Mke wangu amenifanya nimkinai

Mke wangu amenifanya nimkinai

Bado sura ya usichana itaondoka inakuja ya uzee....kimbia nyumba kabisa make yajayo hayafurahishi.
Hahaha umemaliza...
Na bado hajaongeza wa pili na watatu....
Hapo bado hajamkuta anafanya homework na watoto... with a serious face...
Bora akimbie tuu mapemaa!
 
Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.

Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.

Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
Wife alikuwa nayo Ila kwa tiba yake mbonaa rahisi Mkuuu wa kayaaa
 
Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.

Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.

Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
"A Song Of Lawino and Ocol."
Yaani unasema mkeo anakukinaisha, inamaa ulifikiria kama uzazi jambo rahisi tu, bila ya kuwa na mabadiliko kwa mkeo, aliyekuzalia mtoto, hali ambayo wewe umeisababisha kwa 100%.
HUNA AKILI. UNAMKOSEA HESHIMA MKEO.
Utamsababishia insecurity kwa ujinga wako, utamsababishia depression kwa ujinga wako.

Kutoka katika kitabu hapo juu wewe ni "Ocol" unamkimbilia "Clementine(mchepuko)" , na kumuacha mkeo "Lawino (mwanamke wa kibantu halisi)" kwa sababu eti "Lawino" anamichirizi iliyosababishwa na swala zima la uzazi ambalo wewe "Ocol" ndo umesababisha.

Wewe jamaa umefeli sana.
 
Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.

Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.

Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
Pumbavu kabisa!! Huna hata haya unavosema unataka umuasi mkeo kisa katokwa na michirizi tena ametoka kujifungua. Mungu akuepushe ndugu.
 
Hakika hii imeniumiza mimi Mwanaume enewei, nalirudia hili tena

Wadada/Wanawake, sio kila anaekojoa kasimama ni Mwanaume wa kuwa Mumeo na Baba wa Familia yenu. Kuna Wavulana wengi tu waliopevuka kibaiolojia sio Kiakili. Changa karata zako vyema binti kwa huyo anaetaka kukuoa.
 
Yaani amejifikiria yeye tu, sipati picha hiyo michirizi ingekua ni ya unene wa kula
emoji28.png
emoji28.png
Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.

Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.

Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441

Kila nikisoma tittle ya andiko lako nasisimka, na unajiletea Lawama na Lana Kama utamtenda vibaya mke wako.

Tittle yako "Mke amenisababisha ni mkinai"

  • Wewe ulioa mke mweupe Kwa hiyari yako.
  • Ukampa uja uzito ambayo ndo sababu ya hayo.
  • Mungu akajalia ukapata mtoto, na haya ndo Matokeo.

Ungekuwa hukujaliwa uwezo WA kumpa mimba, usingemsema mtoto wa watu.

Unataka kutoka nje sio sababu ya utu wa mtu, Bali maumbile yaliyoletwa na wewe kupata mtoto.

Ni sawa na wewe ungekuwa huna nguvu za kiume mke akakulaumu ukatoka nje.

Ushauri:

  • Mtake mke radhi.
  • Futa au badili head ya andiko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom