Mke wa mtu huyu

Mke wa mtu huyu

I buy ur Ideal Michelle ila fahamu kwamba KOSA haliitwi KOSA mpk pale linapokamilika kuwa KOSA, kwaiyo jamaa wkt anafanya madudu na mke wa m2 alijua yuko sawa ila baada ya kukaa chini kutafakari na kuona roho inamsuta ndio akaja kwangu kunipa Movie kamili kisha mimi nikaona ni vyema niilete hapa kwa w2 wenye Fikra Pana waweze kutoa michango yao kwa namna moja au nyingine. Hope umenielewa...THnks kwa mchango wko mayne..

Kosa linakamilika pale linapokuwa linaenda kufanywa mbali na pale lilipozoeleka kufanyika? Mimi na wewe tunakubaliana kuwa muhusika ametambua njia zake si sahihi mbali au karibu, anachopaswa kufanya ni kimoja tu,kuacha njia zake na kuishi anavyoelewa kwa sasa kuwa ni sahihi.
 
Kuna mtu anamsema mtu hapa...halafu kama namfahamu anayesemwa, hizo details alizotoa zina kaukweli fulani hivi!

Aiseee?
Za maharage ya mbeya au za upartial impotency wa mumewe?
Interesting........
 
WA KISHUA mpelekee huyo rafiki yako huu ujumbe, aache kucheza na Mungu, Mungu ameshampa nafasi ya kutosha ya kujutia makosa yake, mwambie atubu vinginevyo hiyo safari ya Bagamoyo ndiyo mwisho wake. Nakuambia haya nikiwa na imani kubwa na amri ya Mungu dhidi ya zinaa na uzinifu

sawa ndugu mtabiri nimekuelewa..
 
Eti ameanza kuona wivu kwa mke wa mtu ambaye ni maharage ya Mbeya, nadhani jamaa sio mzima.

Sio Jamaa anaona WIVU ila huyo Mke wa m2 ameanza kumletea Wivu jamaa yangu..hope umenipata vzr..
 
Wacha kabisa kuchezea mke wa mtu na hiyo tripu ya bagamoyo itoe kwenye mawazo yako nadhani umenielewa.
 
Mkuu naona umeamua kuchukua tahadhari kuogopa mchango wa matusi na kejeli mapema, hongera.

Kwa upande wangu hata kama nitakuwa nafanya uzinifu na mwanamke yeyote yule yaani a single lady or married one hakika nitakuwa wa mwisho kumshauri mtu yeyote kutenda kama ninavyofanya, zinaa ni dhambi kubwa na mbaya zaidi na mke wa mtu jamani haikubaliki hata kidogo.

Matatizo kwenye ndoa yapo mengi kama uliyoyataja ya huyo dada na mume wake, lakini bado sio sababu ya msingi kwa mmoja wa wanandoa kumsaliti mwenzake. Jamani maadamu tatizo limetokea wakati ndoa ilikwisha fungwa tena yenye watoto wawili, kumbe jambo la msingi kwa huyo mama ilikuwa kumsaidia huyu mwenzake aondokane na matatizo yanayomkabili kwa sasa ili apate tiba na kurudi katika hari yake ya kawaida na waendelee kutenda kadri ya Mapenzi ya Mungu (tendo la ndoa ndani ya ndoa ambalo kwao ni takatifu). Huyu mama (maharage ya mbeya) amefanya kosa kuisailiti ndoa yake ambayo aliapa kuilinda katika shida na raha, arudi nyuma na kumsaidia mwenzake.

Na huyu kijana hakika amepotea pakubwa, anapoteza muda kwa kuwa na mahusiano na mke wa mtu, zinaa yoyote ni dhambi lakini angelikuwa anafanya na binti (single) tungesema ipo siku watatubu hiyo dhambi na kuingia kwenye ndoa takatifu na kuanza maisha yao yenye kumpendeza Mungu na jamii kwa ujumla. Mwambie aache, anapoteza muda wake, anakuza familia ya mtu mwingine, atakumbuka shuka kumekucha, atasahau hata kuoa aliye wake, ipo siku ataazibiwa vibaya sana hapa hapa duniani.

Na kwa huyu kiunganishi wao sio mzuri hata kidogo, anafanya biashara haramu ya kuuza mke wa mtu, anachangia kuvunja ndoa ya mtu ilihari yeye anaendelea na ndoa yake, haikubaliki hata kidogo. Ndoa na iheshiwe na watu wote jamani, na kwenye ndoa sio tendo la ndoa tu (ngono).

Pole, ila mwambie aache kwa manufaa yake binafsi na familia yake

Thanks kwa ushauri wko mzuri ndugu..b blessed
 
Kosa linakamilika pale linapokuwa linaenda kufanywa mbali na pale lilipozoeleka kufanyika? Mimi na wewe tunakubaliana kuwa muhusika ametambua njia zake si sahihi mbali au karibu, anachopaswa kufanya ni kimoja tu,kuacha njia zake na kuishi anavyoelewa kwa sasa kuwa ni sahihi.

Natumaini KUACHA itakuwa ndio dawa kubwa zaidi...
 
Za mume sijui...najua za 'koligi'!

na mleta mada hujamgundua tu, maana nahisi ndiye anayemmega koligi! LOL
kama ni hivyo, he got to grow kwakweli, maana sioni kama ni sifa kitu anachofanya. he thinks anamchora huyo Dr. wkt anajichora na yeye pia.
 
sa kama kamgegeda mara zote hizo anaogopa nini au kugegedea mbali ndo hataki???
halafu nilikumiss wewe......

Unajua M2 anaweza akatenda Dhambi hata ya miaka miwili acjutie kwa kile anachokifanya lakini kama atapata bahati ya kutambua ya kile anachokitenda kwamba sio sahihi na kisha kuchukua uamuzi wa kuacha huyo m2 2namchukulia ni m2 ambaye amefanya maamuzi yaliyo sahihi kabisa na yenye busara, huyu jamaa yangu anayemtafuna mke wa m2 ametambua kuwa anachofanya sio sahihi kabisa na yupo katika hatua za kumtaliki huyu mke wa m2 kwaiyo 2nachukulia yale makosa aliyofanya hapo nyuma yamemfanya ajifunze kwamba hayupo sahihi, hope utakuwa umenipata vzr Evelyn Salt ..Thnks kwa kuniMISS
 
Wacha kabisa kuchezea mke wa mtu na hiyo tripu ya bagamoyo itoe kwenye mawazo yako nadhani umenielewa.

Hapana shida tayari ameshaicancel iyo trip ya kwenda B'moyo na yupo kwenye hatua za kumuacha taratibu kwani mke wa m2 huyo anasema hajiwezi hata kdg kwa jamaa, Huyo Mke ana miaka 36 na mume wake ana 43 alafu jamaa yangu ana miaka 27..
 
Back
Top Bottom