Mke wa jirani amenieleza mapungufu ya mumewe

Ni katika hali ya story za kuhusu masuala yanayohusu mazingira tunayoishi, Hapa namaanisha kuhusu usafi na mengineyo na Mimi ni single boy hivyo sina wa kusimamia masuala hayo zaidi ya mimi mwenyewe ndipo tukajikuta tunazungumzia masuala ya mahusiano na ndipo mwanadada huyu akaenda direct kwenye topic ya wivu.

Kuhusu wivu akaanza kumkandia mumewe kwamba ana wivu wa Kimbatu (wivu wa kijinga) kwani hajiamini hata kidogo na wala hamuamini yeye mwenyewe... Picha linaanza jamaa anamkagulia simu kila wakati, Imefika hatua jamaa ame-divert simu yake kwamba kabla simu au message yoyote haijafika kwa mwanadada huyu basi inapita kwanza kwa jamaa, Mwanadada anaongea kwa uchungu sana kuonesha hali hiyo kwamba inamkwaza sana na kumfanya ahisi kama anaishi gerezani, Anasema kila simu itakayopigwa au message kuingia akiwa na jamaa yake ndani basi ni lazima aulizwe "Nani huyo..." kwa sauti yenye tempa😁, Muda wote huo nilimsikiliza kisha kumuuluza "Lakini Happy kama wewe ni muaminifu kwake basi kwanini ukwazike yeye kujihakikishia?" Mwanadada yule hakuridhia majibu yangu bali aliendelea kuelezea tu jinsi gani anavyokereka na mwenendo wa jamaa

Mwanadada amefunguka mengi sana ila wakati anataka kuelekea kwenye kuongea madhaifu ya jamaa kitandani mimi nikamkatisha kwa kujipokelesha simu ya uwongo na kweli na kumuacha kwenye mataa mwanadada yule huku nisichangie neno lolote wala kumpondea jamaa. Ama kweli mimi na wana ni dam dam.

Mwisho: Wakuu acheni kukagua simu za wanawake zenu kiasi wakajua mnawafuatilia, Hiyo ni ishara kwamba hujiamini na hilo ni jambo ambalo linakushusha thamani kwa mwanamke ndani ya dk 0, Kingine jinsi unavyoonesha udhaifu wa kumpenda mwanamke na kuwa na wivu wa hali ya juu ndipo unapompa hamasa ya yeye kutaka ku-teste the new test.
Nikasrol Down labda nitaona picha nakuta olla
 
Hilo rinda umelilinda kwa muda mrefu sana. Kuwa makini lisije kutwaliwa kirahisi hivyo
 
2Chainz soma uzi ujue unahitaji nini usipende kutoa maoni kwa mihemko ya maoni ya wengine Utakuja kushutukia Unavuja siku shauri yako
 
Wote wapumbav tu, unanishauri kwa kitu gan kibaya nilichokifanya? Mtu kaanza kujiongesha ulitaka nimzibe mdomo? Mtu mwenye anaejitambua hawezi kutoa maoni nje ya key... Uzi ulikuwa na lengo la kuwaelekeza wana mnapofail nashangaa mnakuja kujifanya kunishauri achaeni ujuaji haya mambo sisi wengine wabobezi na huo ujuaji wenu ndo hufanya sisi tukasirike sasa turuke na mama watoto zenu.
Ungekuwa mbobezi usingepata hata fursa ya kufungua domo lako kwa uYo mama
 
Mazoea kiasi sio mabaya... We goes with a limit.
Mwanaume hakatai ushauri bali anaufanyia kazi na ukweli unaumwa ila kuupokea na kuiplement mabadiliko ni vyema. Achana na mazoea na huyo bibie.
 
The golden chance never come twice, tumia opportunity pale uwezavo ndani ya uwezo wako maana hata wana nao huwa opportunity kama hzo haziwapiti hvhv

We funguka achana na habar za wana
We jamaa uko na pussified mind ..Heshimu Mke wa mwanaume mwenzako ukiona ,vyaelea vimeundwa
 
Mbinguni tutafika tumechoka,amini nawaambia msio kagua simu za Wapenzi wenu hata mkisema mnajiamini ukweli mnagongewa kichizi,na mnaoshika hamna Akili hata kidogo.
Yaani kifupi wanaume we are https://jamii.app/JFUserGuide*d
 
Rafiki yangu wa miaka mingi mpaka kesho ananilaumu kwa kumtupa (simtembelei kabisa kwake) anaamini labda tofauti za kimaisha ndio sababu za umbali wetu.. ila ukweli mke wake ndio alinikimbiza (kila mara msg za kuomba msaada na kunisifia, mwanzo nilikuwa namtoa then mazoe yaka-graduate kuwa naitwa mume wangu???? Shemeji nimegeuka mume ghafla kisa 50k????) Nilikimbia mbaya... na siwezi kumweleza jamaa yangu ila wanawake wengine ni takataka aisee.
Ah bwana wee ulitakiwa mkula huyo shemeji
 
Back
Top Bottom