Mke wa mtu anataka nimpangishie nyumba yake

Si umpangishie Wakati unakula raha ulimshirikisha nani haya rudisha fadhila kwa mwenzio amekupa zawad ya mtoto bado huoni hilo amezoea vya mteremko eee mpangishie sianaishi na mwanao ebo!!!
Sawa mkuu
 
Hahhaha oya kwanza kosa kubwa umemsomesha pili kabla yako alikuwa na mme na wamezaa

Aisee maisha mema wew mnunulie kabisa nyumba
Kweli mkuu, lakini maisha haya tuna miaka michache ya kuishi
 
Kweli mwanamke mzuri na mwenye shape ni full stress ni wachache sana wenye Kujitambua..

Niliwahi jiuliza kwa nn wengi wao hawaolewi nikaja kugundua ni kwa sababu akili zao hazikaagi kichwan zipo kwenye hzo shape.
Kweli mkuu wanasumbua
 
Mke wa mtu anataka nimpangishie nyumba yake.

Huyu mdada ana mji wake na watoto 3 ila mumewe amemtelekeza na kuacha kuwahudumia watoto pamoja na mama yao. Huyu mdada aliamua kujiendeleza kielimu (chuo) na katika mizunguko yangu ya hapa na pale,nikajikuta nimeshawishika kutokana na shepu yake.

Nikawa namgaramia matumizi madogo madogo, wakati mwingine ada n.k. Mwisho wa siku akaamua kunizawadia ujauzito.

Sasa changamoto inayokuja kwa sasa, anataka nimpangishie nyumba ndogo na nianze kumnunulia vitu vya ndani.

Wakuu, haya majukumu ni halali mimi kupewa?
Mkuu ulipoamua kuingia kwenye mahusiano ulikua na mipango gani labda?

Hapa naona na wewe umekaa mkao wa kumtelekeza; mwanzo ulisema ulikutana nae akiwa ametelekezwa na mume halafu sasa keshapata ujauzito wako unasema ni mke wa mtu

Wanawake tuwe makini kutorudia makosa
 
Usipojitafakari vizuri wewe nawe utakua katili kama Yule aliyemtelekeza
 
Hapana mkuu ila bili zinakuwa nyingi mkuu
 
Usipojitafakari vizuri wewe nawe utakua katili kama Yule aliyemtelekeza
Hapana mkuu, mi ni mstaarabu labda anipe bili zinazozidi uwezo wangu au zinazoweza kuathiri mipangilio yangu itabidi nikimbie.
 
Back
Top Bottom