Ennie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2011
- 7,137
- 4,139
Bestiiiiii!!!Ukimchunguza kuku sana...........
ukitumia akili nyingi sana na muda mwingi sana kuwaza haya mambo , ni kujipuinguzia furaha ya maisha.
hiyo ndiyo hali halisi ya sasa hivi , mpaka umri huu nimeshaombwa miago mingi sana na wengine hata baada ya ya ndoa wameendelea kunimendea.
zamani nilikuwa nawaza sana , ila ilifikia mahali likawa hata halisumbui tena akili yangu kwani kuikweli kuoa ni lazima kwa upande wangu.