Mke wa mtu ananiomba niigize kama jamaa yake

Kiukweli siwezi kumtuhumu huyu Dada kutengeneza mtego....tumeshibana kisawaswa.

Tatizo ninaloliona kwake ni kuchukulia mambo kirahisi rahisi.

Wewe umeleta mada, tunakushauri, alafu wewe unaona ushuri haufai. Nilikuambia mwanzoni, ukidhubutu kufanya hivyo, hata nafasi ya kuja kutupa mrejesho hutaipata.
Kuna wengi waliojifanya kama wewe, mwisho wao walizibuliwa mitaro baada ya kushindwa kulipa fedha walizoamriwa watoe.
 
kuanzia sasa anza kumkwepa huyo dada kabla hujaingia majaribuni mkuu, ukiruhusu haya mazingira yaendelee kuwapo kuna siku utateleza na hapo ndo utakua mwanzo wa majuto.
 
"hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo.

Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye ameshajiridhisha kuwa sina hatari yoyote kwa mkewe zaidi ya kazi.

Ingawa Mwana Dada haweki wazi sana ni nini lengo lake la kutaka ionekane hivyo zaidi ya kusema tu anataka ampe Jamaa tumbo joto bila kujali madhara gani yanayoweza kunikuta mimi "Muigizaji".

Nikimuuliza anataka nifanye nini husema anataka niwe namrudisha nyumbani kwake usiku na Mumewe ajue kuwa alikuwa na mimi, ingawa yeye atakuwa anamwambia alikuwa na mimi kikazi huku akijua wazi Jamaa atapatwa na jekejeke...na hilo ndio haswa lengo lake.

Ukisikia mtihani ndio huu.

Mwana kulifight mwana kuliget
 
Utaliwa.
 
Litakalokupata usije humu kuomba msaada.
Kwa upumbav wako. Mwanamke anakutega kukuweka kwenye hatari na ww unakubali...
Unashida kaka
 
"hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo.

Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye ameshajiridhisha kuwa sina hatari yoyote kwa mkewe zaidi ya kazi.

Ingawa Mwana Dada haweki wazi sana ni nini lengo lake la kutaka ionekane hivyo zaidi ya kusema tu anataka ampe Jamaa tumbo joto bila kujali madhara gani yanayoweza kunikuta mimi "Muigizaji".

Nikimuuliza anataka nifanye nini husema anataka niwe namrudisha nyumbani kwake usiku na Mumewe ajue kuwa alikuwa na mimi, ingawa yeye atakuwa anamwambia alikuwa na mimi kikazi huku akijua wazi Jamaa atapatwa na jekejeke...na hilo ndio haswa lengo lake.

Ukisikia mtihani ndio huu.
Utatatuliwa shauri yako. Yeye mwache apambane na ndoa yake
 
Kwa nini uumie kwa kuigiza tu, huwezi fanya kazi bure, mwambie mfanye kweli ili siku unazibuliwa unajua kabisa ubazibuliwa kihalali!!
 
Usitudanganye ,nyie tongozaneni tu ipo siku mtakiona cha moto.
 
Don't entertain hizo conversation, onyesha kukerwa na mpango wake. Usikubali kuwa KONDOO wa kafara.
 
Kiukweli siwezi kumtuhumu huyu Dada kutengeneza mtego....tumeshibana kisawaswa.

Tatizo ninaloliona kwake ni kuchukulia mambo kirahisi rahisi.
Lakini mkuu unakumbuka kale ka story ka Samson na yule mdada sijui delila? Hawatarabiki hao
 
ANZA KUTEMBEA NA VASELLINE UNAWEZA UKAKUTA JAMAA HAWAJAJA NAYO UTAUMIA ZAIDI.BORA UWE NAYO ILI UWAPAKE TU IWE ANGALAU RAHISI KWAKO.
 
Never ever under estimate the power of husband to his wife!!
IMG_20200829_181708.jpg
 
Kaelekea mwenyewe 'Qibla' huyo Dada.
Chinja,chinja nasema chinja kabla hajabadili mawazo.
Kisha mnaigiza sasa😋
 
naona kabisa unaliwa TIGO naona kabisa very soon
 
"hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo.

Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye ameshajiridhisha kuwa sina hatari yoyote kwa mkewe zaidi ya kazi.

Ingawa Mwana Dada haweki wazi sana ni nini lengo lake la kutaka ionekane hivyo zaidi ya kusema tu anataka ampe Jamaa tumbo joto bila kujali madhara gani yanayoweza kunikuta mimi "Muigizaji".

Nikimuuliza anataka nifanye nini husema anataka niwe namrudisha nyumbani kwake usiku na Mumewe ajue kuwa alikuwa na mimi, ingawa yeye atakuwa anamwambia alikuwa na mimi kikazi huku akijua wazi Jamaa atapatwa na jekejeke...na hilo ndio haswa lengo lake.

Ukisikia mtihani ndio huu.
Ukikubali tu kufanya hili anza kutembea na kilainishi, usije sema hukuonywa hapa
 
Back
Top Bottom