali haswaa tumboni itaenda ikipotea mdogo mdogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom