Mke wangu amenifanya nimkinai

Mke wangu amenifanya nimkinai

Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.

Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.
Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhari
Huo sio ugonjwa bro ila wewe ndiyo mgonjwa
 
Ntazana Ntazana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaah kuna watu wana id za ajabu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah nimeumia sana
Pole sana,mwanamke wa hivyo ni changamoto sana wala sio siri,inabidi mkulane usiku tu mkishazima taa, hiyo michirizi inakata moto hatari,utampenda sana kwakuwa ni mkeo ila huna namna itabidi utafute sehemu nyingine ya kukata kiu.
 
Kwani hiyo mistari atakuwa anatembea nayo kifua wazi mkuu
 
Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.

Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.

Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
Ulipenda mke au ngozi?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Wakuu tumehangaika muda mrefu kutafuta dawa ambayo itamsaidia kuondoa michirizi ila kila dawa tuliojaribu haileti mabadiliko.

Kwa kweli anataka kunifanya nichepuke angali bado nampenda, naumia ila naona kabisa nitashindwa kuvumilia, hii imekuja tangu alipojifungua, AME recover ila michirizi ndio shida.

Mwenye kufahamu Tiba ya uhakika tafadhali!View attachment 2049441
Hiyo michirizi unashida gani? Kama anakupa mechi unarizika hiyo michirizi iache tu kina siku itaisha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom