Mke wako anataka kumnyoa msitu mdogo wako

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,879
155,845
Ufanyeje ukiikuta meseji hii kwenye sent items za simu ya mkeo?
Amemwandikia mdogo wako, baba mmoja mama mbalimbali. Umekuwa ukimsomesha mdogo wako huyo tangu akiwa sekondari na sasa yuko mwaka wa pili chuo.
Pia mkeo kamsevu mdogo wako kwa jina Irene Msusi.
Meseji yenyewe inasema hivi;-
Jiandae kesho lazima nikunyoe msitu, jana nimekusikia umeanza kutoa kaharufu fulani kabaya.
Hiki ni kisa cha kweli kimemtokea jamaa yangu, kaja kuniomba ushauri akiwa na simu ya mkewe. Hajamwambia mkewe lolote na wala mkewe hajui jamaa kaichukua simu yake tangu saa 11 alipotoka kazini
 
Duh !!!! kazi kweli ndoa za siku hizi, kwanza huyo rafiki yako nae inakuwaje anashikashika simu ya mke wake na kuangalia sms za mkewe kwa nini? inaoneka kwamba hakuna kuaminiana ndani ya nyumba hiyo.

Pili isijekuwa huyo jamaa yako amekuwa na tabia ya kucheza nje cup mpaka wife ameshhtukia nae ameamua kulipiza kisasi kwa huyo ndogo.

Kwa ushauri wangu amuite mke wake na mdogo wake , awakanye kwamba wanachofanya anakijua, pia huyo dogo iwe ni marufuku kufikia kwake, aende kwa ndugu wengine. Kama waliendelea na akigundua basi waachane tu na huyo mwana mke.
 
Ni dhahil bin shahil kwamba wawili hao wameshazama katika dimbwi la mahaba, anatakiwe apime na achukue hatua.
 
Ufanyeje ukiikuta meseji hii kwenye sent items za simu ya mkeo?
Amemwandikia mdogo wako, baba mmoja mama mbalimbali. Umekuwa ukimsomesha mdogo wako huyo tangu akiwa sekondari na sasa yuko mwaka wa pili chuo.
Pia mkeo kamsevu mdogo wako kwa jina Irene Msusi.
Meseji yenyewe inasema hivi;-

Hiki ni kisa cha kweli kimemtokea jamaa yangu, kaja kuniomba ushauri akiwa na simu ya mkewe. Hajamwambia mkewe lolote na wala mkewe hajui jamaa kaichukua simu yake tangu saa 11 alipotoka kazini

Aiseeee!!!!!!!!!
 
When you come across people's privacy or secret you should also be ready to zip your mouth!

sasa mume kakuta mauzauza kwenye sim ya mkewe badala ya kuchukua hatua anaanza kuhaha na simu mkononi na kuomba ushauri? Anajiweka kwenye nafas gan kama mwanaume? Heshima yake kwa jamii na mkewe itakuwa vip? Naona kuna kujidhalilisha indirect hapo.

Hapo amuweke kikao mdogo wake na mkewe awape onyo na kumwambia dogo awe na heshima kwa shemeji yake. Na pia aangalie chanzo cha mkewe kutoka na dogo isije kuwa anajitapa na mechi za ugenini nyumban analegeza.

pia aangalie muda anaotumia kukaa na mkewe, the way anavyo mpa attention na care, kama ame change nadhan dogo ndo katumia hyo opportunity na kumteka mkewe.

nadhan kwa kukaa wote watatu wanaweza kumaliza huo utata manake ni dogo lazma atakoma na kumpa heshma kaka yake na shemeji yake..ikishindikana amuwekee vikwazo wa kiuchumi huyo dogo hadi aweke heshima mbele.
 
Duh !!!! kazi kweli ndoa za siku hizi, kwanza huyo rafiki yako nae inakuwaje anashikashika simu ya mke wake na kuangalia sms za mkewe kwa nini? inaoneka kwamba hakuna kuaminiana ndani ya nyumba hiyo.

Pili isijekuwa huyo jamaa yako amekuwa na tabia ya kucheza nje cup mpaka wife ameshhtukia nae ameamua kulipiza kisasi kwa huyo ndogo.

Kwa ushauri wangu amuite mke wake na mdogo wake , awakanye kwamba wanachofanya anakijua, pia huyo dogo iwe ni marufuku kufikia kwake, aende kwa ndugu wengine. Kama waliendelea na akigundua basi waachane tu na huyo mwana mke.

Hakuna cha kukanya hapo, hakuna ndoa.... we mtu hadi asevu jina la shemeji namna hiyo na kutuma message hizo bado uanze vikao

HIyo kitu ilishaota mbawa siku nyingi
 
Ni dhahil bin shahil kwamba wawili hao wameshazama katika dimbwi la mahaba, anatakiwe apime na achukue hatua.

ni kweli kabisa, lakini kumbuka hata wazame vipi katika hilo dimbwi la mahaba kamwe hawataweza kuloa.
 
Mkuu mimi naona jamaa asipanic mapema na wala asimuulize mkewe but kwakuwa hiyo sms imesema kesho kama ana muda afuatilie nyendo za mkewe then atajua mbivu na mbichi ni nini na achukue hatua stahiki

cc: Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Ila mwanamke hana staha huyo! Presuming huyo shemeji ni shemeji~kula. Kuna haja ya kumuambia kuwa alisikia harufu mbaya kwake? Kwani angeishia kumnyoa tu si angesolve tatizo?
 
uyo mke inaonesha ameanza kufanya hayo mambo zamani cha msingi fukuza mke na umkanye mdogo wako
 
Back
Top Bottom