Hakainde
JF-Expert Member
- Jul 30, 2020
- 2,400
- 2,882
Kitakupata kitu..shauri yako.
Za kuambiwa changanya na zako.
Masemo wa JK
Usiwe Kama mbayuwayu
Kitakupata kitu..shauri yako.
Za kuambiwa changanya na zako.
HakikaMasemo wa JK
Usiwe Kama mbayuwayu
Hahaa kijana ana hatari sana huyuNi mtihani etieeeh..????
Hivi ujasiri wa kuigiza na wake za watu mnautoa wapi.??? Nitashangaa kama mwanaume mzima nawe utashikiwa akili na mwanamke uanze kujaribu kucheza michezo ya hatari..!!
Huo muda bora hata ungetazama zako katuni.! 😂
Mke wa mtu sumu
🤣🤣🤣🙌🙌Amepanga mumewe akuuwe afungwe ili sasa apage nafasi ya kujivinjari na Ampendaye
"hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo.
Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye ameshajiridhisha kuwa sina hatari yoyote kwa mkewe zaidi ya kazi.
Ingawa Mwana Dada haweki wazi sana ni nini lengo lake la kutaka ionekane hivyo zaidi ya kusema tu anataka ampe Jamaa tumbo joto bila kujali madhara gani yanayoweza kunikuta mimi "Muigizaji".
Nikimuuliza anataka nifanye nini husema anataka niwe namrudisha nyumbani kwake usiku na Mumewe ajue kuwa alikuwa na mimi, ingawa yeye atakuwa anamwambia alikuwa na mimi kikazi huku akijua wazi Jamaa atapatwa na jekejeke...na hilo ndio haswa lengo lake.
Ukisikia mtihani ndio huu.
Ningetaka hivyo ningeweza kufanya muda mrefu tu tena bila hata Jamaa kujua kinachoendelea...tuna uhuru nae sana tu.Ukikubali huo ushawishi wa kuigiza utakuwa umepiga step moja kuelekea ushawishi wa kufanya kweli.
Kwamaana naona kuna siku mtafunga biashara zenu mapema lakini kwasababu inabidi umrudishe usiku itabidi mkakae sehem fulani kusubilia giza liingie. mtaanza na sehem safe, baadae sehem zitaendelea kubadirika na chakula na vinywaji pia vitaingia.
Siku ya siku mtakuja kusema ni kwasababu ya pombe la sivyo msingefanya.
Nakutakia kila la heri ,, hesabu hauna malinda.
Hiki ndicho nakiwaza siku zote ingawa Mdada hataki kuwa wazi sana, hataki kuonyesha kama ndoa yake ina changamoto.Huyo atakuwa kapigwa matukio double double na mmewe sasa anataka kumuonyesha kuwa na yeye mrembo hata wa nje wanampenda ndo anataka akutumie wewe kumrusha mmewe
Ukikubali kitakupata kitu manake wanaume wanapenda wachepuke wao tu na sio wake zao!In short mkimbie huyo bibie
Ashakuchoka huyo."hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo.
Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye ameshajiridhisha kuwa sina hatari yoyote kwa mkewe zaidi ya kazi.
Ingawa Mwana Dada haweki wazi sana ni nini lengo lake la kutaka ionekane hivyo zaidi ya kusema tu anataka ampe Jamaa tumbo joto bila kujali madhara gani yanayoweza kunikuta mimi "Muigizaji".
Nikimuuliza anataka nifanye nini husema anataka niwe namrudisha nyumbani kwake usiku na Mumewe ajue kuwa alikuwa na mimi, ingawa yeye atakuwa anamwambia alikuwa na mimi kikazi huku akijua wazi Jamaa atapatwa na jekejeke...na hilo ndio haswa lengo lake.
Ukisikia mtihani ndio huu.
Wala siwezi kumdhania hivyo, hana nia yoyote ovu maana tumeshibana na ningetaka kuwa naye wala nisingehitaji nguvu kubwa.Kama unajipenda acha mazoea nae, hakutakii mema huyo ati
😂😂😂😂😂😂Bwana alitoa bwana alitwaa Jina la bwana lihimidiwe
Kiukweli siwezi kumtuhumu huyu Dada kutengeneza mtego....tumeshibana kisawaswa.Hapo unataka kujaribu sumu kwa kuilamba. Kitakachokusibu hutapata nafasi ya kuja kutupa mrejesho.
Nakushauri tu kaa mbali. Wapo wanaofanya hivyo kwa makubaliano na mume wake ili kukuweka kwenye kona ambayo utakamatwa kama mgoni na kulipa fedha nyingi ili wakuachie.
Jidanganye, kumbuka ni mke wa mtu huyo ohooWala siwezi kumdhania hivyo, hana nia yoyote ovu maana tumeshibana na ningetaka kuwa naye wala nisingehitaji nguvu kubwa.
Kikubwa ninachokiona na udhaifu wake tu wa kujiridhisha kwamba Jamaa yake hana uwezo wa kufanya chochote cha kushangaza...ambalo ni kosa kubwa.