Mke wa jirani amenieleza mapungufu ya mumewe

Wewe huna mke halafu unataka kupangia watu jindi ya kuishi na wake zao?

Bure kabisa
 
Unaanzaje kukaa na mke wa mtu...kujadili mambo ya mumewe...sidhani kama unayo kazi ya kufanya nakushauri tafuta kazi ufanye...mambo ya wake za watu yatakuja kukusababishia majanga
Wewe itakuwa una matatizo ya akili.
 
Tulipoambiwa tuishi nao kwa akili ni kwa sababu ni akili pekee ndio zitakazo muweka salama mwanaume mbele ya uso wa mwanamke.........

Katika akili ya kawaida na jinsi ulivyotanabaisha ni kuwa matumizi yako ya akili mbele ya mwanamke yapo chini sana na hilo linaweza kukuletea matatizo au kuyaangamiza maisha yako.....kitendo Cha wewe kukaa faragha na mke wa mtu na kukuelezea mambo yote hayo na wewe kuyaamini na kuyabeba kama yalivyo ni uthibitisho kuwa matumizi yako ya akili yako chini sana mbele ya kiumbe mwanamke.........

Moja ya matumizi sahihi ya akili kwa mwanamume ni kujua na kuheshimu mipaka yake dhidi ya mwanamke ambaye si halali yake na kwa kufanya hivyo utakuwa umeyaepusha maisha na majanga makubwa na hata kifo........

Muendelezo wa hizo faragha kutazaliwa jambo ambalo litakuletea matatizo makubwa.... kumbuka sio wote wanaohukumiwa juu ya mambo hayo kwa wamelala nao bali hata mazingira tatanishi yanaweza kuwafanya watu waamini hivyo........


Word is enough for the wise
JF kila mtu anajifanya anajua kudadavua hivi wewe una akili timamu kweli, hivi umesoma ukaelewa... Mtu kaanza kuongea mwenyewe sijamuuliza ulitaka nimuambiaje acha ufalor
 
Na wewe tafuta KAZI za kufanya acha kukaa na Wake za watu na kuongea umbea, wanaume wenzako wameoa na wanaenda kutafuta pesa, wewe unakaa home na kufanya usafi kwenye vyoo vya wapangaji wenzio. Stop 🛑 🚏
Dah! Hadi wewe kumbe nati pia hazikazi!!?
 
Wewe ni mwenyekiti wamtaa!!!?,balozi au ni afsa ustawi wa jamii?
Acha mazoea na wake za watu kabla hawajakuzibua mtaro..
MAWEED hadi wewe nilikuwa nakuona mwamba kumbe ubingwa huna mwanangu!!
 
Wadau karibu wote waliotangulia wamekushauri vizuri. Zingatia. Vinginevyo utakuja hapa na story ya kuumizwa.
Wote wapumbav tu, unanishauri kwa kitu gan kibaya nilichokifanya? Mtu kaanza kujiongesha ulitaka nimzibe mdomo? Mtu mwenye anaejitambua hawezi kutoa maoni nje ya key... Uzi ulikuwa na lengo la kuwaelekeza wana mnapofail nashangaa mnakuja kujifanya kunishauri achaeni ujuaji haya mambo sisi wengine wabobezi na huo ujuaji wenu ndo hufanya sisi tukasirike sasa turuke na mama watoto zenu.
 
Ndoa lazima ziwe na miundo miwili.
1. Urafiki na utani
2.Ufalme.
Lazima muwe marafiki na watani, kila mmoja kuwa huru na kufurahi.
Tukienda hatua ya pili ufalme. Hapa mke lazima ajue kuwa mume ni mfalme muda wowote anaweza kuamuru lete simu na kuanza kuipekua na kumrejeshea.
Sasa wewe ishi na mwanamke kwa kanuni nambari 1 tu utaona kilio chake.
Acheni mapenzi ya kizungu, hamtatoboa, akili na hulka ya mwanamke wa kiafrika ina utofauti na wazungu.
Bora wewe mkuu umeelewa uzi unahitaji kitu gan
 
Huna akili kabisa mbwea wewe,,mwanaume zima umekaa kibarazan na mke wa mtu mnapiga umbea,,una tabia za kike bila shaka..

So unataka tukushaurije asa!!! stupid.
Kwenye uzi kuna mahali nimeandika tulikaa kibarazani wewe kondoo?
 
Huyo sio mke, usishangae kesho akamwambia jamaa yake umemtongoza, kaa naye mbali, mambo ya simu inategemea, mimi sikagui simu lakini password lazima niijue na nikitaka kuiangalia sitegemei akatae, it goes both ways, anaweza kuangalia yangu pia sina shida
Ikiwa wewe ni muelewa basi ungeelewa ni kwanini nilijipokelesha simu nikaondoka... Sijaomba ushauri wa mtu maana hayo mnayojifanya kuyaongea ninyi me nina expirience kuliko mliojifunzia kwao, Uzi haukuwa na lengo la ninyi kunishauri bali mimi kuwaelimisha ninyi wanaume mnaojisahau
 
Na wewe tafuta KAZI za kufanya acha kukaa na Wake za watu na kuongea umbea, wanaume wenzako wameoa na wanaenda kutafuta pesa, wewe unakaa home na kufanya usafi kwenye vyoo vya wapangaji wenzio. Stop 🛑 🚏
Ninyi ndo wanaa ambao hamuwezi kucheka kwa kujiachia hamsumbui kichwa
 
Sawa mkuu be careful
Be Careful kawaandikie uliowazidi expirience ya maisha mkuu, mimi mkali wa hizi kazi. Wewe kama una mke fuata ushari wangu wa last line... Maana hao wanawake wakikutana na Wenzangu wasio wastaarabu mtasaidiwa sana
 
Be Careful kawaandikie uliowazidi expirience ya maisha mkuu, mimi mkali wa hizi kazi. Wewe kama una mke fuata ushari wangu wa last line... Maana hao wanawake wakikutana na Wenzangu wasio wastaarabu mtasaidiwa sana
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom