Mke wangu amenifanya nimkinai

Mke wangu amenifanya nimkinai

Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.

Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.

Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
Kama anatumia cream aache lakini michirizi ya uzazi huondoka taratiibu
 
Mkuu kumbe una mdomo mchafu hivyo?![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
inakera mkuu,member hawashirikishi kabisa akili labla ya kuleta uzi. sasa mtu changamoto ndogo tu za kiafya za mkewe anasema kamkinai. akikatika miguu je?au yeye mume akipata kilema,vipi adhalilishwe? sio kila ujinga unaowaza kichwani uuseme,mengine unakemea. Hoja ya msingi ilikuwa kuomba ushauri wa dawa
 
Yaaan nimewaza sana siku nakuta kitambi changu kimefunguliwa uzi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na mumeo? Ila nasikia wakati wengine tunapambana kuwafosi wake zetu wenye vitambi wafanye mazoezi, kuna wanaume wenzetu ndio udhaifu wao huo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom