Mke mtarajiwa anapoamua kuaga mchepuko ....

Mke mtarajiwa anapoamua kuaga mchepuko ....

Hongera Mwana F.A aliyelala na bibi harusi siku tatu kabla ya harusi bado mnanishauri kuoa?bado nipo nipo kwanza
 
Ukistaajabu ya Musa , utayaona ya karne ya 21. No wonder watu wengi wanakimbia ndoa siku hizi.. ni kutokana na kuyaogogopa haya.
 
alilala na bibi harusi siku moja kabla ya harusi!halafu bado mnanishauri harusi...?
 
kweli maisha yamebadilika watu hawana hofu ya Mungu wala
hawaogopi kitu hawajui kuwa Mungu aliweka hicho kitu kwa thamani kubwa
na kilikuwa ni cha kuwa ndani ya ndoa na si nje wao wanagawana tu kama :third:
 
Ukistaajabu ya Musa , utayaona ya karne ya 21. No wonder watu wengi wanakimbia ndoa siku hizi.. ni kutokana na kuyaogogopa haya.

Hata ukiyakimbia,utayakimbia hadi lini sasa?

Mwisho wa siku utakuja kuoa tu ....!!
 
Naomba nisicomment kuhusiana na hii mada, make ni aibu ma laana!

Sasa wa kwetu,kipi ni laana?

Wewe kukometi au kilichotokea kwenye mada ....lol?

Ukimuona snowhite mwambie namtafuta sana!
 
Last edited by a moderator:
kweli maisha yamebadilika watu hawana hofu ya Mungu wala
hawaogopi kitu hawajui kuwa Mungu aliweka hicho kitu kwa thamani kubwa
na kilikuwa ni cha kuwa ndani ya ndoa na si nje wao wanagawana tu kama :third:
Yaani ....!!
 
Hata ukiyakimbia,utayakimbia hadi lini sasa?

Mwisho wa siku utakuja kuoa tu ....!!
Ni kweli nitakuja kuolewa siku moja panapo majaaliwa ila itakua baada ya maombi mengi na kuamua kwamba chochote huyu mtu alichokifanya kabla hatujaoana nitakua tayar kukisamehe la sivyo nitakua wale wa kutafuta talaka baada ya miezi sita ya ndoa.
 
Are you doing "it" today?
 
huyo mume itamgharimu sana kumsahaulisha mke wake huo mchepuko vingnevyo atakuwa yeye ni surplus to requirements mchepuko utakuwa na nafas kubwa bado kwenye moyo wa mwanamke
 
ukiona hivyo ujue huyo jamaa anapiga shughuli sana huko faragha kuliko mume mtarajiwa so mdada hata akiwa kwa huyo mme wake atakuwa anamkumbuka huyo mgane. Maana yake ni kwamba hata baada ya ndoa huyo binti atakuwa anatoroka ndoa yake na anakuja kwa huyo mgane amu update

Hapa hata Mimi namshangaa mwanamke kama jamaa anamgonga vizuri kwanini alikuwa anawachanganya wawili
 
Back
Top Bottom