Mke wa mtu huyu

Mke wa mtu huyu

Habari za majukumu watu wangu wa nguvu, natumaini mnaendelea vzr na ujenzi wa kujenga Taifa letu la Tanzania, leo nimekuja na huu mkasa ambao umemtokea rafiki yangu wa karibu hivyo nikaona nije nipate busara zenu na kuweza kwenda kumshauri kwa kina zaidi.

Huyu jamaa yangu anafanya kazi katika sekta moja ya serikali hana mke na pia hajabahatika kupata mtoto ila kulingana na umri bado unaruhusu siwezi kumlaumu, huyu jamaa yangu alipewa namba na rafiki yake m1 ambaye yeye ni daktari katika hospitali moja hapa mjini, baada ya kupatiwa namba hiyo nia na madhumu ilikuwa ni kufanya mipango ya kuweza kuvunja amri ya sita na bi mdada ambaye namba yake imetolewa kwa kisingizio kwamba bi mdada huyo ni lose ball au maarufu kama maharage ya Mbeya lakini kabla hajapewa namba hiyo akaambiwa kwamba bi mdada huyo ni mke wa mtu pia ana watoto wa2 na mume wake anafanya kazi bandarini kwaiyo awe makini, basi jamaa akaichukua ile namba na kuanza mazungumzo na Yule bi mdada kwa bahati nzuri au mbaya Yule bi mdada akamuelewa huyu rafiki wangu na kupanga waonane siku ya weekend ambayo ilikuwa Jumamosi kwani huyo bi mdada ni daktari kwaiyo siku hiyo alikuwa anatoka usiku, basi siku ya siku ilivyowadia wakaonana na kukaa mahali wakala wakanywa na mwishowe jamaa aliforce king na kwenda kumgegeda mke wa mtu huyo baada ya hapo asubuhi waliamka na kila m2 akaenda kwake ila siku hiyo huyo bi mdada alimuaga mume wake kwamba atatoka asubuhi.

Maisha yakawa yanaenda na ule mchezo ukawanogea mpk ss jamaa ameshamgegeda zaidi ya mara tano na huyo mwanamke amekolea kwa huyu rafiki yangu huyu mpk inafika kipindi anaona wivu wa ajabu endapo akiwa na jamaa na simu zikiwa zinaingia, mwanamke amemwambia jamaa tatizo la mume wake kubwa ni upungufu wa nguvu za kiume kwani anasaga mirungi sana na kutumia kilevi cha aina ya pombe hivyo yupo katika dozi ya kuacha na alikuwa ana zaidi ya miezi mitatu hawajakutana na mpk ninavyoongea hivi ss huyo mke wa mtu anamsumbua jamaa kwamba anataka wknd hii wakajifiche B’moyo siku tatu kwani tyr ameshamwmbia mume wake kwamba anasafari ya B’moyo

Picha halisi ndio hiyo hapo, nahitaji USHAURI pamoja na MAWAZO yenu katika hili kwani hata yy mwenyewe anajishtukia icje ikaja kufanyiwa mchezo mbaya au kutolewa jicho kwani mke wa mtu ni sumu na mm pia nilijaribu kumshauri aachane nae…

WOTE MNAKARIBISHWA KUCHANGIA, MATUSI na KEJELI hazitakiwi katika UZI huu..

Isije ikawa subject ni wewe mwenyewe unatucheza akili!!! We endelea tu kama hujatolewa macho.
 
Wewe mbona umetumia lugha isiyo na staha? Kumgegeda ndo nini??? Siyo matusi ama kejeli hizo?
 
Nashukuru kwa ushauri Gilo24,.nitafikisha hilo, wengine mnakaribishwa pia kuchangia..

Wewe na huyo unayemuombea ushauri akili zenu sawa na huyo mwanamke mwenzenu. Yaani unaomba ushauri kwa jambo la kijinga namna hii? Kwa hiyo unataka tumshaurije, kwamba aanze kumfanya na mkeo au?

