Mke wa mtu ananiomba niigize kama jamaa yake

Mkuu nakutahadharisha Siku hizi KY hakuna ,jiaandae watakupaka hata Baby care shauri yako.
 
"hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo.

Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye ameshajiridhisha kuwa sina hatari yoyote kwa mkewe zaidi ya kazi.

Ingawa Mwana Dada haweki wazi sana ni nini lengo lake la kutaka ionekane hivyo zaidi ya kusema tu anataka ampe Jamaa tumbo joto bila kujali madhara gani yanayoweza kunikuta mimi "Muigizaji".

Nikimuuliza anataka nifanye nini husema anataka niwe namrudisha nyumbani kwake usiku na Mumewe ajue kuwa alikuwa na mimi, ingawa yeye atakuwa anamwambia alikuwa na mimi kikazi huku akijua wazi Jamaa atapatwa na jekejeke...na hilo ndio haswa lengo lake.

Ukisikia mtihani ndio huu.
Mwanamke tena mke wa mtu anakushauri upumbavu huu na mwanaume unamsikiliza kabisaaaa!!!! Safari bado ndefu
 
"hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo.

Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye ameshajiridhisha kuwa sina hatari yoyote kwa mkewe zaidi ya kazi.

Ingawa Mwana Dada haweki wazi sana ni nini lengo lake la kutaka ionekane hivyo zaidi ya kusema tu anataka ampe Jamaa tumbo joto bila kujali madhara gani yanayoweza kunikuta mimi "Muigizaji".

Nikimuuliza anataka nifanye nini husema anataka niwe namrudisha nyumbani kwake usiku na Mumewe ajue kuwa alikuwa na mimi, ingawa yeye atakuwa anamwambia alikuwa na mimi kikazi huku akijua wazi Jamaa atapatwa na jekejeke...na hilo ndio haswa lengo lake.

Ukisikia mtihani ndio huu.
Uanze kutembea ukiwa umebeba mafuta ya VASELINE. Utanishukuru baadae.
 
Umeshikwa masikio unakokotwa tu, kwa nini wewe? Amekosa wengine watakaofaa zaidi kwa hiyo kazi,mwambie atafute mtu ambaye hafanyi naye kazi iwe vyepesi kwa mume kumuhisi anachepuka Sasa wewe si mume atafikiria kazi kwanza?

Ogopa sana hawa unaodhani unawajua vizuri, wakati bado hajamjaribu huwa anacharukaje kwenye angle ya kuvamiwa ndani ya himaya yake ?
 
Mwanamke anadhani mumewe ana tabirika sasa hajui tu kwenye wivu hata wanaume wanatabirika uwaga wanamchoma mtu kwa kutumia gunia mbili.
 
Ni mtihani etieeeh..????

Hivi ujasiri wa kuigiza na wake za watu mnautoa wapi.??? Nitashangaa kama mwanaume mzima nawe utashikiwa akili na mwanamke uanze kujaribu kucheza michezo ya hatari..!!

Huo muda bora hata ungetazama zako katuni.! 😂
Huyu boya sijui hata kapata wapi nguvu za kuanzisha uzi kwa suala la kijinga kama hili, ngoja akatatuliwe marinda ndio akili itamkaa
 
Unacheza na sihlingi/maisha kwenye tundu la choo. Endelea... Unaweza usiwepo kuleta mrejesho hapa baada ya kutimiza analokuomba ufanye.
"hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo.

Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye ameshajiridhisha kuwa sina hatari yoyote kwa mkewe zaidi ya kazi.

Ingawa Mwana Dada haweki wazi sana ni nini lengo lake la kutaka ionekane hivyo zaidi ya kusema tu anataka ampe Jamaa tumbo joto bila kujali madhara gani yanayoweza kunikuta mimi "Muigizaji".

Nikimuuliza anataka nifanye nini husema anataka niwe namrudisha nyumbani kwake usiku na Mumewe ajue kuwa alikuwa na mimi, ingawa yeye atakuwa anamwambia alikuwa na mimi kikazi huku akijua wazi Jamaa atapatwa na jekejeke...na hilo ndio haswa lengo lake.

