Mke wako anataka kumnyoa msitu mdogo wako

Mke wako anataka kumnyoa msitu mdogo wako

ni kweli kabisa, lakini kumbuka hata wazame vipi katika hilo dimbwi la mahaba kamwe hawataweza kuloa.
Duuuu!, mkuu,
Lakini pia huyo anayetaka kumnyoa mwenzake, hata awe kinyozi vipi hawezi kunyoa kichwa cha habari.
 
Mwambie jamaa amtumie mke wake message hii akimuuliza"Swetie hivi ulishamnyoa mdogo wangu msitu wake?"Mengine yatajulikana mbele kwa mbele.Halafu nyingine amtumie mdogo wake"Dogo ulishanyolewa msitu na my wife wangu maana alisema ujiandae?"
 
duh duh hawa wanawake wanaumiza sana, kama vp huyo kaka angoje siku ya kunyolewa mdogo wake then atajua nn cha kufanya baada ya hapo
 
Kizuri kula na ndugu yo mwambie Huyo Jamaa yako aache uchoyo na roho mbaya, sasa mdogo we Hana mke naniatamnyoa?
 
Bosi wa mausiano hayo ni mke, sasa yeye ni anyamaze na kuwavizia awabambe na ndio nae atapata nguvu haswa. Inaonekana huyo mke anaweza hata kumsingizia mdogo mtu ndio kamsukuma wafanyehivyo ili yeye agombane nae. Au kama vipi bora kuongea na mdogo mtu kwanza as wanawake ni waongo sanaaaa ataanza kutunga na kupanga yaweje majibu yao.
Sasa ilikuwaje hadi aangalie simu na esp hiyo namba lazima labda aliipigia au ameishi anahisi kitu na kuvizia, kurekodi time za maongezi ya mke ya ajabu etc.

Mdogo mtu atasema ukweli akiongea nae wakiwa wawili tu huyo mume, pia labda amemgundua tabia mbaya za shem, shem akaamua kumlagai kumpa na kumtisha labda atafanya aachwe kusomeshwa n.k.

Mke bomu sanaaaaaaa,
 
Ila mwanamke hana staha huyo! Presuming huyo shemeji ni shemeji~kula. Kuna haja ya kumuambia kuwa alisikia harufu mbaya kwake? Kwani angeishia kumnyoa tu si angesolve tatizo?

she enjoys that "control mode", it makes her feel on top

ukisoma hiyo message ni kwamba mama was having that feeling, a special feeling of being in control

anyways, it is absurd
 
Kizuri kula na ndugu yo mwambie Huyo Jamaa yako aache uchoyo na roho mbaya, sasa mdogo we Hana mke naniatamnyoa?

Heee NATA kumbe na wewe ni nyamafu, unakula kila nyama hadi ya kunguru???
 
Last edited by a moderator:
Bujibuji kwani ulipoisoma hiyo meseji kwenye simu ya mkeo ulifanyaje? (yaani vaa uhalisia)
 
Last edited by a moderator:
Duh !!!! kazi kweli ndoa za siku hizi, kwanza huyo rafiki yako nae inakuwaje anashikashika simu ya mke wake na kuangalia sms za mkewe kwa nini? inaoneka kwamba hakuna kuaminiana ndani ya nyumba hiyo.Pili isijekuwa huyo jamaa yako amekuwa na tabia ya kucheza nje cup mpaka wife ameshhtukia nae ameamua kulipiza kisasi kwa huyo ndogo. Kwa ushauri wangu amuite mke wake na mdogo wake , awakanye kwamba wanachofanya anakijua, pia huyo dogo iwe ni marufuku kufikia kwake, aende kwa ndugu wengine. Kama waliendelea na akigundua basi waachane tu na huyo mwana mke.
Hizi habari za kutokushikiana simu ndo watu wanazitumia vibaya!!nitashika each and everyday!!nimeshajifunza sasa!!no secret anymore!!
 
Ufanyeje ukiikuta meseji hii kwenye sent items za simu ya mkeo?
Amemwandikia mdogo wako, baba mmoja mama mbalimbali. Umekuwa ukimsomesha mdogo wako huyo tangu akiwa sekondari na sasa yuko mwaka wa pili chuo.
Pia mkeo kamsevu mdogo wako kwa jina Irene Msusi.
Meseji yenyewe inasema hivi;-

Hiki ni kisa cha kweli kimemtokea jamaa yangu, kaja kuniomba ushauri akiwa na simu ya mkewe. Hajamwambia mkewe lolote na wala mkewe hajui jamaa kaichukua simu yake tangu saa 11 alipotoka kazini

Ni vyema aendelee kufanya uchunguzi bila kuzungumza lolote na wausika ili asije kutibua ushahidi au kuwafanya wawe makini zaidi. Mapenzi huwa hayafichi, ajipe muda huku kwa uangalifu mkubwa na umakini akiendelea kuchunguza. Kama ni kweli, basi itamlazimu kuchukua hatua za kinidhamu kwa wote wawili.
 
Hizi habari za kutokushikiana simu ndo watu wanazitumia vibaya!!nitashika each and everyday!!nimeshajifunza sasa!!no secret anymore!!

Halafu eti wanaweka vigezo kuwa kuaminiana!! Sasa unaamini nini kama unadanganywa?! Inakusaidia kuwa mjinga zaidi au inakusaidia kupenda zaidi!? Mi nashika simu wala sina shaka! Nikikuta kitu kibaya nitaumia mara moja nitasolve itakavyowezekana kwa wakati husika, kuliko kujilisha uongo na kuvaa imani isiyo na mashiko!

Imani inaendana na matendo! Sasa kama matendo yanatia shaka, mimi niamini tu?! kwani ni mashindano hayo useme bingwa wa imani atazawadiwa?! Thats your life at stake, and unfortunately,if you may know, we only live once!
 
Sasa anategemea nini kama hamsugui mke wake vizuri, acha asaidiwe kazi na Serengeti boys.

Kwanza mwanaume wa ukweli ukiona msg kama hiyo hawezi kuzunguka na simu y amkewe akimuonesha kila mtu, ana mtangazia nani kama mke wake ni malaya!

Huyo ni "bushoke style" na hata hao marafiki zake anaowaonesha hiyo msg wataanza kumfukuzia huyo mkewe maana washajua ni maharage ya Mbeya maji mara moja.
 
ha ha ha haaa
pole sana
kumbe jibu unalo wewe mwenyewe halafu unatufanya tuumize vichwa.
ujue kuwa kwa mdogo wako kakuta kitu tofauti na kile unachompa.
so inabidi umpe 'salute' mdogo wako.

Mamndenyi, nikakumbuka mbali sana, ndio maana alikuwa akiniambia mimi ni mwanaume suruali kila tunapopishana lugha kidogo tu
 
Mwambie jamaa amtumie mke wake message hii akimuuliza"Swetie hivi ulishamnyoa mdogo wangu msitu wake?"Mengine yatajulikana mbele kwa mbele.Halafu nyingine amtumie mdogo wake"Dogo ulishanyolewa msitu na my wife wangu maana alisema ujiandae?"

Duuuh! Mkuu huoni kuwa atawaua b4 ya cku zao hazijatimia...teh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom