Mke mtarajiwa anapoamua kuaga mchepuko ....

Mke mtarajiwa anapoamua kuaga mchepuko ....

nilikumiss Mgirik
mi sipendi hako kamchezo mbona hata wanaume huwa mnaaga michepuko yenu kabla ya ndoa

nmerudi mkuu nilikuwa nakuonaga kwenye dilisha tu.
Lakn sio vzr hayo ya kuagana au mkuu Excel naye yumo?
 
Last edited by a moderator:
ukiona hivyo ujue rafiki yako anapiga shoo ya kibabe kinoma had huyo mdada anamkumbuka eti anaenda kumuaga huhuhuhuuuuu shida hiyo
 
ukiona hivyo ujue rafiki yako anapiga shoo ya kibabe kinoma had huyo mdada anamkumbuka eti anaenda kumuaga huhuhuhuuuuu shida hiyo

hahahaha kumbe sie tusijua kupiga shoo ka ukweli watatugegedea mademu zetu....loh basi bora niingie kwa dada poa nijiridhishe mwenyewe
 
we mgalati kumbe haujaowa tu? mwanamke siyomwenzako na siyo wa kumtilia dhamana utaumia bure!
 
Si wanawake tu hata wanaume wanafanya hayo kuna rafiki. Yangu alikuwa na mtu wake na jamaa alikuwa anachepuka tena kwenye honeymoon du nilichoka kamuacha madam ndani pyu
 
Back
Top Bottom