Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
mama yangu!!........ Kumbe unapenda na ww kuagwa. Mm sijawahi kuagwa, lakn muwe makin hizo baraka mnazozitaka znaweza kugeuka kuwa mkosi badala ya kwenda kutulia unaenda kumwagwa
ukiwaza negative chochote lazima kitokee tukio lolote linajengwa na namna unavyowaza