cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,067
- 46,696
Nimewapenda sana wanaume kwenye huu Uzi, heri mumemwambia ukweli huyu mvulana wanawake tukizaa miili yetu huchakaa na kubadilika na hata sisi hayo mabadiliko hutuumiza lakini tufanyeje ndio tunaleta watoto duniani, Sasa wanaume wengi wasiojielewa huanza umalaya na kuumiza wake zao