Mke wa mtu ananiomba niigize kama jamaa yake

Wake za watu kutongoza imejulikanaa,
Jihadhari itaishia shimo la tewa
Umenikumbusha wimba wa sama mapangala
 
We kaigize tu,Naona na mme wake akigundua nae ataigiza sema yeye atakuwa stering wewe Kaka jambazi nafikiri umeshaona muvi nyingi makaka jambazi kinachowapata mwisho wa picha,Halafu watazamaji wengi hata watoto huwa upande wa stering ila kwa hii muvi yako mi nitakuwa upande wa jambazi kwa ajili ya kukuenzi majina yakipanda.
 
"hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo.

Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye ameshajiridhisha kuwa sina hatari yoyote kwa mkewe zaidi ya kazi.

Ingawa Mwana Dada haweki wazi sana ni nini lengo lake la kutaka ionekane hivyo zaidi ya kusema tu anataka ampe Jamaa tumbo joto bila kujali madhara gani yanayoweza kunikuta mimi "Muigizaji".

Nikimuuliza anataka nifanye nini husema anataka niwe namrudisha nyumbani kwake usiku na Mumewe ajue kuwa alikuwa na mimi, ingawa yeye atakuwa anamwambia alikuwa na mimi kikazi huku akijua wazi Jamaa atapatwa na jekejeke...na hilo ndio haswa lengo lake.

Ukisikia mtihani ndio huu.
kumbuka bastola zinauzwa bro kua makini mmewe asije nunua kwajili ako
 
We kaigize tu,Naona na mme wake akigundua nae ataigiza sema yeye atakuwa stering wewe Kaka jambazi nafikiri umeshaona muvi nyingi makaka jambazi kinachowapata mwisho wa picha,Halafu watazamaji wengi hata watoto huwa upande wa stering ila kwa hii muvi yako mi nitakuwa upande wa jambazi kwa ajili ya kukuenzi majina yakipanda.
[emoji23] [emoji23]
 
We pima upepo bana kwani nini, unaweza kukuta Jamaa hana noma wala nini.
 
"hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo.

Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye ameshajiridhisha kuwa sina hatari yoyote kwa mkewe zaidi ya kazi.

Ingawa Mwana Dada haweki wazi sana ni nini lengo lake la kutaka ionekane hivyo zaidi ya kusema tu anataka ampe Jamaa tumbo joto bila kujali madhara gani yanayoweza kunikuta mimi "Muigizaji".

Nikimuuliza anataka nifanye nini husema anataka niwe namrudisha nyumbani kwake usiku na Mumewe ajue kuwa alikuwa na mimi, ingawa yeye atakuwa anamwambia alikuwa na mimi kikazi huku akijua wazi Jamaa atapatwa na jekejeke...na hilo ndio haswa lengo lake.

Ukisikia mtihani ndio huu.
Usijaribu kujiweka matatani sababu ya akili ya mwanamke. Anachodhamiria kukifanya sio chepesi kama jibu alilokupa.
 
"hawezi kukufanya chochote bana yule mimi namjua" haya ndio maneno yake anayoyarudiarudia kila mara ninapomsisitizia kuwa siwezi kufanya hivyo...Huyu Dada tuna ukaribu naye kibiashara na sina uhusiano nae wa kimapenzi na wala sitarajii kufanya hivyo.

Mumewe tunafahamiana juujuu tu ila naye ameshajiridhisha kuwa sina hatari yoyote kwa mkewe zaidi ya kazi.

Ingawa Mwana Dada haweki wazi sana ni nini lengo lake la kutaka ionekane hivyo zaidi ya kusema tu anataka ampe Jamaa tumbo joto bila kujali madhara gani yanayoweza kunikuta mimi "Muigizaji".

Nikimuuliza anataka nifanye nini husema anataka niwe namrudisha nyumbani kwake usiku na Mumewe ajue kuwa alikuwa na mimi, ingawa yeye atakuwa anamwambia alikuwa na mimi kikazi huku akijua wazi Jamaa atapatwa na jekejeke...na hilo ndio haswa lengo lake.

Ukisikia mtihani ndio huu.
Mkuu huyo anataka mkwichi-kwichi sema ameogopa kusema hilo anaamua azunguke.

Ila mke wa mtu sumu kimbia!!
 
Kuna wimbo mmoja wa ben paul unaitwa “phone” kuna mstari pale ndani unasema “unachokitafuta utakupata.....”
lakini huyu hatafuti bali anatafutiwa............amekuja hadi humu jukwaani kuonyesha kwamba hatafuti chochote! ujumbe umepatikana lakini, bila shaka
 
Apo kuna mchezo unachezewa ukijaa tu kwenye mfumo 4-4-2 umeisha mkuu kuwa makini huyo mke wa mtu atakuingiza matatizoni.
Kwa mawazo yangu nadhani inawindwa hiyo biashara yako kwahiyo kuwa makini utatolewa kwenye reli.

hata mimi nimefkilia hivo.Pengine huyo man ana mtaji mkubwa kidogo sasa huyo dada na mme wake wanatafta namna ya kujipati Hizo pesa bila jasho
 
Ajajua bado akija kujua kashapoteza kila kitu na hapo unatengenezwa ukaribu ambao kwake yeye anaaminishwa ni wakawaida na ni ngumu kujua lengo kuu ni lipi haswa, atazungukwa vibaya natanguliza pole kwake.
 
Back
Top Bottom