Kuna mijitu mijinga humu jamani hadi kero. Mwambie aanze kumbandua na mkeo manake hata wewe unaonekana huna nguvu ndio sasa umeanza ukuwadi, 'babu ally' wewe.
 
mshikaji keshasoma hapa JF ameshajua mchezo mzima
rafikio mwambie ajiandee kupasuliwa tigo,.
chezea mke wa mtu eee??? atafute wake.
 
.....sasa kama mumewe anaumwa na yupo ktk matibabu.. mnategemea bi dada akae bila huduma.. wafanye tu kwa heshima.. 3 moonsss si rahisi
 
"mwanangu, umekua sasa. Kokote huendako, ogopa sana kitu inaitwa mke wa mtu. Usiporogwa, utachinjwa live". Nakumbuka maneno hayo ya marehemu baba yangu
 
Ok kumbe mumewe anaumwa,! basi mwambie jamaa aendeleze libeneke. Angalizo ni kwamba nae atakapo pata wake asiwe mkali akisikia mkewe tunamgegeda ye akiwa na upumgufu wa nguvu! Alafu bana me naona maada nyingine zipo kimbea zaidi kama vp msiwe mnaleta hapa!
 
Habari za majukumu watu wangu wa nguvu, natumaini mnaendelea vzr na ujenzi wa kujenga Taifa letu la Tanzania, leo nimekuja na huu mkasa ambao umemtokea rafiki yangu wa karibu hivyo nikaona nije nipate busara zenu na kuweza kwenda kumshauri kwa kina zaidi.

Huyu jamaa yangu anafanya kazi katika sekta moja ya serikali hana mke na pia hajabahatika kupata mtoto ila kulingana na umri bado unaruhusu siwezi kumlaumu, huyu jamaa yangu alipewa namba na rafiki yake m1 ambaye yeye ni daktari katika hospitali moja hapa mjini, baada ya kupatiwa namba hiyo nia na madhumu ilikuwa ni kufanya mipango ya kuweza kuvunja amri ya sita na bi mdada ambaye namba yake imetolewa kwa kisingizio kwamba bi mdada huyo ni lose ball au maarufu kama maharage ya Mbeya lakini kabla hajapewa namba hiyo akaambiwa kwamba bi mdada huyo ni mke wa mtu pia ana watoto wa2 na mume wake anafanya kazi bandarini kwaiyo awe makini, basi jamaa akaichukua ile namba na kuanza mazungumzo na Yule bi mdada kwa bahati nzuri au mbaya Yule bi mdada akamuelewa huyu rafiki wangu na kupanga waonane siku ya weekend ambayo ilikuwa Jumamosi kwani huyo bi mdada ni daktari kwaiyo siku hiyo alikuwa anatoka usiku, basi siku ya siku ilivyowadia wakaonana na kukaa mahali wakala wakanywa na mwishowe jamaa aliforce king na kwenda kumgegeda mke wa mtu huyo baada ya hapo asubuhi waliamka na kila m2 akaenda kwake ila siku hiyo huyo bi mdada alimuaga mume wake kwamba atatoka asubuhi.

Maisha yakawa yanaenda na ule mchezo ukawanogea mpk ss jamaa ameshamgegeda zaidi ya mara tano na huyo mwanamke amekolea kwa huyu rafiki yangu huyu mpk inafika kipindi anaona wivu wa ajabu endapo akiwa na jamaa na simu zikiwa zinaingia, mwanamke amemwambia jamaa tatizo la mume wake kubwa ni upungufu wa nguvu za kiume kwani anasaga mirungi sana na kutumia kilevi cha aina ya pombe hivyo yupo katika dozi ya kuacha na alikuwa ana zaidi ya miezi mitatu hawajakutana na mpk ninavyoongea hivi ss huyo mke wa mtu anamsumbua jamaa kwamba anataka wknd hii wakajifiche B’moyo siku tatu kwani tyr ameshamwmbia mume wake kwamba anasafari ya B’moyo

Picha halisi ndio hiyo hapo, nahitaji USHAURI pamoja na MAWAZO yenu katika hili kwani hata yy mwenyewe anajishtukia icje ikaja kufanyiwa mchezo mbaya au kutolewa jicho kwani mke wa mtu ni sumu na mm pia nilijaribu kumshauri aachane nae…

WOTE MNAKARIBISHWA KUCHANGIA, MATUSI na KEJELI hazitakiwi katika UZI huu..

