Mke wa mtu huyu

Mke wa mtu huyu

Na kweli, ila ni loose ball kwa mumewe, maana hawatakiwagi kulala na pichu hawa... Tena kuna wengine mume akigeuka usingizini tu, yeye anapanua paja hata kama jamaa hakuwa na mpango wa kuchapa mida hiyo..

usijifanye huelewi,jamaa amemgegeda huyo mke wa mtu siku ya kwanza tu,...huko mtaani kwenu huoni wake za watu wanavyofungua mapaja kirahisi tu,..
 
Watamruka TUTA huyo!!!! ohoooooo!!!! hajui mke anavyo uma enhe!! any way serious mwambie CHONDE CHONDE MKE wa MTU kama sio kiatu ni SUMU. Na yeye akioa Watamfanyia hivyo hivyo...
 
usijifanye huelewi,jamaa amemgegeda huyo mke wa mtu siku ya kwanza tu,...huko mtaani kwenu huoni wake za watu wanavyofungua mapaja kirahisi tu,..
Hivi wewe unazungumzia MKE wa MTU au mwanamke anayeishi na mwanaume???
 
Mwambie huyo rafiki yako aache mara moja. Mshahara wa dhambi anaujua?
 
kama amekolea sana mwambie aendelee tu tena kwa sana maana mazingira yenyewe yamekaa vizuri kweli,ila awe anafanya maandaliz/mazoezi ya kupokea either kichapo au kugegedwa.
Nashukuru kwa ushauri ndugu..
 
Kuoa ni maamuzi na pia umri wa kutulia kwa yy bdo haujafikia ndio maana anatangatanga.
sasa ndio atangetange na wake za watu, anafikiri ndio kwa stahili hiyo ataoa, mwambie aache kabisa asije akafia gest halafu sijui anaenda kujieleza nini kwa Mungu!!!!!!!!!
 
sasa ndio atangetange na wake za watu, anafikiri ndio kwa stahili hiyo ataoa, mwambie aache kabisa asije akafia gest halafu sijui anaenda kujieleza nini kwa Mungu!!!!!!!!!

Ni kosa kubwa sana , poa nitafanya kumkemea katika hili kwani sio jambo la kheri hata kdg..
 
Dah, wengine bado tunaishi zama za mawe. Hivi imefika mahali hayo mambo yamerahisishwa hivyo?
Hamjuani, hamjawahi kukutana, mtu unaunganishiwa tu na unaelezwa kuwa ni mke wa mtu na siku hiyo hiyo unajiachia!
 
Back
Top Bottom