Mke wa mtu anataka nimpangishie nyumba yake

Mke wa mtu anataka nimpangishie nyumba yake.

Huyu mdada ana mji wake na watoto 3 ila mumewe amemtelekeza na kuacha kuwahudumia watoto pamoja na mama yao. Huyu mdada aliamua kujiendeleza kielimu (chuo) na katika mizunguko yangu ya hapa na pale,nikajikuta nimeshawishika kutokana na shepu yake.

Nikawa namgaramia matumizi madogo madogo, wakati mwingine ada n.k. Mwisho wa siku akaamua kunizawadia ujauzito.

Sasa changamoto inayokuja kwa sasa, anataka nimpangishie nyumba ndogo na nianze kumnunulia vitu vya ndani.

Wakuu, haya majukumu ni halali mimi kupewa?
Pengine ukute hata mimba sio yako ni ya mwanachuo mwenzie
 
Mke wa mtu anataka nimpangishie nyumba yake.

Huyu mdada ana mji wake na watoto 3 ila mumewe amemtelekeza na kuacha kuwahudumia watoto pamoja na mama yao. Huyu mdada aliamua kujiendeleza kielimu (chuo) na katika mizunguko yangu ya hapa na pale,nikajikuta nimeshawishika kutokana na shepu yake.

Nikawa namgaramia matumizi madogo madogo, wakati mwingine ada n.k. Mwisho wa siku akaamua kunizawadia ujauzito.

Sasa changamoto inayokuja kwa sasa, anataka nimpangishie nyumba ndogo na nianze kumnunulia vitu vya ndani.

Wakuu, haya majukumu ni halali mimi kupewa?

Ulitakiwa ujiulize kabla kama ni halali we kumla
 
Yaani umeingilia penzi la mwanaume mwenzio kuna siku utajua jinsi mume anavyouma!!
 
Mke wa mtu anataka nimpangishie nyumba yake.

Huyu mdada ana mji wake na watoto 3 ila mumewe amemtelekeza na kuacha kuwahudumia watoto pamoja na mama yao. Huyu mdada aliamua kujiendeleza kielimu (chuo) na katika mizunguko yangu ya hapa na pale,nikajikuta nimeshawishika kutokana na shepu yake.

Nikawa namgaramia matumizi madogo madogo, wakati mwingine ada n.k. Mwisho wa siku akaamua kunizawadia ujauzito.

Sasa changamoto inayokuja kwa sasa, anataka nimpangishie nyumba ndogo na nianze kumnunulia vitu vya ndani.

Wakuu, haya majukumu ni halali mimi kupewa?
Sasa umempa ujauzito ni mkeo huyo,unadhani atakaa porini?
 
Wewe ulifahamu wazi kuwa ni Mke wa mtu ukampa ujauzito lakini kwenye kumtimizia mahitaji yake unaona kama hastahili kwa vile ni Mke wa mtu, kilichopo fanya kumtimizia mahitaji yake mambo mengine yatajulikana baadaye.
 
Back
Top Bottom