Nishamjua huyu jamaa yako (kama ulivyojifanya kusema) ni muuza madawa ya binadamu mahali flani kuleeeeee uzunguni, ako very interesting jamaa anavyowatafuna wake za watu. Siku inakuja watamkata na korodani na vile apenda manzi wa enzake
 
Unamatatizo wewe. Matatizo yako unayoleta ni ya kiutaira.
Una uhakika gani kama huyo mwanamke ni dokta? Kama ni dokta, basi dokta mcharuko.
Na munauhakika gani kama kaolewa? Danganyaneni tu, wewe mwenyewe ndio mwenye tatizo hilo
 
Mshauri jamaa wako aache huo mchezo cuz consequences zake atakuja jutia sana!!
 
Hapo mwenye matatizo ni huyo rafiki yako. Huwezi kumlaumu huyo mama kua kakolea ,sababu huyo rafikiyo kamtafuta mdada kwa kupewa maelekezo tu kuwa ni maharage ya mbeya. Akumbuke kua huo sio ujanja what goes around comes around malipo hapahapa duniani nae atatendwa tu wakati fulani tena atakua amesahau aliyowahi kutenda tena itamuuma sana kumbuka mtenda akitendewa hudhani kaonewa. Ukimwi utaisha jamani kwa hali hii , ushaambiwa ni mke wa mtu unatafuta nini si tabia chafu tu na laana inamsumbua. Yaani kama kweli ni rafiki yako mwambie huo sio ujanja anajilaaanisha na magonjwa yasiyo na tiba yanamsubiri.

THANKS
Ablessed kwa ushauri wko mzr...
 
Kama mke ana ukimwi basi na yeye anaupata, unataka ushauri kwani yeye na utu uzima si anajua anachofanya au? Tena nitakataka ya wengi mmmmhhh anapewa pesa huyo.

Ni kweli ila ndio kondoo ameshapotea kwaiyo mm nafanya jitihada za kumrudsha kundini,...
 
We umeshindwa kumwambia neno moja tu amwache je na wengi wakikwambia aendelee naye nawe utamshauri hivyo? vitu vingine havihitaji mawazo ya wengi, halafu kama sikosei we ndo uliekuwa unakuja na mada zako za kukataliwa na wasichana hukidai mademu wa kibongo wa shamba naona umeamua kuhamia airtel

Mimi ndiye mshauri wke nambari 1 kwaiyo ananipa fursa ya kuweza kumshauri ili aachane na huyo mke wa m2, na hata haya mawazo yenu nae pia anayasoma coz jana nilikuwa naye na 2kapata muda wa kuyasoma pamoja ili aweze kuamini kwamba w2 wanapingana na dhambi ambayo anayoifanya kwa wkt huu, ama kwa hakika ni mimi niliyekuja na mada za kukataliwa kwani nafahamu huwezi kupendwa na wanawake wote dunia hii kuhusu kuleta mada hizi ni kwamba naamini kwamba hapa JF kuna w2 mbalimbali na wenye mawazo makubwa ambayo yanaweza kusaidia kumbadilisha m2 kitabia hata kimaadili ndio dhima yangu kubwa ya kuleta mada zangu hapa, ucsahau MFICHA MARADHI KIFO HUMUUMBUA..
 
waume za watu watimize wajibu wao kwa wake zao kwenye kila setka kwa kila namna..

Hilo ndilo la msingi, nilichogundua kwa huyu Mke wa m2 kulingana na jamaa yangu alivyonicmulia ni kwamba jamaa hajui kujishusha kwa mke wke au kumbembeleza ndio maana jamaa akatumia udhaifu huo kumvuruga huyu mke wa m2..
 
Back
Top Bottom