Mke wa mtu anataka nimpangishie nyumba yake

Mke wa mtu anataka nimpangishie nyumba yake

Mke wa mtu sumu je gheto una maziwa?

Maziwe = pesa, maana mume wake japo kamtelekeza lakini bado ana ndoa na anaweza kukupeleka mahakamani ukapata mshahara wa dhambi
 
Mimi niliwaza kwa nini siku hizi unabadili sana avatar kumbe kuna tukio

Hahahahahahahahahahahahaha

Sasa

Hayo majukumu ni yako mzee jamaa s kamtelekeza na ww ukachukua nafasi,
Kwa hio endelea jamaa alipoishia
 
Mm niliwaza kwa nn siku hz unabadili sana avatar kumbe kuna tukio

Hahahahahahahahahahahahaha

Sasa

Hayo majukumu n yako mzee jamaa s kamtelekeza na ww ukachukua nafasi,
Kwa hio endelea jamaa alipoishia
Ha ha ha mkuu we acha tu,mtoto mtoto kweli....acha watu waendelee kutenda dhambi tu
 
Ushamjaza mimba dada wa watu halafu saizi unauliza kama majukumu ni halali?

hauko serious kabisaaaaa......
Hofu yangu ni huko mkoani bado anaishi kwenye nyumba ya mumewe.
 
Hofu yangu ni kwamba bado anaishi kwenye mji wa mumewe mkoa wa jirani,na huku alipo yupo kwa ajili ya masomo tu;sasa yeye hataki kurudi kwenye mji wake,anataka kuwa na mji huku masomoni.
Kwa hiyo utahudumia na hao wengine au kakupenda wewe na watoto Hana mpango nao?
 
Kuna mada zingine inabidi bashite akuite tu central. Sasa wakati unamtomba ulitegemea nini? Akipata mimba nani aihudumie?
 
Kwa hiyo utahudumia na hao wengine au kakupenda wewe na watoto Hana mpango nao?
Bado anawajali watoto wake, kwa mtazamo wake atakaa na mtoto mtarajiwa kwa miezi sita baadaye atampeleka kwa bibi yake amlee.Nami nategemea akifika miaka 4 nimpeleke bweni.
 
Kuna mada zingine inabidi bashite akuite tu central.sasa wakati unamtomba ulitegemea nini? akipata mimba nani aihudumie ?
Ha ha ha sawa mkuu nitahudumia; watoto wa pembeni huwa ni ma-genius wakitunzwa vizuri
 
Back
Top Bottom