Ukisikia mtihani ndio huu.
 
Nafikiri huyu mwanamke anakutaka na inaonekana wewe ulishaweka mipaka hii ni mbinu yake ya kuvunja mipaka ili iwe rahisi. Kazi kwako!
 
Mambo mengine aloo

Yani tuache kutafuta pesa tuanze kukushauri namnna ya kutumiwa na mke wa mtu?
 
"hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo.

Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye ameshajiridhisha kuwa sina hatari yoyote kwa mkewe zaidi ya kazi.

Ingawa Mwana Dada haweki wazi sana ni nini lengo lake la kutaka ionekane hivyo zaidi ya kusema tu anataka ampe Jamaa tumbo joto bila kujali madhara gani yanayoweza kunikuta mimi "Muigizaji".

Nikimuuliza anataka nifanye nini husema anataka niwe namrudisha nyumbani kwake usiku na Mumewe ajue kuwa alikuwa na mimi, ingawa yeye atakuwa anamwambia alikuwa na mimi kikazi huku akijua wazi Jamaa atapatwa na jekejeke...na hilo ndio haswa lengo lake.

Ukisikia mtihani ndio huu.
Ni sawa na kujaribu kunywa sumu, eti uone inafanyaje kazi. Usijaribu kabisa huo mchezo, utajuta au familia yako watashikwa na butwaa na mshangao wa kimataifa.
 
Ohoooo! Shauri yako! Utapigwa rungu la kichwa halafu iwe tabu kitaa.

"hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo.

Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye ameshajiridhisha kuwa sina hatari yoyote kwa mkewe zaidi ya kazi.

Ingawa Mwana Dada haweki wazi sana ni nini lengo lake la kutaka ionekane hivyo zaidi ya kusema tu anataka ampe Jamaa tumbo joto bila kujali madhara gani yanayoweza kunikuta mimi "Muigizaji".

Nikimuuliza anataka nifanye nini husema anataka niwe namrudisha nyumbani kwake usiku na Mumewe ajue kuwa alikuwa na mimi, ingawa yeye atakuwa anamwambia alikuwa na mimi kikazi huku akijua wazi Jamaa atapatwa na jekejeke...na hilo ndio haswa lengo lake.

Ukisikia mtihani ndio huu.
 
Hiki ndicho nakiwaza siku zote ingawa Mdada hataki kuwa wazi sana, hataki kuonyesha kama ndoa yake ina changamoto.

Au labda hata hakuna changamoto yoyote ni akili zake anazozijua mwenyewe.
Kwa experience ya ndoa ambazo naziona huyo kapigwa tukio tu bana
Wanawake kutaka kumrusha roho mume wa ndoa si kazi rahisi wengi hawafanyi hayo ukiona hivyo ujue kumewaka tu sema anatumia busara asiyamwage kwako pengine anaona soo kutiririka mambo yake
 
"hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo.

Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye ameshajiridhisha kuwa sina hatari yoyote kwa mkewe zaidi ya kazi.

Ingawa Mwana Dada haweki wazi sana ni nini lengo lake la kutaka ionekane hivyo zaidi ya kusema tu anataka ampe Jamaa tumbo joto bila kujali madhara gani yanayoweza kunikuta mimi "Muigizaji".

Nikimuuliza anataka nifanye nini husema anataka niwe namrudisha nyumbani kwake usiku na Mumewe ajue kuwa alikuwa na mimi, ingawa yeye atakuwa anamwambia alikuwa na mimi kikazi huku akijua wazi Jamaa atapatwa na jekejeke...na hilo ndio haswa lengo lake.

Ukisikia mtihani ndio huu.
Unampango wa kuharibu shughuli zako.nadhani ungeamua kuachana na ukaribu na huyo bibie.watakushikisha ugoni feki utolewe hela ,ukate na mtaji wako wote
 
Back
Top Bottom