Mke wa mtu huyu

Mke wa mtu huyu

Hajaoa anakimbilia wake za watu, ye aendelee tu na akitaka ahamishie kwake na hajajua uchungu wa mke hadi atakapo liwa kisamvu. Tabia mbaya kwa kijana ambaye hujaoa kujitia nuksi.
 
Hao wala Gomba Ndo hatari sana Kwenye sector ya kufumua Malinda.mwambie jamaa aanze kutembea na vilainisho aisee
 
Anasema jamaa ana upungufu wa nguvu za kiume ??
Sasa asubiri siku yake ikifika atashangaa kuona nusu saa nzima jamaa hashuki mgongoni mwake kumbuka mtafuna nae hutafunwa ati !!
 
Back
Top Bottom