Mke wangu amenifanya nimkinai

Mke wangu amenifanya nimkinai

Huyu ni mpumbavu sana,
Mke kaanguka kavunjika mkono tena kule kwenye vidole,

Leo wiki ya pili mimi namwogesha ,
Nina miaka naye 31, na ninampenda haswa,

Huyu huyo mke wake atakaa naye miaka mingapi?

Mpuuzi sana huyu mtu, na hana adabu, pamoja na kusemwa humu lakini hata msamahaa hana
Huyu bado ni kijana hajui maisha aisee wenzi wetu tuwapende walivo na tusitafte excuse eti wanatukinaisha, Hawa ndio wanaofanya wadada waache kunyonyesha kisa kuogopa nyonyo kulala, au kukimbilia operation Ili k ziwe tight eti, na huyu mleta mada na yeye anafikiria atakuwa hivo siku zote na assume wakae na mkewe mda mrefu ka huo wenu si atahama Hadi nchi kabisa
 
Hujafa hujaumbika ngoja utemguke kiuno ushindwe kugegeda mkeo aanze dharau nakwambia utajinyonga hii Dunia hujafa hujaumbika
Sio mimi labda mwingine! Nishakutana na dharau kubwa kuliko hiyo, na sikujinyonga. Try it next time please![emoji3]
 
Hicho kifirio ungekuwa nacho,, eti stretch marks zinakufanya ukinai,, washakufira na nguvu huna unatafuta visingizio, pumbavu wa karne
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Who cares?

Mbona unapenda kutaja taja sana mke as if ni life archivement of some sort?

Umekutana na binadamu mjinga mwenzio mmezoana huko muishi pamoja,ishini huko,mvumiliane nyie wenyewe no one needs anybody's opinion on his own life choices

Nikiwa nae nisiwe nae telling you ain't my business.

Wewe pambana na stretch marks,tapika mpaka basi,na mengine yataongezeka,vitambi chako na chake,your urine bladders will be loose and be pissing all over yourselves like kids,etc

Kila mtu akae na mtu wake wapambane na maisha,aint nothing special there,all of yall are human beings afterall!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom