Mke wa mtu anataka nimpangishie nyumba yake

Mke wa mtu anataka nimpangishie nyumba yake

ha ha ha ha hofu yangu ni kwamba bado anaishi kwenye mji wa mumewe mkoa wa jirani,na huku alipo yupo kwa masomo tu;sasa yeye hataki kurudi kwenye mji wake,anataka kuwa na mji huku masomoni.
Kwahiyo Unamaanisha
Mwenzio kasomesha, afu wewe unakuja Kujimwambafai au?
 
Kwa maelezo yako huyo mtoto mnayemtarajia iwe ni Siri yenu wawili, yule Baba asijue na wewe kwako wasijue, Kwa kifupi yule mwanamke bado anampenda mume wake, huoni ngono nzembe zenu zinakuja kumpa taabu yule mtoto akose mapenzi ya Baba na mama? Samahani kukueleza hicho katika Maisha yangu hakuna kitu nathamini na kukipenda kama mwanangu na sasa Nina mjukuu hawa watu wawili ndio mboni ya jicho langu, ushauri wangu kwako mwambie huyo ke unampangia chumba hakuna kuondoka alee mwanao hadi miaka Saba akukabidhi hakuna kumpeleka popote yule mtoto. La sivyo arudi kwake na hiyo mimba watajuana na mume wake asikufanye mjinga.
Wazo zuri mkuu, kwa mtazamo wake mtoto atajulikana wa mumewe ila baba yake halali atakuwa pembeni.
 
Mke wa mtu anataka nimpangishie nyumba yake.
Huyu mdada ana mji wake na watoto 3 ila mumewe amemtelekeza na kuacha kuwahudumia watoto pamoja na mama yao.Huyu mdada aliamua kujiendeleza kielimu(chuo) na katika mizunguko yangu ya hapa na pale,nikajikuta nimeshawishika kutokana na shepu yake.Nikawa namgaramia matumizi madogo madogo,wakati mwingine ada n.k mwisho wa siku akaamua kunizawadia ujauzito.....sasa changamoto inayokuja kwa sasa,anataka nimpangishie nyumba ndogo na nianze kumnunulia vitu vya ndani.Wakuu,haya majukumu ni halali mimi kupewa?
Mkuu bandiko lako linanipa shida sana kulisoma nikaelewa unachomaanisha lakini pia nahisi pia ukakasi wake ukiniumiza masikio mithili ya kelele zitokazo humo. Hivi ni unasema mke wa mtu mwenye watoto au? Mkuu ni unatafuta nn hasa kwenda kuzaa na mke wa mtu mwenye idadi hiyo ya watoto? hata kwa kujustfy unakofanya heti kaachana na mumewew.....

Mkuu mpangie tu usije kutuuliza sisi maana wengine tuna midomo michafu tukakukwaza mkuu.
 
Mke wa mtu anataka nimpangishie nyumba yake.

Huyu mdada ana mji wake na watoto 3 ila mumewe amemtelekeza na kuacha kuwahudumia watoto pamoja na mama yao. Huyu mdada aliamua kujiendeleza kielimu (chuo) na katika mizunguko yangu ya hapa na pale,nikajikuta nimeshawishika kutokana na shepu yake.

Nikawa namgaramia matumizi madogo madogo, wakati mwingine ada n.k. Mwisho wa siku akaamua kunizawadia ujauzito.

Sasa changamoto inayokuja kwa sasa, anataka nimpangishie nyumba ndogo na nianze kumnunulia vitu vya ndani.

Wakuu, haya majukumu ni halali mimi kupewa?
Wakati wa kuzawadiwa UJAZITO mbona hukuuliza?
 
Kweli mwanamke mzuri na mwenye shape ni full stress ni wachache sana wenye Kujitambua..

Niliwahi jiuliza kwa nini wengi wao hawaolewi nikaja kugundua ni kwa sababu akili zao hazikaagi kichwani, zipo kwenye hizo shape.
 
Hahhaha oya kwanza kosa kubwa umemsomesha pili kabla yako alikuwa na mme na wamezaa

Aisee maisha mema wewe mnunulie kabisa nyumba
 
Mke wa mtu anataka nimpangishie nyumba yake.

Huyu mdada ana mji wake na watoto 3 ila mumewe amemtelekeza na kuacha kuwahudumia watoto pamoja na mama yao. Huyu mdada aliamua kujiendeleza kielimu (chuo) na katika mizunguko yangu ya hapa na pale,nikajikuta nimeshawishika kutokana na shepu yake.

Nikawa namgaramia matumizi madogo madogo, wakati mwingine ada n.k. Mwisho wa siku akaamua kunizawadia ujauzito.

Sasa changamoto inayokuja kwa sasa, anataka nimpangishie nyumba ndogo na nianze kumnunulia vitu vya ndani.

Wakuu, haya majukumu ni halali mimi kupewa?
Ni vizuri ukamjengea ya kwake kabisa kupanga sio mpango toa muhanga
 
Si umpangishie Wakati unakula raha ulimshirikisha nani haya rudisha fadhila kwa mwenzio amekupa zawadi ya mtoto bado huoni hilo amezoea vya mteremko eee mpangishie sianaishi na mwanao ebo!!!
 
Back
Top Bottom