Mke mtarajiwa anapoamua kuaga mchepuko ....

Mke mtarajiwa anapoamua kuaga mchepuko ....

Weee binti ndo katisha aisee japo wote ni majasiri. Kama ningepewa nafasi ya kutoa medani binti angejinyakulia bila kigugumizi
Mie ningewapa wote,zingetofautiana thamani ya madini tu!!
 
pwenti ofu korekshen kolig!
ni Kiuno cha kwaheri!
Lakini bint ana akili sana ujue,hapo ametoa kiuno cha kwaheri kiroho Safi kabisa ili Mr akizingua ndani ajihakikishie unlimited service kwa X!!!!
 
mmmmh! miss neddy nini kinakufanya upite bila hata kutoa neno? Kaa kidogo basi tunywe hata kahawa.
Au na ww unapenda kamchezo haoko?

nilikumiss Mgirik
mi sipendi hako kamchezo mbona hata wanaume huwa mnaaga michepuko yenu kabla ya ndoa
 
Last edited by a moderator:
Wanawake ambao hawajaolewa na wanaume ambao hamjaoa mna mitihani sana.Kuna jamaa nae alikua anamuongopea rafiki yangu atamuoa na anataka aende kwao( rafki yangu)akajitambulishe dec mwaka jana , kumbe matangazo ya ndoa yake yanatangazwa.Ulipofika wakati wa ndoa ( October),akamdanganya rafki yangu mamake yupo hoi anaumwa anaenda kumcheki kumbe ndo anaenda kufunga ndoa.
 
Back
Top Bottom