DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,965
- 30,835
Unajifunza kupiga fix mkuu?
Nitalea tu mkuu, mi napenda watoto sana; Mke anaweza kukukana lakini mtoto hata akikukana nafsi itamuuma.Equation x sasa unategemea hiyo mimba ailelee wapi kijana?
Kwa nini mkuu?Unajifunza kupiga fix mkuu?
Mkuu we acha tu; mimba mbili ziko nje mkuu...
Mbona unatupa story ya uongo mkuu?Kwa nini mkuu?
Kweli mkuuUkipenda boga penda na ua lake.
Ha ha ha ni ya kweli mkuu dakika 2 zilizopita nilikuwa naongea naye kwa simu anaomba nisimuache hisia zake zote ziko kwangu;mapenzi kweli yana raha yake mkuuMbona unatupa story ya uongo mkuu ?
ha ha ha haNasubiri mkeo azae nje sijui utakuja kuuliza au tayari unawalea ukute
Exactly watu wanajisahau mno na papuchi wqnavyoziita majinaKweli mkuu,kristo anaokoa
Naaaaaaaaamuuuuuuui 1gbChikanu chikali
Sawa mkuuHa ha ha ni ya kweli mkuu dakika 2 zilizopita nilikuwa naongea naye kwa simu anaomba nisimuache hisia zake zote ziko kwangu;mapenzi kweli yana raha yake mkuu
ha ha ha haExactly watu wanajisahau mno na papuchi wqnavyoziita majina
Ni kweli mkuuUkipenda kula na ww lzma uliwe kdgo..
Kweli mkuu, nimefikiria mbali sana nikachukulia kama nikiwa na miaka 65+ nitakachokihitaji sana hapo ni uzao wangu tu.Enenda kwa mapenzi ya nafsi yako,sioni kizuizi chochote ukiacha mihemko ya walimwengu.
Tena huyu binti amakupa zawadi ya mtoto unataka nini tena.
Bado anawajali watoto wake,kwa mtazamo wake atakaa na mtoto mtarajiwa kwa miezi sita baadaye atampeleka kwa bibi yake amlee.Nami nategemea akifika miaka 4 nimpeleke bweni.