Mke wako anataka kumnyoa msitu mdogo wako

Mke wako anataka kumnyoa msitu mdogo wako

HAwa wanaume wengine wanatudhalilisha sisi wenzao. Dawa ni kumpa nauli arudi kwao ikiwezekana sasa hivi, halafu mume achukue ngoma ingine aweke ndani angalau katika kipindi hiki cha mpito,mimi kosa la mdogo mtu sijaliona kama paka akiona nyama imewekwa vibaya si atakula tu, sasa kosa la nani? la paka au la muwekaji? vibaya?
 
dogo arudi kijijini nanjilinji akasalimie na mke anakula talaka akafanye umalaka kwao
 
Na wewe ukamwambia subiri nitakuja na jibu, fasta ukawasha data na kuingia JF



Vipi tupe mrejesho jamaa alinyolewa ama ikawaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom