Mke wa mtu huyu

Mke wa mtu huyu

wewe na huyo unayemuombea ushauri akili zenu sawa na huyo mwanamke mwenzenu. Yaani unaomba ushauri kwa jambo la kijinga namna hii? Kwa hiyo unataka tumshaurije, kwamba aanze kumfanya na mkeo au?

Kuna mijitu mijinga humu jamani hadi kero. Mwambie aanze kumbandua na mkeo manake hata wewe unaonekana huna nguvu ndio sasa umeanza ukuwadi, 'babu ally' wew
e.

r u mentally okay?
 
Unamatatizo wewe. Matatizo yako unayoleta ni ya kiutaira.
Una uhakika gani kama huyo mwanamke ni dokta? Kama ni dokta, basi dokta mcharuko.
Na munauhakika gani kama kaolewa? Danganyaneni tu, wewe mwenyewe ndio mwenye tatizo hilo

Naona JF imeingiliwa, sawa nimekuckia na asante kwa mchango wko Somoe.
 
Mke wa mtu ambaye amezaa watoto wawili na huyo mume wake na anapete ya ndoa na uchumba.
yawezekana ni wewe mkuu hadi unajua anapete mbili angalia utaliwa 0713, (nadhani sijatukana)
 
Duh!!!! Bongo ina mambo kweli!!!!, Sasa mtawafanya watu wenye wake au waume zao wenye kazi ambazo zinahusiana na shift za usiku kuwa wasiwasi kwamba wanaliwa mali zao, Pole kaka wa Bandari, fungua macho mzigo unaliwa huo na serengeti boy (27yrs)
Pia naomba kuuliza , hivi mirungi inahusana na kupungua kwa nguvu za kiume?
 
Habari za majukumu watu wangu wa nguvu, natumaini mnaendelea vzr na ujenzi wa kujenga Taifa letu la Tanzania, leo nimekuja na huu mkasa ambao umemtokea rafiki yangu wa karibu hivyo nikaona nije nipate busara zenu na kuweza kwenda kumshauri kwa kina zaidi.


Huyu jamaa yangu anafanya kazi katika sekta moja ya serikali hana mke na pia hajabahatika kupata mtoto ila kulingana na umri bado unaruhusu siwezi kumlaumu, huyu jamaa yangu alipewa namba na rafiki yake m1 ambaye yeye ni daktari katika hospitali moja hapa mjini, baada ya kupatiwa namba hiyo nia na madhumu ilikuwa ni kufanya mipango ya kuweza kuvunja amri ya sita na bi mdada ambaye namba yake imetolewa kwa kisingizio kwamba bi mdada huyo ni lose ball au maarufu kama maharage ya Mbeya lakini kabla hajapewa namba hiyo akaambiwa kwamba bi mdada huyo ni mke wa mtu pia ana watoto wa2 na mume wake anafanya kazi bandarini kwaiyo awe makini, basi jamaa akaichukua ile namba na kuanza mazungumzo na Yule bi mdada kwa bahati nzuri au mbaya Yule bi mdada akamuelewa huyu rafiki wangu na kupanga waonane siku ya weekend ambayo ilikuwa Jumamosi kwani huyo bi mdada ni daktari kwaiyo siku hiyo alikuwa anatoka usiku, basi siku ya siku ilivyowadia wakaonana na kukaa mahali wakala wakanywa na mwishowe jamaa aliforce king na kwenda kumgegeda mke wa mtu huyo baada ya hapo asubuhi waliamka na kila m2 akaenda kwake ila siku hiyo huyo bi mdada alimuaga mume wake kwamba atatoka asubuhi.


Maisha yakawa yanaenda na ule mchezo ukawanogea mpk ss jamaa ameshamgegeda zaidi ya mara tano na huyo mwanamke amekolea kwa huyu rafiki yangu huyu mpk inafika kipindi anaona wivu wa ajabu endapo akiwa na jamaa na simu zikiwa zinaingia, mwanamke amemwambia jamaa tatizo la mume wake kubwa ni upungufu wa nguvu za kiume kwani anasaga mirungi sana na kutumia kilevi cha aina ya pombe hivyo yupo katika dozi ya kuacha na alikuwa ana zaidi ya miezi mitatu hawajakutana na mpk ninavyoongea hivi ss huyo mke wa mtu anamsumbua jamaa kwamba anataka wknd hii wakajifiche B’moyo siku tatu kwani tyr ameshamwmbia mume wake kwamba anasafari ya B’moyo


Picha halisi ndio hiyo hapo, nahitaji USHAURI pamoja na MAWAZO yenu katika hili kwani hata yy mwenyewe anajishtukia icje ikaja kufanyiwa mchezo mbaya au kutolewa jicho kwani mke wa mtu ni sumu na mm pia nilijaribu kumshauri aachane nae…


WOTE MNAKARIBISHWA KUCHANGIA, MATUSI na KEJELI hazitakiwi katika UZI huu..


umeshasema demu ni maharage ya mbeya,lazima atakuwa na msururu wa wanaume, jamaa yako lengo lake ni kuvunja amri ya sita,si ameshapata basi asepe zake!kuendelea kuwa naye ni kujitafutia matatizo tu..... ukimwiiiiiii,tusiamini condom sana jamani,na wala tusijipe moyo kuna ARV's,kumeza dawa maisha yako yote c mchezo! antibiotic za cku tano tu wengi hatumalizi dozi
 
Ninaamini ushauri wako ww mwenyewe kama rfk yako na 'mwanao' una nguvu kuliko ss ambao hatumjui na yy hatujui,play ur part kumnusuru na majanga yanayoweza kupata,mke wa mtu anauma sn.
 
Huyo rafiki yako atakapokuja kugundua kuwa huyo mke wa mtu alipata HIV na kwa visingizio vya mumewe kutojiweza anatoa chenji kwa kila anayekuja, ndipo huyo rafiki yako atakapojua mshahara wa dhambi ni mauti. Na wewe atakutizama katika sura tofauti. Siku utapojua kuwa hata huyo anayesemwa kuwa jogoo wake hawiki naye pia anatoa chenji za HIV kama hana akili nzuri hutatuambia hapa jamvini itakuwa siri yenu
 
Nakuona ka una kamashaka flani hiviii kwa jinsi jamaa alivyokuwa muwazi kwa rafiki yake.... AU WE NDO UMEAGA UNAENDA BAGAMOYO..??
ahahahahahahaaa...kaka kama umepiga mulemuleeeee..well said nothing to add up.
 
Mchango wangu ilikuwa ni matusi, bora nimtukane kimoyo moyo!

pamoja na kuzaliwa kariakoo na kukulia magomeni naheshimu sana ndoa
mwee nlikuwa najuaga wanawke hawatoki nje ya ndoa mpaka mwaka juzi nikahakikisha labda mazingira nliyokulia
he he nicheke mie hata humu wapo kibao wanagegedwa kila siku tunawachora tu wanavyowaganda
wakija humu kwenye thread wanajifanya malaika
msonyooooo wa kichina
 
Mzinifu huziniwa. Ushari Jee mkewe akipata jamaa mwingine na akaja kukuomba wewe ushauri Jee utamwambiaaje? Sababu some of this idiotic doesn't add up
 
Kama umemshauri aachane naye na bado hataki , sikio la kufa halisikii dawa mwache, Ina maana huyo rafikiyo amedhamiria kuharibu ndoa ya watu, angekuwa ni mkewe anafanya hivyo angejisikiaaje??? Hebu muulize hilo swali?
 
Nina mashaka na Uandishi wko..
..kaka mkubwa sasa hapo shaka ya nini..? ungesema uandishi wako unamakosa, ungeeleweka. Nami nina mashaka na uelewa wako wa lugha ya kiswahili fasaha na matumizi yake....
 
Katika uzinzi wote niliowahi fanya.kwa wake za watu ni noma sipendi na naona km uchafu vile
 
Back
Top Bottom